Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

Dini ni kwa mataira tu,waliozaliwa na ubongo timamu hawana dini na ikitokea mwenye akili ana dini basi jua kuna miradi anataka kufanya kupitia iyo dini.
 
Baada ya Adamu na Eva kufukuzwa Bustanini,wakati wa Nuhu,Abraham,Yakobo na Yusuph hawa wote walikuwa wamekatazwa wasile tunda tu?

Unataka kusema kabla ya Amri kushushwa kupitia Musa amri ilikuwa ni usile tunda tu au sio?

Baada ya Mungu kuwatimua Bustanini aliweka Makerubi kulinda mtu asiingie tena.Unataka kusema kwa sababu palikuwa hapaingiliki kipindi chote hicho watu hawakutenda dhambi?

Na kama unasema Sheria zilikuwepo ni zipi na zilitajwa wapi? Mi nimesoma vitabu vyote vitano vya torati na hakuna hata kimoja chenye amri au sheria kabla ya Musa kushushiwa Torati kwenye mlima Sinai.
 
Yan we mchungaji wako awe gwajima alaf akwambie zinaa mbaya hivi utamwelewa kweli na wakat unajua kabisa ye mwenywe ana video yake kabsa kule site pendwa ya wahuni XXXVideo? Lazma tu uone dini ni usanii.
We Sheikh wako awe Abubakar Shekau na wenzake , mtaenda mbinguni kweli??
 
Tafsiri ya upagani kwa Kingereza ni ipi?
Nenda kwenye hoja utueleze maoni yako moja kwa ndugu Yona usianzie mbali hivyo.

Umetaka tafsiri ya kingereza na mpare naye aulize ya kipare na mchina naye aulize ya kichina.
 
Hapa sasa unaanza siasa.

Usilete mambo mengi ya idadi za sheria kuwa zilikuwa ngapi kipindi cha yakobo.

Hoja ni uwepo wa sheria na ikaongezeka hoja nyingine ya mwanzo wa sheria.

Swali lilikiwa katika ukristo kuna sheria za kufata? Swali lililoibuka sheria zilianza lini?

Ww unasema sheria sasa hazipo na sheria zilianza wakati wa Musa si ndio?
 
Kuna waswahili wanachanganya "Pagans" na "atheists".

Neno mpagani kwa kiswahili linaweza kuwa na maana mbili zilizo tofauti sana(kwa maana ya watu wasio kwenye dini za Ukristo au Uislamu pia kwa watu wasiokuwa na dini yoyote) .Ufinyu huu wa msamiati inaweza kuwa ni kutokana na watu wasio na dini kwenye jamii ya Afrika au Kiswahili kuwa ni jambo jipya lisilo la muda mrefu.
Nenda kwenye hoja utueleze maoni yako moja kwa ndugu Yona usianzie mbali hivyo.

Umetaka tafsiri ya kingereza na mpare naye aulize ya kipare na mchina naye aulize ya kichina.
 
Ooh, ookey. Haya ni maelezo mafupi yenye Elimu.
 
1.Michango imezidi,makanisa yamegeuzwa kuwa mapango ya walanguzi.....
(Yesu alilikemea hili)
Sipingi utoaji,ila katika kila jambo
maandiko yanasisitiza tuwe na
kiasi.
Pesa imewekwa mbele kuliko
Mungu mwenyewe.

2.Ni nyakati za mwisho hizi,watu watajipenda wenyewe kuliko
kumpenda Mungu.

YESU YU KARIBU KURUDI.
Dini/Dhehebu si njia ya kwenda Mbinguni.
YESU NDIYE NJIA,NA KWELI,
NA UZIMA.
 
Unaleta mkanganyiko katika chapisho lako unamchangnya Mungu na dini ya biblia. Tujikite latika mada!
 
Kuongezeka kwa elimu, kujiamini na kujitambua ukiachia mbali utajiri na maendeleo
 
Tujikite kwenye mada mdau! Hapa sio sehemu ya kueneza hadithi na riwaya zinazochochea umaskini, utengano, ujinga na chuki.
 
Tujikite katika mada! Thread hii sio sehemu ya riwaya za vyama vya kale.
 
kama sio shetani bas Mungu mwenyewe ana asili ya uovu au sio??kwasababu tumeumbwa kwa mfano wake tumerithi hali ya uungu ya rebellion si ndio??Basi tunaonewa iwapo tutachomwa moto milele au sio??
 
Thibitisha nilivyojichanganya maana haitoshi tu kusema hivyo nikawa nimejichanganya.
Thread inaeleweka! Sio sehemu ya kueneza propaganda za biblia na maandishi ya kusadikika. Jikite kwenye mada kwanini ushawishi wa dini na karatasi zake unapungua?
 
Thread inaeleweka! Sio sehemu ya kueneza propaganda za biblia na maandishi ya kusadikika. Jikite kwenye mada kwanini ushawishi wa dini na karatasi zake unapungua?
Sasa kama nilichoandika hukielewi, utaelewa nini?
 
COVID-19, kuna baaadhi viongozi dini wahuni watuambia Mungu anaponya
Leo wametusaliti Eti WHO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…