Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

UVIKO-19 ndio sababu ya watu kuacha kuhudhuria kanisani?

Imekaririka ikisemwa kanisani utaponywa kila maradhi na hakuna tatizo likatizalo mbele ya madhabau ya bwana kunani tena UVIKO-19 aivunje mipaka hii?
Hofu Ina nguvu kuliko Imani, amini usiamini UVIKO- 19 imeacha mapengo na hofu kubwa katika madhabu na mioyo ya waumini
 
Habari [emoji1480]

Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.

Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.

Je ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?
Unaweza kumdanganya mtu kwa muda flani, ila huwezi kuwadanganya watu wote kwa muda wote.

Dini ni uongo mtupu. Na kama unavyojua uongo huwa haudumu.
 
Dini zipo kwa ajili ya watu wenye uwezo mdogo kufikiri!!!!Lakini kama utafikiri kwa makini utaona mkanganyiko na mianya mingi yenye utata kwenye hizo zinazoitwa Dini!!

Maoni yako nayakubali kwa kiasi kikubwa.

Lakini haina maana kuwa kwenye dini hakuna watu wenye uwezo wa kufikiria.

Ila wamejificha huko kwenye dini kwa ajili ya maslahi fulani.

Au pengine wako huko kwa sababu ya jamii inayowazunguka isiwaone au kuwatenga.

Wengi wanaenda kwenye nyumba za ibada kujaribu kujifariji tu kwa faraja ya uongo kwa mambo yanayowakuta.
 
Unaweza kumdanganya mtu kwa muda flani, ila huwezi kuwadanganya watu wote kwa muda wote.

Dini ni uongo mtupu. Na kama unavyojua uongo huwa haudumu.
Ahaa! Mkuu Sundoka ni upi ushauri wako kwa ambao bado wametingwa na uongo ambao haustahili kudumu?
 
Ni kweli na wazi dini hizo pendwa zililetwa na jamii za kizungu (Caucasians) na kiarabu (Arabs) na kuwa moja ya mapokeo makubwa kuwahi kupokewa duniani.
Wachina sasa ndio wanaanza kuzijua hizi dini. Hivi sasa China makanisa yameongezeka sana na halikadhalika misikiti.
Changamoto kwa wachina
Ukristo- kusamehe
Uislamu - kufunga

Waumini wa dini hizi huko China hivyo vipengele vinawakwaza sana [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Maoni yako nayakubali kwa kiasi kikubwa.

Lakini haina maana kuwa kwenye dini hakuna watu wenye uwezo wa kufikiria.

Ila wamejificha huko kwenye dini kwa ajili ya maslahi fulani.

Au pengine wako huko kwa sababu ya jamii inayowazunguka isiwaone au kuwatenga.

Wengi wanaenda kwenye nyumba za ibada kujaribu kujifariji tu kwa faraja ya uongo kwa mambo yanayowakuta.
Definitely! Aise

Kama nilivyoandika juu katika utafiti niliona hili wengi kuwa katika dini mbalimbali ilikusudi jamii zao zisiwatenge au waweze kuendesha masuala yao katika maslahi.
 
Waliotuletea dini ndio hao walituletea nakala za vitabu vya dini.
Fikiria mtu unafungua biblia kwenye simu halafu unakutana na adds zingine za mitandao ya ngono, au screen server umeweka demu amekaa kihasara na siyo mkeo. Lazima maandiko yapungue uzito.

Kikubwa tuamini bila kuhoji hoji[emoji23]
 
Unamaanisha dini ni sehemu ya watu wasiokuwa na uwezo wa reasoning? Ni yapi ambayo yamefichwa kwa watu wasiokuwa na uwezo huo?
Mengi tu, kibwetere alipiga kiberiti waumini

Juzi Mwamposa kaua zaidi ya watu 20 kwenye kukanyaga mafuta na still watu wanazidi kujazana kwenye matamasha yake, do you think they use common sense effectively?
 
Kutoamini katika uwepo wa MUNGU ni upagani tu na ni dini sema mungu anakuwa ni wewe mwenyewe.
Ndio Maana nimekuletea maana ya upagani! Unatakiwa kutofauti DINI na MUNGU kuna MUNGU na kuna DINI kwa muktadha wako bado hujawa na uwezo wa reasoning ndio maana unashindwa kutofautisha MUNGU na DINI.

Si kila asiye katika dini haamini uwepo wa MUNGU.
 
Ni moja wapo ya dalili za kuja kwake Mwana wa Mungu.
Imeandikwa ,,Imani za wengi zitapoa"

Kifungu nimesahau- kwenye Biblia.
Hivyo nadhani huo ni utimilifu wa unabii.
Imeandikwa!

Na nani kwa watu gani?
 
Waliotuletea dini ndio hao walituletea nakala za vitabu vya dini.
Fikiria mtu unafungua biblia kwenye simu halafu unakutana na adds zingine za mitandao ya ngono, au screen server umeweka demu amekaa kihasara na siyo mkeo. Lazima maandiko yapungue uzito.

Kikubwa tuamini bila kuhoji hoji[emoji23]
Sidhani kama utakuwa hai endapo ukishindwa kuhoji unayoyatilia shaka na yale yenye kukuzunguka.
 
Mengi tu, kibwetere alipiga kiberiti waumini

Juzi mwamposa kaua zaidi ya watu 20 kwenye kukanyaga mafuta na still watu wanazidi kujazana kwenye matamasha yake, do you think they use common sense effectively?
Hapana! They don't use their common sense effectively!

Kwa tukio hili ulilotaja ni tafsiri katika UGAIDI kuua halaiki ya watu. Mhusika aliwekwa hatiani?
 
Hofu Ina nguvu kuliko Imani, amini usiamini UVIKO- 19 imeacha mapengo na hofu kubwa katika madhabu na mioyo ya waumini
Inatafsiri gani kwa waumini na viongozi wao Kwa hili la kuendeshwa na hofu kuliko imani ilhali imekuwa ni somo kuu kwao.

Mara lazima usikie "Katika Imani".
 
Vizuri! Je, unafikiri ni aina ya gani ya tabia, matendo au mienendo ya viongozi hawa imekuwa chagizo la watu kuwakwepa?
Kama kwa wakatoliki unasikia kila siku mapadre wanalawiti watoto, makanisa yamekuwa sehemu ya kulazimishana michango kila siku huku waumini wenyewe maisha ya kuungaunga yaani mtu unaweza kukataliwa kupewa huduma za kiroho kisa tu hujawapa visenti.........kizazi cha sasa watu wanafikiri sio kama zamani watu wanapelekeshwa tu
 
Ni baada ya watu wengi kuziona dini kukosa mvuto na msaada ktk struggle zao nyingi. Pale ambapo watu wanakuwa oppresed na watawala na makanisa yanakaa kimya watu wanakosa majibu.

Kukithiri kwa umasikini,njaa,machaguko majanga ya asili vyote hivi vonawafanya watu wakose majibu juu ya dini. Dini imefundisha watu kuwa wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu,sasa haiingik akilini mwa wengi kuiamini dini Kama kweli masikini na wenye kutaabika wengi ndo taswira halisi ya Mungu huyo anayeubiliwa na dini ilhali wahubiri wa hayo wenyewe wanaishi maisha ya anasa.
Tukubali wengi tutakombolewa kwa neema.
 
Mfano wewe hapo uishi miaka 70 halafu eti umetenda dhambi ukachomwe moto milele yaani hakuna mwisho wa kuchomwa wakati wewe umejiishia miaka 70!!wakati huo huo atakaekuchoma huo moto anahubiriwe ndie Mwenye upendo mkubwa kuliko viumbe vyote!!!Halafu akamuumba malaika mmoja mkuu halafu huyo akafanywa kuwa shetani atudanganye sisi ili tukachomwe moto!!HEBU FIKIRIA KWA MAKINI KAMA ITAKUINGIA AKILINI AISEH!!
Unamaanisha uwepo wa moto wenye nguvu mara 300 zaidi ya Oryx Gas si kweli kama ilivyoaminishwa?
 
Habari 👋🏾

Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.

Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.

Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?
Nimesoma chuo kinachofundisha uchungaji (Theology).

1. Wachungaji tulikua tunagombania nao mademu wa chuo.
2. Wachungaji wanagonga vitoto vya certificate.
3. Wachungaji wanaomba video za porn
4. Mama wachungaji tunawala vizurii
5. Mashekhe hawaeleweki
6. Padre kafumaniwa na mchumba wa mtu.

Wotee Hawa NDIO UNAENDA WASIMAME MADHABAHUNI KUKUHUBIRIA..!!!???

#YNWA
 
Back
Top Bottom