Ni baada ya watu wengi kuziona dini kukosa mvuto na msaada ktk struggle zao nyingi. Pale ambapo watu wanakuwa oppresed na watawala na makanisa yanakaa kimya watu wanakosa majibu.
Kukithiri kwa umasikini,njaa,machaguko majanga ya asili vyote hivi vonawafanya watu wakose majibu juu ya dini. Dini imefundisha watu kuwa wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu,sasa haiingik akilini mwa wengi kuiamini dini Kama kweli masikini na wenye kutaabika wengi ndo taswira halisi ya Mungu huyo anayeubiliwa na dini ilhali wahubiri wa hayo wenyewe wanaishi maisha ya anasa.
Tukubali wengi tutakombolewa kwa neema.