Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

Habari 👋🏾

Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.

Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.

Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?
Kwa kariba kama ya Gwaji boy nani mwenye akiki zake anaweza akamshawishi kuwa mfuasi wake
 
Viongozi Tunaowaamini ktk dini wanafanya mambo ya ovyo kuliko wapagani na wakati wamesomea. Wanatufanya tuamini ata iyo dini yenyewe inaweza ikawa ni propaganda tu
 
Makanisani siyo sehemu tena ya kupata faraja. Ila pia watu wengi wamekuwa wanareason kila kitu tofauti na zamani watu walikuwa na reasoning power ndogo so wanaona inayoendelea kule ni miyeyusho miyeyusho tu.
Kama mimi nilikuwa malala kanisani kwa maombi huko KKKT,nikawa busy na kusaka elimu nikapunguza mambo ya church.Nimemaliza nina kibarua changu nimeanza mwaka jana kwenda,mpaka mwaka huu mwanzoni,heee! kuna siku mchungaji akahubiri utopolo sn sn,wa kumsifia jewellery.Aisee siku ile nimetoka tu kwenye jengo lile sikuwahi rudi tena tangu January mpaka leo
 
finally people are waking up...tulipowaambia haya mambo ya utumwa yana mwisho tulkuwa na maana itafika kipindi na wakat ambapo watu hawatakuwa tena na uoga wala heshima kwa iyo miungu ya kigeni ya akina Allah na mwenzie Jesus mwenye baba yake uko mbinguni yule jehova sjui yehova elishadai, alpha & omega,

hiyo yote ni utumwa iliyokuwa ikishikilia akili za watu, na tayr watu wanaanza kujua madhara ya kukumbatia izo imani, yaan wanaona ni bora wawe wapagani kama mnavyowaita kulko kushika izo imani,

mim mwnyew nlkuwa mshika imani mkubwa sana, lkn nowadays nmefunguka siamin Kiumbe yeyote yule anaejiita Mungu ama mnaemuabudu, na wala siamin stori zao za Qur'an na biblia maana hazina ukwel wowote maana zliibwa na kubadirishwa kwa maslahi ya wapuuzi wachache,

kutokuamini izo imani haimaanishi mtu huyo asieamini ni muovu sana ama anatumia kichaka cha upagani kutenda maovu, hapana,

kuamka kiakil maana yake ni kuachana na vifungo vya akili na kuacha kbsa tamaduni za kiimani za wageni tulizoaminishwa kuwa ni sahihi, badara yake unarud ktk uhalisia wa muafrika wa kwel, ambye iman yake ni utu, matendo mema na kuwajali wengine,

na hii ni zaid ya dini, na mujue kuwa hata tunaopinga uwepo wa miungu ya kigeni na dini zao, tunayo imani ya Muumba wa kweli ambaye sio huyo mnaeaminishana makanisani kuwa aliumba dunia na mbingu huku yeye hajulkan alikuwa wapi wakat akifanya uumbaj wake wa uongo, na end of days tunakuja kuambiwa tena nae yupo umo umo ktk mbingu aliyoiumba akizungukwa na viumbe wakusadikika wanaojiita wazee24, haya yote ni mashetani yanayojivika utakatifu ili yaabudiwe,

kwa bahat mbaya dunia nzma kupitia dini zotee znamuabudu kiumbe mmoja aitwae shetani kupitia majina tofaut na uhusika tofaut, na yule wanaemuita shetani, sio shetan bali ni mfanyakaz ama kibaraka wa shetan anaebeba maovu ya shetan ili shetan mwenyewe muhusika ajitakase na kuonekana mwema,

Nje ya pazia hakuna lolote jipya, wapo wanaojua ktk hizo dini zenu, na wamekausha hawataki muujuwe ukwel, maana wanafaidika na ujinga wenu kuendelea kuwa vipofu wa kiroho na akili.

Muumba wa kwel anaabudiwa kwa kiasi kidogo sana, kutokana na watu kukataa maarifa mapya, na badala yake wamekumbatia ujinga wa dini na mafundisho ya uongo yaliyoletwa na wahuni yaani wamissionary na waarabu, hawa wote ni wahuni.

shetan anapenda sana sifa na kucopy mambo, ndyo maana alimtambulisha mwanae pepo azazel&Krishna & zeus ulimwnguni ili awe mkomboz kwa wafuasi wa dini, kwa kupitia tambiko la damu yake, unapoiamini na kuinywa kiroho unakuwa sehem ya mkataba ama sehem ya maagano ya kuungana nae ktk ufalme wa shetani.(mbingu za kusadikika).

mwana huyo ndye yule yule mpuuz waliemtambulisha tena warumi miaka ya 325A.D kwa utambulisho mpya baada ya watu kusanuka, wakampa utambulisho mpyaa na kumuita Jesus, ama yesu ambye majina yake yametokana na uchambuzi wa herufi kutoka majina ya mwanzo ya huyo zeus,

kila mtu ni mwana wa Muumba iweje izo dini zenu ziseme uyo Mungu wenu anae mwana wapekee? sie wengine na hao malaika ni wakina nan kwake?

kuna mambo meengi yakueleza kwa bahat mbaya wabongo hawapendi kuusikia ukwel, wanaishia kutukana na kukashifu wakati uo vitabu vyao vinawalazimisha kutafta elimu kwa bidii, lkn wao wanapenda mteremko kwa kuamini mambo bila kuhoji...

Hakuna mbingu, pepo wala jehanamu ya moto , hizo zote ni stori za wapuuzi waliotunga dini ili kuwatisha mzidi kuzifuata.

baada ya kifo ni hakuna linalofanyika zaid ya kuusubili ule mwisho ambapo kila mtu atalipwa ujira wake kutokana na matendo yake hapa dunian,

mambo haya wafia dini wanayachukia sana, maana baba yao ibilisi ndye chanzo cha kuchukia ukweli, hivyo kawapa wanae sifa hiyo pia ya kuchukia ukweli.

bahat nzur mwisho unakaribia ambapo ukwel utajulkana wazi na utawekwa wazi na yule aliyeibiwa historia yake na kumpa asiestahili, yaan Kaka wa viumbe wote kwa wanadamu ambaye washika dini walimpa majina feki kwa kumuita isa bin mariam/yesu christo/jesus, huyu akiwa na mdogo wake aliyepo ktk kipindi hiki na anefichua siri za uovu, hawa ndye watakae hukumu hii dunia na kurudisha ufalme kwa mtu mweusi kuitawala dunia kama mwanzo.
FB_IMG_16349275916868908.jpg
 
Kipato na kuongezeka kwa ufahamu na matendo ya wanaoitwa wapakwa mafuta.

Kwani hujui Mungu na dini ni vitu tofauti? Dini ziko kiupigaji,hata mimi namuamini Mungu ila dini na madhehebu yenu Nina miaka 6 sasa sijui vinafananaje
Kabla ya wazungu kuileta dini kwetu tulikuwa na neno Mungu?
Wazee wetu waliendesha matambiko yao kwa kuitukuza mizimu. Sijui ilikuwaje mizimu ilibadilishwa jina na kuitwa miungu!
 
Vizuri! Je, unafikiri ni aina ya gani ya tabia, matendo au mienendo ya viongozi hawa imekuwa chagizo la watu kuwakwepa?
Suala la viongozi wa dini kuacha kufanya kazi, na kufanya uendeshaji wa ibada ndio kazi ya kuendesha maish yao, hili mimi naliona si sahihi, naona kama unyonyaji flani tu.
 
Kabla ya wazungu kuileta dini kwetu tulikuwa na neno Mungu?
Wazee wetu waliendesha matambiko yao kwa kuitukuza mizimu. Sijui ilikuwaje mizimu ilibadilishwa jina na kuitwa miungu!
Kumbe unadhani Tulikuwa na neno gani?
 
Habari 👋🏾

Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.

Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.

Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?
Baadhi ya dini zinafundisha ukatili, kuchinja watu na kuchoma nyumba za watu, ndio maana watu hawaoni hata huo umuhimu wa dini
 
Habari 👋🏾

Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.

Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.

Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?
Ni kwasababu watu wameanza kujitambua,

Wameachana na maswala ya kukaririshwa vitu na kumeza bila kutafakari
 
Habari [emoji1480]

Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.

Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.

Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?
Mimi binafsi huwa naona dini inanichanganya sana kwa CONTRADICTION zake mfano Waislam wanaamini katika kuoa mke zaidi ya mmoja (POLYGAMY ) wakati huo huo wakiwaaminisha waumini kuwa mungu ni mmoja na wa pekee!!
Wakristo nao wanaamini katika kuoa mke mmoja (MONOGAMY) na wakati huo wakiwaminisha waamini wao kuwa MUNGU ni mmoja na wa pekee!
Sasa SWALI je Siku ya hukumu MUNGU huyu ambaye hivi vitabu viwili vinafundisha kuwa ni mmoja atahukumu vipi kwa wale waliooa mke mmoja na wale waliooa wake zaidi ya mmoja? Kwangu Mimi ingawa sijasoma sana mafundisho ya kuoa mke mmoja na mafundisho ya kuoa mke zaidi ya mmoja yanaji Contradict!
Watu wanao reason mambo ! Wanaishia kukimbia imani au kuabudu kinafiki!
 
Kumbe unadhani Tulikuwa na neno gani?
Neno Mungu limekuja na biblia. Kabla ya biblia hatukuwa na miungu bali mizimu. Kulikuwa na mizimu ya kuponya magonjwa,kuleta mvua penye uhitaji,kuleta neema wakati wa shida,kuleta uzazi kwa wenye shida. Kila kitu kiliwezekana kupitia mizimu.
Wazungu wakarekebisha jina la mizimu na kuliweka jina la mungu ila majukumu yakawa yale yale ya mizimu.
 
Ahaa! Kwa maana hii dini ni vyama vinavyojiendesha katika njia tofauti na vyama vya siasa au waweza sema ni kundi na kusanyiko la watu?
Eeh ndo hivo na wao ni watu tu wapo na maslahi yao......cha muhimu duniani watu kupendana tu na usimfanyie mwenzio mambo ambayo hata wewe mwenyewe hupendi kufanyiwa....
 
Mimi binafsi huwa naona dini inanichanganya sana kwa CONTRADICTION zake mfano Waislam wanaamini katika kuoa mke zaidi ya mmoja (POLYGAMY ) wakati huo huo wakiwaaminisha waumini kuwa mungu ni mmoja na wa pekee!!
Wakristo nao wanaamini katika kuoa mke mmoja (MONOGAMY) na wakati huo wakiwaminisha waamini wao kuwa MUNGU ni mmoja na wa pekee!
Sasa SWALI je Siku ya hukumu MUNGU huyu ambaye hivi vitabu viwili vinafundisha kuwa ni mmoja atahukumu vipi kwa wale waliooa mke mmoja na wale waliooa wake zaidi ya mmoja? Kwangu Mimi ingawa sijasoma sana mafundisho ya kuoa mke mmoja na mafundisho ya kuoa mke zaidi ya mmoja yanaji Contradict!
Watu wanao reason mambo ! Wanaishia kukimbia imani au kuabudu kinafiki!
Uislam na ukristo ni dini mbili tofauti kabisa
 
Dini zipo kwa ajili ya watu wenye uwezo mdogo kufikiri. Lakini kama utafikiri kwa makini utaona mkanganyiko na mianya mingi yenye utata kwenye hizo zinazoitwa Dini!
Je wewe hauna dini..?

Kama ni ndio tuambie uwezo wako mkubwa wa kufikiri umefanya mabadiliko gani ktk jamii yako inayo kuzunguka...?
 
Ndio Maana nimekuletea maana ya upagani! Unatakiwa kutofauti DINI na MUNGU kuna MUNGU na kuna DINI kwa muktadha wako bado hujawa na uwezo wa reasoning ndio maana unashindwa kutofautisha MUNGU na DINI.

Si kila asiye katika dini haamini uwepo wa MUNGU.
Dini ni mfumo wa maisha,ubepari,ujamaa,ubwanyenye nk ni dini,so hakuna aso dini
 
Back
Top Bottom