Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

Siku hizi hamasa imebakia kwenye miujiza kwa watu wajinga wajinga waliojikatia tamaa tu.
Ncha Kali wala huna maneno mengi ni mistari miwili unapumzika unarudi na mistari miwili unapumzika. 😄
 
Suala la viongozi wa dini kuacha kufanya kazi, na kufanya uendeshaji wa ibada ndio kazi ya kuendesha maish yao, hili mimi naliona si sahihi, naona kama unyonyaji flani tu.
Uendeshaji wa ibada ndio kazi yao
 
Habari 👋🏾

Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.

Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.

Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?
Hizi tafiti sijui tuziitaje ila haina shida kwa upande wangu ninayo kutana nayo ni kuwa watu wengi ambao hawaamini katika Dini wanatafuta dini ya kweli. Hasa hawa WACHINA.
 
Makanisani siyo sehemu tena ya kupata faraja. Ila pia watu wengi wamekuwa wanareason kila kitu tofauti na zamani watu walikuwa na reasoning power ndogo so wanaona inayoendelea kule ni miyeyusho miyeyusho tu.
Kweli, watu wanafikiria wanaona hakuna tija tena huko makanisani.
 
Wewe unamfuata mungu kwa utaratibu upi..? Maana hata vitengo vya upasuaji ktk vituo vya afya wanataratibu za kuufikia huo upasuaji hawakurupuki tu
Mungu afuatwi kwa utaratibu!Bali Kuna kanuni za kumjua na kumfuata Mungu.
 
Dini zipo kwa ajili ya watu wenye uwezo mdogo kufikiri. Lakini kama utafikiri kwa makini utaona mkanganyiko na mianya mingi yenye utata kwenye hizo zinazoitwa Dini!
Hakuna watu tunao fikiri sana na wenye akili kuzidi sisi watu wa dini,nasema tena hivi hapajawahi kuishi watu wenye kufikiri kwa usahihi kuwazidi watu wa Dini.

Ukiona mikanganyiko kuna moja kati ya mawili haya au yote kwa pamoja.

1. Elimu yako ni ndogo juu ya jambo hilo.

2. Uwezo wako wa kufikiri haujafikia hicho unachokiona kuwa ni mkanganyiko.

3. Una vyote viwili.
 
Unaweza kutuambia kwanini mfalme Suleiman alikuwa na wanawake wengi na michepuko 300 na haikus shida; ila leo sisi tunaambiwa kuwa na make moja ni dhambi.
Inaonekana kuna maswali mengi miongoni wa waumini, lakini kwa nini awahoji masuala haya katika mikusanyiko yao?
 
Unaweza kutuambia kwanini mfalme Suleiman alikuwa na wanawake wengi na michepuko 300 na haikus shida; ila leo sisi tunaambiwa kuwa na make moja ni dhambi.
Kabla hujajibiwa swali lako,una uhakika hizi habari ni za kweli ?
 
Mfano wewe hapo uishi miaka 70 halafu eti umetenda dhambi ukachomwe moto milele yaani hakuna mwisho wa kuchomwa wakati wewe umejiishia miaka 70!!wakati huo huo atakaekuchoma huo moto anahubiriwe ndie Mwenye upendo mkubwa kuliko viumbe vyote!!!Halafu akamuumba malaika mmoja mkuu halafu huyo akafanywa kuwa shetani atudanganye sisi ili tukachomwe moto!!HEBU FIKIRIA KWA MAKINI KAMA ITAKUINGIA AKILINI AISEH!!
Hahaha
 
Utaratibu na kanuni ni maneno tofauti..? [emoji38][emoji16]

Haya tupatie hizo kanuni
Labda kwa tafsri yako ya Kamusi ya Kiswahili sanifu hayana tofauti.Katika Imani yana tofauti kubwa.Mkuu nafahamu Kiswahili Vizuri.Unataka kanuni za kumjua Mungu?Hilo ni SoMo yatupasa kuanzisha Uzi wetu.Maana itahusisha theology and Philosophy.
 
Utaratibu na kanuni ni maneno tofauti..? [emoji38][emoji16]

Haya tupatie hizo kanuni
Humu kuna wajinga wengi sana,yaani mtu anatoka kifua mbele anakataa ya kuwa utaratibu si kanuni. Halafu anataka kujadili mambo ya dini.

Wengine wanapinga mambo bila kufanya utafiti halafu wanajiona wana akili kutuzidi sisi,aisee kazi ipo.
 
Nimecheka sana,sasa hizo kanuni si ndiyo utaratibu kijana,yaani hata maana ya maneno mnayotumia hamjui ajabu mnajenga hoja. Kanuni ndiyi utaratibu kijana.
Hii nimesharibia huko juu.Kuna majibu kiimani unaposema kanuni na taratibu tofouti zake.Ilo ndilo uliloona au in jingine la kuwafanya watu waje kukuletea sadaka?
 
Labda kwa tafsri yako ya Kamusi ya Kiswahili sanifu hayana tofauti.Katika Imani yana tofauti kubwa.Mkuu nafahamu Kiswahili Vizuri.Unataka kanuni za kumjua Mungu?Hilo ni SoMo yatupasa kuanzisha Uzi wetu.Maana itahusisha theology and Philosophy.
Kabla ya kuanzisha uzi mpya nifahamishe tofauti ya hayo maneno
 
Hakuna watu tunao fikiri sana na wenye akili kuzidi sisi watu wa dini,nasema tena hivi hapajawahi kuishi watu wenye kufikiri kwa usahihi kuwazidi watu wa Dini.

Ukiona mikanganyiko kuna moja kati ya mawili haya au yote kwa pamoja.

1. Elimu yako ni ndogo juu ya jambo hilo.

2. Uwezo wako wa kufikiri haujafikia hicho unachokiona kuwa ni mkanganyiko.

3. Una vyote viwili.
Dah bro unajifariji.. wafuata dini wengi ni vilaza.. mnakimbilia miujiza mnafanyiwa mambo ya ajabu na mmefungwa akili na viongoz wenu. Mnahustle sana mazee
 
Humu kuna wajinga wengi sana,yaani mtu anatoka kifua mbele anakataa ya kuwa utaratibu si kanuni. Halafu anataka kujadili mambo ya dini.

Wengine wanapinga mambo bila kufanya utafiti halafu wanajiona wana akili kutuzidi sisi,aisee kazi ipo.
Mbinga Namba Moja ni wewe unayeamini Mungu yumo mule kwenye jengo.
 
Labda kwa tafsri yako ya Kamusi ya Kiswahili sanifu hayana tofauti.Katika Imani yana tofauti kubwa.Mkuu nafahamu Kiswahili Vizuri.Unataka kanuni za kumjua Mungu?Hilo ni SoMo yatupasa kuanzisha Uzi wetu.Maana itahusisha theology and Philosophy.
Kijana acha ujinga,hakuna utofauti wa kanuni na utaratibu popote pale.

Imani inatofautisha kati ya kanuni na taratibu...?

Kusema kanuni za kumjua Mungu ni sawa na taratibu za kumjua Mungu hakuna tofauti hapo.
 
Mbinga Namba Moja ni wewe unayeamini Mungu yumo mule kwenye jengo.
Mule ndani ya jengo ni sehemu ya mafundisho ya kumfahamu Muumbaji wa Kila kitu kwa taarifa yako huyu muumbaji yupo kila sehemu japo hatumuoni kwahiyo hata ndani ya hilo jengo yupo
 
Back
Top Bottom