Kama unabisha jenga hoja kwangu kisha uone akili zangu na zako kama ziko sawa.Dah bro unajifariji.. wafuata dini wengi ni vilaza.. mnakimbilia miujiza mnafanyiwa mambo ya ajabu na mmefungwa akili na viongoz wenu. Mnahustle sana mazee
Pili,hakuna watu wajinga kuwazidi wakana Mungu yaani ukitaka kujua maana ya Ujinga waangalie wakana Mungu.
Tatu,suala la miujiza liko wazi hili lipo kwa watu wa dini fulani sisi Waislamu mambo hayo hatuna,kwahiyo kwa ujumla tunakuta Wajinga wengi wapo nje ya Dini kuliko walioko kwenye Dini. Ila kuhusu wenye akili kwa ujumla hakuna wakuwazidi watu wa Dini.