machafuko jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 565
- 1,158
Hofu Ina nguvu kuliko Imani, amini usiamini UVIKO- 19 imeacha mapengo na hofu kubwa katika madhabu na mioyo ya wauminiUVIKO-19 ndio sababu ya watu kuacha kuhudhuria kanisani?
Imekaririka ikisemwa kanisani utaponywa kila maradhi na hakuna tatizo likatizalo mbele ya madhabau ya bwana kunani tena UVIKO-19 aivunje mipaka hii?
Unaweza kumdanganya mtu kwa muda flani, ila huwezi kuwadanganya watu wote kwa muda wote.Habari [emoji1480]
Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.
Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.
Je ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?
Dini zipo kwa ajili ya watu wenye uwezo mdogo kufikiri!!!!Lakini kama utafikiri kwa makini utaona mkanganyiko na mianya mingi yenye utata kwenye hizo zinazoitwa Dini!!
Kutoamini katika uwepo wa MUNGU ni upagani tu na ni dini sema mungu anakuwa ni wewe mwenyewe.Upagani ni jina la kutaja imani za dini ambazo ama zinaabudu miungu mingi au ni dini za jadi.
Context yangu ni watu kupoteza ushawishi na kutokuwa katika dini.
Ni kweli na wazi dini hizo pendwa zililetwa na jamii za kizungu (Caucasians) na kiarabu (Arabs) na kuwa moja ya mapokeo makubwa kuwahi kupokewa duniani.Dini ililetwa na mzungu, kwanini mpaka leo bado kuna watu hawajielewi wakati walioleta dini kwa asilimia kubwa wameisha itupa kule
Ahaa! Mkuu Sundoka ni upi ushauri wako kwa ambao bado wametingwa na uongo ambao haustahili kudumu?Unaweza kumdanganya mtu kwa muda flani, ila huwezi kuwadanganya watu wote kwa muda wote.
Dini ni uongo mtupu. Na kama unavyojua uongo huwa haudumu.
Wachina sasa ndio wanaanza kuzijua hizi dini. Hivi sasa China makanisa yameongezeka sana na halikadhalika misikiti.Ni kweli na wazi dini hizo pendwa zililetwa na jamii za kizungu (Caucasians) na kiarabu (Arabs) na kuwa moja ya mapokeo makubwa kuwahi kupokewa duniani.
Definitely! AiseMaoni yako nayakubali kwa kiasi kikubwa.
Lakini haina maana kuwa kwenye dini hakuna watu wenye uwezo wa kufikiria.
Ila wamejificha huko kwenye dini kwa ajili ya maslahi fulani.
Au pengine wako huko kwa sababu ya jamii inayowazunguka isiwaone au kuwatenga.
Wengi wanaenda kwenye nyumba za ibada kujaribu kujifariji tu kwa faraja ya uongo kwa mambo yanayowakuta.
Mengi tu, kibwetere alipiga kiberiti wauminiUnamaanisha dini ni sehemu ya watu wasiokuwa na uwezo wa reasoning? Ni yapi ambayo yamefichwa kwa watu wasiokuwa na uwezo huo?
Ndio Maana nimekuletea maana ya upagani! Unatakiwa kutofauti DINI na MUNGU kuna MUNGU na kuna DINI kwa muktadha wako bado hujawa na uwezo wa reasoning ndio maana unashindwa kutofautisha MUNGU na DINI.Kutoamini katika uwepo wa MUNGU ni upagani tu na ni dini sema mungu anakuwa ni wewe mwenyewe.
Imeandikwa!Ni moja wapo ya dalili za kuja kwake Mwana wa Mungu.
Imeandikwa ,,Imani za wengi zitapoa"
Kifungu nimesahau- kwenye Biblia.
Hivyo nadhani huo ni utimilifu wa unabii.
Sidhani kama utakuwa hai endapo ukishindwa kuhoji unayoyatilia shaka na yale yenye kukuzunguka.Waliotuletea dini ndio hao walituletea nakala za vitabu vya dini.
Fikiria mtu unafungua biblia kwenye simu halafu unakutana na adds zingine za mitandao ya ngono, au screen server umeweka demu amekaa kihasara na siyo mkeo. Lazima maandiko yapungue uzito.
Kikubwa tuamini bila kuhoji hoji[emoji23]
Hapana! They don't use their common sense effectively!Mengi tu, kibwetere alipiga kiberiti waumini
Juzi mwamposa kaua zaidi ya watu 20 kwenye kukanyaga mafuta na still watu wanazidi kujazana kwenye matamasha yake, do you think they use common sense effectively?
Inatafsiri gani kwa waumini na viongozi wao Kwa hili la kuendeshwa na hofu kuliko imani ilhali imekuwa ni somo kuu kwao.Hofu Ina nguvu kuliko Imani, amini usiamini UVIKO- 19 imeacha mapengo na hofu kubwa katika madhabu na mioyo ya waumini
Kama kwa wakatoliki unasikia kila siku mapadre wanalawiti watoto, makanisa yamekuwa sehemu ya kulazimishana michango kila siku huku waumini wenyewe maisha ya kuungaunga yaani mtu unaweza kukataliwa kupewa huduma za kiroho kisa tu hujawapa visenti.........kizazi cha sasa watu wanafikiri sio kama zamani watu wanapelekeshwa tuVizuri! Je, unafikiri ni aina ya gani ya tabia, matendo au mienendo ya viongozi hawa imekuwa chagizo la watu kuwakwepa?
Unamaanisha uwepo wa moto wenye nguvu mara 300 zaidi ya Oryx Gas si kweli kama ilivyoaminishwa?Mfano wewe hapo uishi miaka 70 halafu eti umetenda dhambi ukachomwe moto milele yaani hakuna mwisho wa kuchomwa wakati wewe umejiishia miaka 70!!wakati huo huo atakaekuchoma huo moto anahubiriwe ndie Mwenye upendo mkubwa kuliko viumbe vyote!!!Halafu akamuumba malaika mmoja mkuu halafu huyo akafanywa kuwa shetani atudanganye sisi ili tukachomwe moto!!HEBU FIKIRIA KWA MAKINI KAMA ITAKUINGIA AKILINI AISEH!!
Nimesoma chuo kinachofundisha uchungaji (Theology).Habari 👋🏾
Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.
Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.
Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?