Uchaguzi 2020 Nini kitangulie, haki au amani?

Binafsi nilipoandika uzi wa Tanzania Kwanza watu walinishambulia na katika kunishambulia waliweka maneno HAKI na AMANI.

Hivi nini kitangulie, haki au amani? Kwa sababu penye vurugu hata hiyo haki haiwezi kupatikana.kwa
CHADEMA mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya CHADEMA Akiwaletea CHADEMA hata wabunge wawili mkatambike
Kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge na kuiba trilion 1.5 kisha wakamtoa CAG kafara ndiyo usaliti mkubwa kuliko usaliti wowote Duniani
 
Binafsi nilipoandika uzi wa Tanzania Kwanza watu walinishambulia na katika kunishambulia waliweka maneno HAKI na AMANI.

Hivi nini kitangulie, haki au amani? Kwa sababu penye vurugu hata hiyo haki haiwezi kupatikana.
Bora HAKI ianze maana Amani haipo siku nyingi lakini Tanzania ikasalia kuwa kisiwa na uvumilivu
 
Tanzania hakuna Amani kuna kisiwa cha uvumilivu tu, HAKI ndiyo isimame mbele zaidi kisha Amani ya kweli itarejea moyoni mwa watanzania
 
Umejenga hoja barabara, Mkuu. Asante sana. Hata hivyo, kuna fact check moja ya kuwekwa wazi pia kuna hoja umeiibua inayohitaji mjadala mpana sana hasa kuhusu Ivory Coast na Francophone countries kwa ujumla.

Fack check: Ni kweli ilihimizwa hapa nchini watu wafanye kazi, lakini kwa wanasiasia hawakuzuiwa kufanya siasa bali alielekezwa wafanye siasa kwenye majimbo yao ya uchaguzi. Na sababu ilitolewa kuwa baada ya miaka mitano watapimwa kwa siasa walizofanya kwenye majimbo yao.

Kuhusu suala la Ivory Coast: Nchi za Francophone kama ni suala la haki za kitaasisi nchi hizi karibu zote hazina haki taasisi! Kwa sababu nchi hizi hazijapewa haki ya jumla na Ufaransa kama Taasisi/nchi ya kujitegemea kwa uhuru zaidi . Tena kule ndiyo kuna utulivu asilimia 95 na vurugu asilimia tano hakuna chembe ya amani huko! Mfano wa haki ya nchi hizi iliyopokwa na Ufaransa ni mfumo mzima wa uendeshaji wa nchi katika mapato na matumizi ya nchi hizo. Central Banks za nchi hizo ni kama mawakala wa " Central Bank" ya Ufaransa. Kuna kitu kinaitwa " CEFA" ela itumikayo kwenye nchi hizo! Ni Ufaransa inapanga kiasi gani kitumike kwenye nchi fulani! Hapo kuna haki kweli ya kitaasi ya kinchi ambayo ni huru!? Sasa inapotokea, kiongozi wa mzalendo wa kiafrika na akataka kudai haki hii ya kitaasisi kwenye nchi hizo atatungiwa uzushi na kumpaka matope kiasi cha kufanyiwa hujuma hata inayoweza kugharimu maisha yake! Haya tumeyaona Burkina Faso. Walimuua Tomas Sankara wafaransa kwa hujuma kupitia kwa rafiki yake Tomas alikuwa ameibadili Burkina Faso ndani ya miaka minne na kuwa nchi inayoheshimika Barani Afrika na dunia kote! Nakuhakikishia ukifanyika uchunguzi sawa sawa, unaweza kukuta hata Henri Bedie alikuwa anafanya maandalizi ya kudai haki ya kitaasisi ya kinchi kutoka kwa Wafaransa ndiyo maana labda akaundiwa zengwe! Na silaha kubwa inayotumika ni "disinformation" kwa ku assassinate character ya mzalendo!

Ni hayo niliyotaka kukumbusha Mkuu.
 
Binafsi nilipoandika uzi wa Tanzania Kwanza watu walinishambulia na katika kunishambulia waliweka maneno HAKI na AMANI.

Hivi nini kitangulie, haki au amani? Kwa sababu penye vurugu hata hiyo haki haiwezi kupatikana.
Haki huzaa amani. Ni kanuni ya Cause and Effect, hebu na wewe chagua hapo!
 
Binafsi nilipoandika uzi wa Tanzania Kwanza watu walinishambulia na katika kunishambulia waliweka maneno HAKI na AMANI.

Hivi nini kitangulie, haki au amani? Kwa sababu penye vurugu hata hiyo haki haiwezi kupatikana.
Amani ilisha tangulia muda mrefu, sasa kitambo tunasubiri haki! Ikiendelea kuchelewa Amani itarudi nyuma kuifuata haki!
 
Je bila Aman Kuna haki inaeza kutendeka maana moja laweza kuchelewa
Amani ni msingi wa Haki. Unaweza kuwa na haki, lakini ukakosa amani.
Ni kama vile msingi wa nyumba na boma la nyumba. Unaweza kuwa na msingi wa nyumba bila boma
 
Binafsi nilipoandika uzi wa Tanzania Kwanza watu walinishambulia na katika kunishambulia waliweka maneno HAKI na AMANI.

Hivi nini kitangulie, haki au amani? Kwa sababu penye vurugu hata hiyo haki haiwezi kupatikana.
Kwenye haki amani hutawala , pasipo haki hamna amani.

Ukiona sehemu kuna amani bila haki, hapo hamna amani ya kweli.
 
Amani ilisha tangulia muda mrefu, sasa kitambo tunasubiri haki! Ikiendelea kuchelewa Amani itarudi nyuma kuifuata haki!
Ni kweli Amani haipo siku nyingi kilichopo ni uvumilivu tu, tarehe 28 Taifa likipata Uhuru na HAKI kurejeshwa Amani itarejeshwa automatic
 
Kwenye haki amani hutawala , pasipo haki hamna amani.

Ukiona sehemu kuna amani bila haki, hapo hamna amani ya kweli.
Tanzania hakuna Amani kuna uvumilivu tu maana kuwabambikia kesi kuwapiga risasi uonevu unyanyasaji uovu mwingi ni uvunjifu mkubwa wa Amani huo
 
Binafsi nilipoandika uzi wa Tanzania Kwanza watu walinishambulia na katika kunishambulia waliweka maneno HAKI na AMANI.

Hivi nini kitangulie, haki au amani? Kwa sababu penye vurugu hata hiyo haki haiwezi kupatikana.
Haki na amani ni tunu ambazo zinahitaji kuzielezea kwa kuzama, vinginevyo huwezi kupata maana halisi. Zinahitaji kuzama zaidi kwenye kanuni za maadili. Ni kama dhana ya 'healing' na 'cure'. Kuna watu ambao wako healed, but not cured na kuna ambao ni cured, but not healed.
 
Indeed
 
Popote palipokuwa na haki basi automatically amani inakuwepo, lakini sio kila sehemu penye amani pana haki. Haki ndio CEO
 
"Atangulie CCM kwanza, hayo mengine siyo lazima Tanzania. Lazima ni CCM"
Binafsi nilipoandika uzi wa Tanzania Kwanza watu walinishambulia na katika kunishambulia waliweka maneno HAKI na AMANI.

Hivi nini kitangulie, haki au amani? Kwa sababu penye vurugu hata hiyo haki haiwezi kupatikana.
 
Namkejeli mleta swali. Ndio maana nikatumia "". Mleta swali mwenywe kaleta kejeli na anastahili kujibiwa kwa kejeli pia.
Yaani shetani atangulie kwanza? Yaani mengine mema pamoja na mungu siyo lazima? Lazima ni shetani CCM?
 
TUJITEGEMEE,

1. Awali ya yote JPM hana mamlaka ya kukataza vyama vya siasa kufanya mikutano sehemu watakazo kwa sababu, hata Sheria ya Vyama vya Siasa yenyewe, tena ambayo ilifanyiwa mabadiliko ndani ya utawala wake inasema kwamba:-

Hiyo ndiyo sheria ya nchi ambayo inatoa HAKI kwa Vyama vya Siasa kufanya Mikutano ya Hadhara POPOTE PALE ndani ya Jamhuri!!

Lakini JPM kwa kulinda maslahi ya utawala wake, akavunja hiyo sheria na kupoka haki ya vyama kufanya mikutano POPOTE pale!

Na ndo maana nikasema, kuna mengi yaliyovuruga amani kwenye nchi zingine lakini hapa pia yanatokea!!! Ukiukwaji mkubwa wa sheria na haki wa namna hiyo mataifa mengine hawawezi kuvumilia hata siku moja!

Na kwa hakika, amani ya nchi hii hailindwi na Serikali bali inalindwa na Vyama vya Upinzani ambavyo hata pale haki zao zinapovunjwa wazi wazi, wao huamua kuwatuliza Wafuasi wao!

So, Upinzani Ndiyo Wanaolinda Amani ya Taifa Hili!

That's one but two, ingawaje unasema hawakuzuiwa kufanya siasa bali waliambiwa wafanye kwenye majimbo yao lakini agizo hilo haramu la JPM lilikuwa enforced dhidi ya upinzani wakati halikuwa enforced dhidi ya CCM!

Kila mmoja anafahamu mikutano ya hadhara iliyokuwa ikifanywa na akina Humphrey Polepole pamoja na Bashiru Ally!
NOW tell me, Polepole kawa Mbunge wa Karatu kupitia uchaguzi upi hadi akafanye mkutano wa hadhara huko?!

Kumbe wakati Upinzani wakizuiwa kufanya siasa za kitaifa huku mara nyingine wakiingiliwa na polisi hata wanapofanya mikutano ya ndani, CCM waliendelea kufanya siasa na mikutano ya hadhara!

Hilo la Francophone natamani kuingia kiundani lakini nachelea kutoak nje ya mada lakini itoshe tu kusema kwamba kama kupokwa haki na mataifa ya magharibi, karibu nchi zote za ulimwengu wa tatu zinapokwa haki hizo kwa namna moja au nyingine lakini hapa tunazungumzia haki zinazopokwa na watawala wa Kiafrika wengine tuliowachagua kwa kura zetu na wengine waliojinadi kuongoza Waafrika wenzao!!
 
Binafsi nilipoandika uzi wa Tanzania Kwanza watu walinishambulia na katika kunishambulia waliweka maneno HAKI na AMANI.

Hivi nini kitangulie, haki au amani? Kwa sababu penye vurugu hata hiyo haki haiwezi kupatikana.
Kama haki hakuna bora kinuke tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…