Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

Habari wadau wa JF siasa.

Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo nk?

Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi na jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
Ile mahakama ya mafisadi wakubwa wakubwa itapata wateja wa kudumu.
 
Habari wadau wa JF siasa.

Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo nk?

Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi na jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
Vivyo hivyo, watu waliwaza Baada ya Mwl itakuwaje Akaja Mwinyi, itakuwaje Akaja Benjamini itakuwaje Akaja Kikwete itakuwaje na sasa Tunaye Magufuli
 
Ushujaa wake kwangu ni kuweza kutikisa nchi wakati:
1)matajiri wapo,
2)wasomi wapo,
3)wanasiasa wabobezi wapo,
4)kundi la wajinga wajinga wengi tuu wapo,

Nchi imetulia kama maji ya mtungi, kelele mfyuuuuuuu.

Tunataka shujaa mwingine kama yeye lakini aangalia haki za binadamu na utawala bora.
Wenye tabia za Kina kikwete hatuwataki nchi hii tena.

Na moja ya vitu vinavyo fanya nimeheshimu mwenyekiti Mbowe. Ni discipline Chamani, akitamka hata vitu vyenye maswali mengi Chama kinatulia hakuna kelele. Sio mwenyekiti kasema , na wengine wanatoa kauli, na waliojaribu walifukuzwa Chadema bila msamaha. Ni mwendo wa kutii tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnajisahau nyny,shukurani ya punda Ni matake...nimeamini.99 percentage ya nyie madakitari msio na fadhira mmesomeswa na heslb Tena full mkopo.wengine mlisingizia mpaka uyatima ili tu mpate loan,Sasa mmesomeswa bure ,baada ya kumaliza mnaanza ubishoo... nocense.mbona waalimu waha kimbii Kama nyny.hakiya Nani jpm nakuomba Hawa madakitari mashororo wafutie vidigirii vyao,tuone huo ushororo wao wataufanyia wapi....nosense kabisaa eboo.
Soma tena ulichoandika kwenye ajira mtu yupo huru kufanya kazi kule kulipo na maslahi yake alafu kingine akiwa huko private hiyo mikopo ya Bodi hawezi kulipa
 
Makucha ya watu yatafufuka

Skuizi naona watu wanakaa majimboni mwao

Zamani mbunge wa tandahimba familia na yeye wanaishi dar.

Kiufupi hiyo ndo ilikuwaga lyf style.
Bado maigizo kama kawaida
 
Soma tena ulichoandika kwenye ajira mtu yupo huru kufanya kazi kule kulipo na maslahi yake alafu kingine akiwa huko private hiyo mikopo ya Bodi hawezi kulipa
wao tu ndo wanajifanya wanayajua maslahi sio,Basi hata mama zao pengine baadhi yao wasingezaliwa maana wengine wamezalishwa kwa changamoto tena hata upasuaji ,na waliowahamgaikia na madakitari wetu kwenye hosp zetu za umma,Hawa wazalendo hawakuyajua maslahi ila wao tu!! hopless kabisa.angalau Basi hata wange tumika hata miaka kumi tu Kama kuonesha uzalendo kiasi fulani wapi!!shwain kabisa...utakuta ndo kimepewa kituo kufanya kazi kina lipoti then kina dissapia!!! shatapu kabisa!!!! Naomba iwekwe Sheria Kali kuwabana Hawa ma dr.wanaojifanya wanayajua saaaaaana maslahi.bilalifuuuuuuuuu!
 
Kwani yeye ana nini kipya zaidi ya binadamu wengine wanaokwenda chooo?
Acheni ulimbukeni, wapo wengi tena wazuri zaidi yake tena wa kutupekeleka mbali zaidi yake
Au mnataka tumpate wa kujenga kwa kujenga kama yeye alivyofanya chatown?
Punguzeni kuwashwa washwa maeneo nyeti
 
wao tu ndo wanajifanya wanayajua maslahi sio,Basi hata mama zao pengine baadhi yao wasingezaliwa maana wengine wamezalishwa kwa changamoto tena hata upasuaji ,na waliowahamgaikia na madakitari wetu kwenye hosp zetu za umma,Hawa wazalendo hawakuyajua maslahi ila wao tu!! hopless kabisa.angalau Basi hata wange tumika hata miaka kumi tu Kama kuonesha uzalendo kiasi fulani wapi!!shwain kabisa...utakuta ndo kimepewa kituo kufanya kazi kina lipoti then kina dissapia!!! shatapu kabisa!!!! Naomba iwekwe Sheria Kali kuwabana Hawa ma dr.wanaojifanya wanayajua saaaaaana maslahi.bilalifuuuuuuuuu!
Kumbe sheria hiyo hakuna ila Magufuli Kafanya ubabe halafu unamsifia kenge wewe
 
hajafanya ubabe.katiba inamruhusu ,Kama rais kutoa maelekezo/kuamuru juu ya Jambo lolote ikiwa lina maslahi mapana kwa umma.kasome katiba vzr.usiwe na akili Kama za bavicha.shwain zako.

Ila kwa kuwa kada ya afya ni very sensitive & crucial kwa kweli itungwe sheria kuwabana hawa Dr's.iwe ni 10yrs utumikie hosp za govt, after then ndo wawe huru kwenda wanakotaka.
 
Hivi Kuna shortage ya madaktari?

Hili Sio sawa kabisa. Kwani huko walipo si wanahudumia Watanzania wengine?
 
Nchi itakuwa kwenye madeni makubwa
Nchi itakuwa kwenye umasikini.
Magufuli anaua uwekezaji, anaua ajira nchini kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.
Hivi huyu mwekezaji hapa chini kosa lake ni nini?

View attachment 1690196
Hivi mikopo ya elimu ya juu ina masharti ya kufanya kazi kwanza serikalini kwa kipindi fulani baada ya kumaliza masomo?
 
Back
Top Bottom