permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Ile mahakama ya mafisadi wakubwa wakubwa itapata wateja wa kudumu.Habari wadau wa JF siasa.
Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo nk?
Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi na jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
Kwanini nduguYule Mbunge anayetaka Rais Magufuli aongezewe mhula akiiona hii comment yako, atamwambia Rais usikubali kabisa kuachia madaraka.
Walikuwa wanavunja sheria ipi ya TanzaniaMakucha ya watu yatafufuka
Skuizi naona watu wanakaa majimboni mwao
Zamani mbunge wa tandahimba familia na yeye wanaishi dar.
Kiufupi hiyo ndo ilikuwaga lyf style.
Thubutu!Ile mahakama ya mafisadi wakubwa wakubwa itapata wateja wa kudumu.
Vivyo hivyo, watu waliwaza Baada ya Mwl itakuwaje Akaja Mwinyi, itakuwaje Akaja Benjamini itakuwaje Akaja Kikwete itakuwaje na sasa Tunaye MagufuliHabari wadau wa JF siasa.
Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo nk?
Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi na jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
Ushujaa wake kwangu ni kuweza kutikisa nchi wakati:Vivyo hivyo, watu waliwaza Baada ya Mwl itakuwaje Akaja Mwinyi, itakuwaje Akaja Benjamini itakuwaje Akaja Kikwete itakuwaje na sasa Tunaye Magufuli
Soma tena ulichoandika kwenye ajira mtu yupo huru kufanya kazi kule kulipo na maslahi yake alafu kingine akiwa huko private hiyo mikopo ya Bodi hawezi kulipamnajisahau nyny,shukurani ya punda Ni matake...nimeamini.99 percentage ya nyie madakitari msio na fadhira mmesomeswa na heslb Tena full mkopo.wengine mlisingizia mpaka uyatima ili tu mpate loan,Sasa mmesomeswa bure ,baada ya kumaliza mnaanza ubishoo... nocense.mbona waalimu waha kimbii Kama nyny.hakiya Nani jpm nakuomba Hawa madakitari mashororo wafutie vidigirii vyao,tuone huo ushororo wao wataufanyia wapi....nosense kabisaa eboo.
Bado maigizo kama kawaidaMakucha ya watu yatafufuka
Skuizi naona watu wanakaa majimboni mwao
Zamani mbunge wa tandahimba familia na yeye wanaishi dar.
Kiufupi hiyo ndo ilikuwaga lyf style.
wao tu ndo wanajifanya wanayajua maslahi sio,Basi hata mama zao pengine baadhi yao wasingezaliwa maana wengine wamezalishwa kwa changamoto tena hata upasuaji ,na waliowahamgaikia na madakitari wetu kwenye hosp zetu za umma,Hawa wazalendo hawakuyajua maslahi ila wao tu!! hopless kabisa.angalau Basi hata wange tumika hata miaka kumi tu Kama kuonesha uzalendo kiasi fulani wapi!!shwain kabisa...utakuta ndo kimepewa kituo kufanya kazi kina lipoti then kina dissapia!!! shatapu kabisa!!!! Naomba iwekwe Sheria Kali kuwabana Hawa ma dr.wanaojifanya wanayajua saaaaaana maslahi.bilalifuuuuuuuuu!Soma tena ulichoandika kwenye ajira mtu yupo huru kufanya kazi kule kulipo na maslahi yake alafu kingine akiwa huko private hiyo mikopo ya Bodi hawezi kulipa
Kumbe sheria hiyo hakuna ila Magufuli Kafanya ubabe halafu unamsifia kenge wewewao tu ndo wanajifanya wanayajua maslahi sio,Basi hata mama zao pengine baadhi yao wasingezaliwa maana wengine wamezalishwa kwa changamoto tena hata upasuaji ,na waliowahamgaikia na madakitari wetu kwenye hosp zetu za umma,Hawa wazalendo hawakuyajua maslahi ila wao tu!! hopless kabisa.angalau Basi hata wange tumika hata miaka kumi tu Kama kuonesha uzalendo kiasi fulani wapi!!shwain kabisa...utakuta ndo kimepewa kituo kufanya kazi kina lipoti then kina dissapia!!! shatapu kabisa!!!! Naomba iwekwe Sheria Kali kuwabana Hawa ma dr.wanaojifanya wanayajua saaaaaana maslahi.bilalifuuuuuuuuu!
Ndio hata mimi najiulizaKwani nini kilitokea baada ya Hayati baba wa taifa na Benjamin ? Nation will press on peace full
hajafanya ubabe.katiba inamruhusu ,Kama rais kutoa maelekezo/kuamuru juu ya Jambo lolote ikiwa lina maslahi mapana kwa umma.kasome katiba vzr.usiwe na akili Kama za bavicha.shwain zako.Kumbe sheria hiyo hakuna ila Magufuli Kafanya ubabe halafu unamsifia kenge wewe
hajafanya ubabe.katiba inamruhusu ,Kama rais kutoa maelekezo/kuamuru juu ya Jambo lolote ikiwa lina maslahi mapana kwa umma.kasome katiba vzr.usiwe na akili Kama za bavicha.shwain zako.
Ila kwa kuwa kada ya afya ni very sensitive & crucial kwa kweli itungwe sheria kuwabana hawa Dr's.iwe ni 10yrs utumikie hosp za govt, after then ndo wawe huru kwenda wanakotaka.
Hili Sio sawa kabisa. Kwani huko walipo si wanahudumia Watanzania wengine?hajafanya ubabe.katiba inamruhusu ,Kama rais kutoa maelekezo/kuamuru juu ya Jambo lolote ikiwa lina maslahi mapana kwa umma.kasome katiba vzr.usiwe na akili Kama za bavicha.shwain zako.
Ila kwa kuwa kada ya afya ni very sensitive & crucial kwa kweli itungwe sheria kuwabana hawa Dr's.iwe ni 10yrs utumikie hosp za govt, after then ndo wawe huru kwenda wanakotaka.
Ipo ila ni ya kujitakia, wapo wengi mitaani hawajaajiriwa.Hivi Kuna shortage ya madaktari?
Hivi mikopo ya elimu ya juu ina masharti ya kufanya kazi kwanza serikalini kwa kipindi fulani baada ya kumaliza masomo?Nchi itakuwa kwenye madeni makubwa
Nchi itakuwa kwenye umasikini.
Magufuli anaua uwekezaji, anaua ajira nchini kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.
Hivi huyu mwekezaji hapa chini kosa lake ni nini?
View attachment 1690196
HainaHivi mikopo ya elimu ya juu ina masharti ya kufanya kazi kwanza serikalini kwa kipindi fulani baada ya kumaliza masomo?
Hizo sheria ni za kenge chazachazaHaina
Mwisho wake wajaHizo sheria ni za kenge chazachaza