Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

Vipi Ushapata muongozo wa kitakachotokea?

Cc: Mahandazi
 
Hatimaye madudu yameanza kuibuliwa na CAG.
 
Sina uhakika kama hili jiwe linaweza kupasuka vipande vipande[emoji38], atafwata minyao ya m7 nahis, huyu n m7 aliyechangamka[emoji1787][emoji1787]
Unasema?
 
Rudi mkuu kama umemaliza kula kimasikhara
 
Mkuu tindo nimekusoma hapa kwenye utabiri wako. Yanayokea tunayaona
 
Mkuu heshima yako!
Sijambo Mkuu, tupeane pole kwa msiba mzito uliotukuta.

Kwenye maoni yangu nilisema haijawahi kutokea Rais kufikwa na umauti akiwa madarakani, lakini Mungu mwenyewe hujiamulia wapi na lini avune.

Hatimaye kwa mara ya kwanza imetokea, what else should we say?

Apumzike kwa amani😭🙏🙏
 
Na maisha yanaendelea vizuri sana. Tunahitaji katiba mpya
Katiba iliyopo ina mapungufu gani ?

Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 ni moja ya Katiba bora barani Afrika na Duniani kwa ujumla
 
Umefurahi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…