Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

Magufuli anapaswa kwenda jela baada ya 2025, hawezi kufanya Uhalifu mkubwa hivi dhidi ya raia halaf aachwe tu akakae Chato, stahili yake ni jela period!
Amesema ataenda zake kuishi Karagwe, akafuge mifugo
 
Dunia inaendelea kuwepo maisha yamekuwa yakiendelea hata watu wazuri sana walipoondoka duniani.
 
Wanajuaw wakiweka mifumo, yeyote aweza kuendesha nchi, hata dereva bajaj, ndiyo maana hawataki, wanaweka personalities.
Katiba, sheria sijui taratibu siyo muhimu, muhimu ni mtu.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hapana bado hajaolewa, kwa fame yao lazima ingetangazwa au kuandikwa humu kama ilivyotokea wakati ule amepata division 4 na bado amechaguliwa kusoma bachelor degree Udom
Kaolewa na Mbunge fulani bunge lilopita, ilikuwa harusi ya kimyakmya na hakukuwa na sherehe yoyote. Magufuli aliwahi kuvujisha hii Siri.
 
Bungua, swali langu kwako na kwa unyenyekevu mkubwa naomba ukijibu.
' sisi opposition mpaka sasa tunayo dawa ya kipigo cha uchaguzi pindi uchaguzi mwingine ukiitishwa tena? Jitahidi uwe na muono halisi.
Mimi niulize tu si lazima ujidangaje kwa kujifanya mpinzani. Labda uwe pseudo opposition! Katiba ndio mbaya. Wote tunajua ni mbaya. Hata na Jiwe anajua ni mbaya. Hata waliomtangulia walijua hivyo. Nyerere aliisemea na hasa madaraka makubwa mno ya rais. Alisema akiingia kichaa atakuwa dikteta. Tayari kichaa yupo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…