Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Ndugai alisema atake asitake.Alishawajibu wakina Nkamia na Keisi kuwa hataki mhula mwingine baada mihula yake miwili kumalizika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugai alisema atake asitake.Alishawajibu wakina Nkamia na Keisi kuwa hataki mhula mwingine baada mihula yake miwili kumalizika.
But we don't expect that to happen here. God forbid, manake si unajua na akina Jesca wangependa siku wanaolewa Baba yao ashuhudie.Nkurunziza alifariki kabla ya hata kukabidhi madaraka.
Mwanadamu upanga Mungu nae upangaNdugai alisema atake asitake.
Kwanini si kashaolewa?But we don't expect that to happen here. God forbid, manake si unajua na akina Jesca wangependa siku wanaolewa Baba yao ashuhudie.
Ktk maoni haya yaliyotoka humu Kuna mengine sahihi.Nani kakuambia atatoka? Subiri atoke ndipo uulize sio sasa hivi labda ataendelea?
Amesema ataenda zake kuishi Karagwe, akafuge mifugoMagufuli anapaswa kwenda jela baada ya 2025, hawezi kufanya Uhalifu mkubwa hivi dhidi ya raia halaf aachwe tu akakae Chato, stahili yake ni jela period!
Dunia inaendelea kuwepo maisha yamekuwa yakiendelea hata watu wazuri sana walipoondoka duniani.Habari wadau wa JF siasa.
Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo nk?
Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi na jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
Wanajuaw wakiweka mifumo, yeyote aweza kuendesha nchi, hata dereva bajaj, ndiyo maana hawataki, wanaweka personalities.Ndio maana mnaambiwa jengeni mifumo badala ya personalities. Binadamu tunapita; nchi na mifumo yake hudumu.
Kwenye hili CCM mmekwama completely toka enzi za Mwalimu. Anyway, sio kwa bahati mbaya ila makusudi mazima ili muendelee kutawala kijanja janja. Ila mwisho upo.
Hapana bado hajaolewa, kwa fame yao lazima ingetangazwa au kuandikwa humu kama ilivyotokea wakati ule amepata division 4 na bado amechaguliwa kusoma bachelor degree UdomKwanini si kashaolewa?
Kaolewa na Mbunge fulani bunge lilopita, ilikuwa harusi ya kimyakmya na hakukuwa na sherehe yoyote. Magufuli aliwahi kuvujisha hii Siri.Hapana bado hajaolewa, kwa fame yao lazima ingetangazwa au kuandikwa humu kama ilivyotokea wakati ule amepata division 4 na bado amechaguliwa kusoma bachelor degree Udom
Serious? Nilikuwa sijui hiliKaolewa na Mbunge fulani bunge lilopita, ilikuwa harusi ya kimyakmya na hakukuwa na sherehe yoyote. Magufuli aliwahi kuvujisha hii Siri.
Hapana hapa sio sawa.Nchi itakuwa kwenye madeni makubwa
Nchi itakuwa kwenye umasikini.
Magufuli anaua uwekezaji, anaua ajira nchini kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.
Hivi huyu mwekezaji hapa chini kosa lake ni nini?
View attachment 1690196
Mimi niulize tu si lazima ujidangaje kwa kujifanya mpinzani. Labda uwe pseudo opposition! Katiba ndio mbaya. Wote tunajua ni mbaya. Hata na Jiwe anajua ni mbaya. Hata waliomtangulia walijua hivyo. Nyerere aliisemea na hasa madaraka makubwa mno ya rais. Alisema akiingia kichaa atakuwa dikteta. Tayari kichaa yupo!Bungua, swali langu kwako na kwa unyenyekevu mkubwa naomba ukijibu.
' sisi opposition mpaka sasa tunayo dawa ya kipigo cha uchaguzi pindi uchaguzi mwingine ukiitishwa tena? Jitahidi uwe na muono halisi.
Sio kwa nchi hiiKumbuka kuwa jinai inadumu kwa maisha ya mtuhumiwa
Huna lolote wewe chumia tumbo wa koromitjeBungua, swali langu kwako na kwa unyenyekevu mkubwa naomba ukijibu.
' sisi opposition mpaka sasa tunayo dawa ya kipigo cha uchaguzi pindi uchaguzi mwingine ukiitishwa tena? Jitahidi uwe na muono halisi.