Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

Mataga mnatabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mataga mkuu. Mimi ni pure from Chadema. Nimeandika hivyo maksudi kama ujuavyo kwa hili bunge wanaweza wakafanya lolote lile walitakalo. Kwani umesahau uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka juzi vipi unesahau na uchaguzi mkuu mwaka jana??? Huyu mshua simuamini nitaamini kweli siku ya mwisho kukaa madarakani ikifika na akikubali kwa moyo mmoja.
 
Mimi niulize tu si lazima ujidangaje kwa kujifanya mpinzani. Labda uwe pseudo opposition! Katiba ndio mbaya. Wote tunajua ni mbaya. Hata na Jiwe anajua ni mbaya. Hata waliomtangulia walijua hivyo. Nyerere aliisemea na hasa madaraka makubwa mno ya rais. Alisema akiingia kichaa atakuwa dikteta. Tayari kichaa yupo!
Kwa hali hiyo lazima tujue pá kuanzia, na tuanze sasa. Ile kukurupuka bado miezi machache kila siku inakula kwetu.

Nimekupenda bure. Sipendi wapinzani ambao hawajui wapi tatizo na lazima tuanze sasa.
Lipumba amenifurahisha sana. Amei present softly but strong the need to have new especially Warioba, pro people Constitution.
 
Mimi sio mataga mkuu. Mimi ni pure from Chadema. Nimeandika hivyo maksudi kama ujuavyo kwa hili bunge wanaweza wakafanya lolote lile walitakalo. Kwani umesahau uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka juzi vipi unesahau na uchaguzi mkuu mwaka jana??? Huyu mshua simuamini nitaamini kweli siku ya mwisho kukaa madarakani ikifika na akikubali kwa moyo mmoja.
Kawadanganye mazuzu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huwezi kuumiza wengine kiasi hiki halafu ukatoka kwenye power kizembe zembe. hii ni level ambaye huwezi kumuamini yeyote (huna wa kumuachia madaraka ukimuamini atakulinda). Kina M7 na Kagame wanatamani sana wapumzike,lakini wanaogopwa kudabwa
Hata huyu mjuba wetu dalili zinaonekana peupe tu kuwa linaweza kutokea lolote la kuongeza mihula ya kuongoza. Tujipe muda na tuombe uzima tu.
 
Kwanza akistaafu, Watanzania wengi watapika pilau wakifurahiaa na kujipongeza man walikuwa hawana imani km angestaafu....

Kuhusu rais ajae km ni majaliwa au mwinyi bhas ata harmonise situation hatokuwa na roho ya kinyama km alotangulia, sema miradi mingi ya alotangulia inaweza kufa... Mkumbuke kla rais anaeingiaa anatafuta upepo wake, km huyu sasa hv focus yke ipo kwny vtu atakaeingia anaweza focus ktk watu.
 
Habari wadau wa JF siasa.

Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo nk?

Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi na jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
Nchi inaweza kuingia ktk kipindi kigumu kisiasa na kiuchumi.
 
Habari wadau wa JF siasa.

Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo nk?

Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi na jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
Chato itakua kama Dsm
 
Hata anachofanya polepole kupokea matatizo ya watu kwenye simu channel ten ni utopolo mtupu jengeni mifumo imara itakayosimamia kwa haki sheria na taratibu za nchi kinyume na hapo ni sifa za kijinga mnataka kujipatia.
unataka mifumo imara ya namna ipi mkuu? karibia kila wizara kwa Sasa mifumo imefsnyiwa mapinduz kwa kiasi kikubwa,kwa kurekebisha mifumo hii,ndio maana tunayaona matokeo chanya mpaka sasa ,karibia kila wizara mifumo iko very serious and tough.sometimes we better be grateful u people.
 
Atagombana na mrithi wake kwa kuwa hana kifua cha kuvumilia vijembe vya Wapambe wa Rais ajae.

Cyprian Musiba wa Awamu ya 6 atakuwa anam provoke nae 'atajaaa'.

JK alitumia busara na subira ya hali ya juu sana kukwepa kuchonganishwa na Mrithi wake, sijui kama Yeye atakuwa na hicho kifua kama cha Jk
waachani wazee wapumzike jamani.msiwasumbue.
 
Huyu raisi hovyo sana
mnajisahau nyny,shukurani ya punda Ni matake...nimeamini.99 percentage ya nyie madakitari msio na fadhira mmesomeswa na heslb Tena full mkopo.wengine mlisingizia mpaka uyatima ili tu mpate loan,Sasa mmesomeswa bure ,baada ya kumaliza mnaanza ubishoo... nocense.mbona waalimu waha kimbii Kama nyny.hakiya Nani jpm nakuomba Hawa madakitari mashororo wafutie vidigirii vyao,tuone huo ushororo wao wataufanyia wapi....nosense kabisaa eboo.
 
Mwana CHADEMA gani Yuko mahakamani kwa makosa ya ufisadi?
chadema ni mafisadi indirect ,kwa bahati mbaya mwanzo enzi za mzee slaa walikuwa vizuri na nia ilikuwa njema,mi nadhani mzee slaa alikuwa anatumia akili kubwa kuwa shape,tangu slaa ametoka akaachiwa chama yule ndg mroho Kama fisi,wamepoteana mazima...imekuwa ni campuni ya mabeberu sio chama Cha siasa tena.
 
Rushwa na ufisadi bado vipo ndio maana utumbuaji na PCCB wanaendelea na kazi.

Tafuta point nyingine, hii ume bugi.
hii nchi Ni kubwa,watu zaidi ya mil 60,unadhani ni rahisi kuwafanya wote wawe wazalendo?majambazi yatakuwepo tu,japo kwa Sasa rate ya ufisadi iko chini sana.hili lazima tukubali kazi kubwa imefanyika mkuu.
 
Back
Top Bottom