Nini kitatokea endapo Dunia itaacha kujizungusha ktk mhimili wake na pia endapo itaacha kulizunguka jua?

Joined
Jul 30, 2018
Posts
49
Reaction score
42
Habari zenu tena.
Kama kichwa cha uzi kisemavyo, nini kitatokea endapo dunia itaacha kujizungusha ktk mhimili wake na kulizunguka jua ghafla na kutulia tuli, nini kitatokea? Wale wajuao in advance, please share nasi!

Hili ni swali la kufikirika tu maana wanasayansi wanasema hiyo kutokea ni possibility ndogo sana, hivyo ni ENDAPO ITATOKEA.
 
Sisi binadamu na vitu vilivyomo Duniani tutarushwa kwa kasi kubwa kutoka Duniani kuelekea kwenye outer space au hata kwenye other planets huko.

Ni sawa na ukawa kwenye gari lenye mwendokasi mkubwa then ghafla lifunge breki ilhali nyinyi hamna sehemu ya kujishikiza wala kushikilia na mmepanda kwenye nyuma ya pickup... Mtajikuta mmerushwa kutoka nyuma mlipokaa hadi nje ya gari mlilopanda.
Hili ni la kwanza.

Do I make sense?
 
Dah, we jamaa majibu yako yako kishule zaidi. Wewe ni great thinker. Nimeluelewa vizuri sana hapa, ila tutarushiwa upande gani? Uelekeo wa bahari ya hindi au magharibi?
 
Habari zenu tena.
Kama kichwa cha uzi kisemavyo, nini kitatokea endapo dunia itaacha kujizungusha ktk mhimili wake na kulizunguka jua ghafla na kutulia tuli, nini kitatokea? Wale wajuao in advance, please share nasi!

More to come!
Sorry but this is future impossible tense....
Nilichotaka kukuliza kimejibiwa hapa na Mshana Jr
 
Dah, we jamaa majibu yako yako kishule zaidi. Wewe ni great thinker. Nimeluelewa vizuri sana hapa, ila tutarushiwa upande gani? Uelekeo wa bahari ya hindi au magharibi?
Tutarushwa kuelekea kwenye anga hewa huko outer space na kuaicha Dunia... Tunaweza kuelekea kwenye sayari ya aidha Mars au Venus na sio baharini maana tutavurumushwa kwa kuuacha uso wa Dunia.

Aerospace engineer inakiri hili pia kwa mapana kutokana na theory zake za relativity and quantum.
 
Sisi binadamu na vitu vilivyomo Duniani tutarushwa kwa kasi kubwa kutoka Duniani kuelekea kwenye outer space au hata kwenye other planets huko.

Ni sawa na ukawa kwenye gari lenye mwendokasi mkubwa then ghafla lifunge breki ilhali nyinyi hamna sehemu ya kujishikiza wala kushikilia na mmepanda kwenye nyuma ya pickup... Mtajikuta mmerushwa kutoka nyuma mlipokaa hadi nje ya gari mlilopanda.
Hili ni la kwanza.

Do I make sense?

Yeah you make sense japo tukirushwa tutaangukia duniani hapahapa sidhani kama tutafika outer space.

Lkn pia majira hayatapatikana wala usiku na nchana
 
Dunia ikiacha kujizungusha inamaana iliposimamia majira yatasimama, wale wa mchana wata enjoy ila wale wa usiku mimea yote ya kijani itakufa. Dunia ikacha kulizunguka jua majira yatabaki kama yalivyo kama kipupwe ni kipupwe January to December. Mind u dunia inazunguka kwa maelf ya kilometre kwa saa, ikatokea imefunga breki ghafla maana yake kutakua na uharibifu mkubwa kwa vitu vyote vilivyopo juu ya uso wa ardhi
 
Its impossible ndio but imagine kikitokea matokeo yake yatakuwa ni nini? Ndio msingi wa swali Mkuu.
Ni vyema tupate uhakika wa hilo jambo kwanza ndio tuanze kufikiria kitakachotokea baada ya hilo tukio.

Endapo kama kuna nadharia yoyote ambayo inaelezea kutokea kwa hilo jambo ndio tungeanza kufikiria kinachoweza kutokea.
 
Yeah you make sense japo tukirushwa tutaangukia duniani hapahapa sidhani kama tutafika outer space.

Lkn pia majira hayatapatikana wala usiku na nchana
Hii maana yake ulaya ikitokea dunia imesimama na walikuwa winter ndio basi tena, watapambana na winter mpaka mwisho.
Kwa Dar tuombe sio lile joto la mwezi wa kumi.
 
Tutarushwa kuelekea kwenye anga hewa huko outer space na kuaicha Dunia... Tunaweza kuelekea kwenye sayari ya aidha Mars au Venus na sio baharini maana tutavurumushwa kwa kuuacha uso wa Dunia.

Aerospace engineer inakiri hili pia kwa mapana kutokana na theory zake za relativity and quantum.
Kutokea hapa ardhini tulipo huko outerspace ndio uelekeo upi mkuu?Yaani kama kuelekea mawinguni huko au?
 
Ni vyema tupate uhakika wa hilo jambo kwanza ndio tuanze kufikiria kitakachotokea baada ya hilo tukio.

Endapo kama kuna nadharia yoyote ambayo inaelezea kutokea kwa hilo jambo ndio tungeanza kufikiria kinachoweza kutokea.
Mkuu, wanasema think outside the box. Sio mbaya tukifikiri nje ya mipaka yetu, tunazipa akili zetu mazoezi ya kutokulemaa kwa kufikiria ndani ya mipaka. Hii ni hypothetical situation.
 
Sawa mkuu, ila huoni kwamba ukianza kufikiri hapo karibu ndio itakupa mwanga zaidi wa kufikiri nje ya box? Na huenda tunaweza kupata jibu la uhakika kabla hatujaanza kufikiri nje ya box.
 
Back
Top Bottom