Nimecheki google, dunia inajizungusha anticlockwise. Maana yake inazunguka ikitokea kushoto kuelekea kulia. Jamaa yuko sahihi, tutavurumishwa kwenda space zingine maana hapa tunapoongea, dunia inajizungusha ktk mhimili wake na pia inalizunguka jua ingawa hatuhisi huo mzunguko. Hivyo tuko ktk movement. Ikisimama ghafla ile movement itaturusha mbali sana maana spi ya kuzunguka ni kubwa sana.
Mfando mchukue sisimizi kisha muweke ktk mpira unaoelea hewani na unajizungusha. Tufanye mpira huu ndio dunia. Uwe unazunguka kwa spidi sana alafu ghafla unausimamisha. Sisimizi atatupwa huko, kama kuna mpira mwingine atatua huko.
Pia kwa scenario hii nafikiri na maji ya bahari, maziwa na mito zitatupwa mbali na dunia.