jogoo_dume
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 2,204
- 1,939
Masahihisho:Endapo dunia itaacha kujizungusha yenyewe katika muhimili wake hakutoluwa na majira ya mwaka kama kipupwe,kiangazi kifuku na vuli lakini pia kama itakuwa imeganda ikiwa bado no mchana mahala ulipo bhac itakuwa hivyo forever maana matokeo ya jua kujizungusha yenyewe katika mhimili wake (orbit) ni kupata usiku na mchana
Majira ya mwaka yanapatikana kwa dunia kuzunguka jua, dunia kujizungusha katika mhimili wake tunapata usiku na mchana tu.