Nini kitatokea endapo Dunia itaacha kujizungusha ktk mhimili wake na pia endapo itaacha kulizunguka jua?

Sisi binadamu na vitu vilivyomo Duniani tutarushwa kwa kasi kubwa kutoka Duniani kuelekea kwenye outer space au hata kwenye other planets huko.

Ni sawa na ukawa kwenye gari lenye mwendokasi mkubwa then ghafla lifunge breki ilhali nyinyi hamna sehemu ya kujishikiza wala kushikilia na mmepanda kwenye nyuma ya pickup... Mtajikuta mmerushwa kutoka nyuma mlipokaa hadi nje ya gari mlilopanda.
Hili ni la kwanza.

Do I make sense?
Gravity inategemea dunia kujizungusha kwenye mhimili wake au kulizunguka jua?
 
(1)hadi dunia iache kuzunguka Jua means gravitational pull kati ya dunia na jua haipoo...ko Dunia itavutwaa kuelekea kwenye kitu chengine...kikubwaa kilichopo karibuu...ko sio ajabuu tukaanza izunguka Jupiter ....that's it mzee baba...note:hamna namna ambayo gravitational pull kati ya dunia na jua itaondokaa.. refer Newton's law of universal gravitation...

(2)piaa hadi dunia iache kuzunguka jua means kuna nyota(sio lazima au kitu kikubwa chengine) nyengine imesogea karibu na Dunia ko na yenyewe ina attract dunia towards it in a such way force ya jua kuja kwenye dunia ipo sawa na force ya kutoka kwenye hicho kitu chengine whether it is a star or something else......sasa endapo itakuwa hivyoo...kitachotokea ni kwamba zile effect zote zinazoletwa na revolution of the earth hazitakuwepoo ....

Mkuu kwa ulichosema mimi pia nimefikiria kingine, wataalam wanasema kuna Nyota kubwa zaidi ya dunia kwa mara nyingi sasa ikitokea Nyota moja ambayo ni kubwa na kuigonga dunia yetu hii, obviously madhara yatakuwa makubwa kwa viumbe hai wote ktk uso wa dunia na sijui sayari dunia yetu itasukumwa wp

Inawezekana watu wa dini huwa wakielezea kiyama/kiama wana ni situation kama hizi labda zitatokea sema namna ya uwasiliahaji ndo huo tunaopewa
 
ni kweli zipo nyota kubwa kuliko jua ila zipo mbalii....na kma unavyojua gravitational force ipo inversely proportional na distance btn vitu vinavyovutana..ko mzee faza ndo maana saiv hatujavutwa nazoo ila ikitokea gravitational force ya jua haipo tena(which is impossible) ndo tutavutwa na hizo star zengine(the closest one after the Sun).....nahisi kama u dont get my point
 
Tutarushwa kuelekea kwenye anga hewa huko outer space na kuaicha Dunia... Tunaweza kuelekea kwenye sayari ya aidha Mars au Venus na sio baharini maana tutavurumushwa kwa kuuacha uso wa Dunia.

Aerospace engineer inakiri hili pia kwa mapana kutokana na theory zake za relativity and quantum.
hilo eneo kiranga yuko vizuri asante kwa maelezo rahisi kueleweka
 
1. Hakutakuwa na kupwa na kujaa kwa bahari inamaana bahari itatuama itajaza nchi kavu au maji ya bahari kumwagikia kwenye space
2 . itakuwa tarehe moja mda wote kama saa iliyoisha betri mfano 15 August maisha yote kama usiku itabaki usiku au mchana daima
3. Tetemeko kuuu kama kiganja kufinyanga karatasi
4.nusu ya dunia kukauka kau kama jangwa, nusu nyingine kuganda kama barafu sababu ya kukosa joto
 
Mada kama hizi nazipenda sana angalao mtu unapunguza mawazo mgando na changamoto za maisha na siasa.

Ninachonelea hapo kama walivyosema wadau uwezekano haupo kwa sasa labda jua lifikie mwisho wake.
Maana ule mvutano ulio kati ya jua na dunia ndio unafanya huo mzunguko. Na ili huo mzunguko usiwepo inabidi kimoja wapo kisiwepo nacho ni jua. Dunia kama dunia inaundwa na madini mbali mbali ambayo ndio yanasababishwa kuvutwa na kuvuta kwa hio jua lisipo kuwepo dunia itavutwa na kitu kingine au dunia itakua inavuta vitu vidogo yake .

Ikumbukwe kua jua nalo kuna sehemu linavutwa na lenyewe lina rotation yake na ya namna yake.

Kwa hio ili fanikio la dunia kusimamisha mizunguko yake itahusisha vitu vingi kuanzia kwenye blachole ya jua huko.

Yote ya yote Sifa zote njema zinarejea kwa Mungu alie asisi haya.
 
Upande mmoja wa dunia utaganda alafu upande wa pili kutakuwa kuna joto sana
 
Eneo litakalokuwa usiku wataendelea na usiku wao, halikadhalika eneo litalokuwa mchana, na kuna madhara makubwa yatatokea ya kimazingira.

Usiombee hili litokee.
 
Mada kama hizi nazipenda sana angalao mtu unapunguza mawazo mgando na changamoto za maisha na siasa.

Ninachonelea hapo kama walivyosema wadau uwezekano haupo kwa sasa labda jua lifikie mwisho wake.
Maana ule mvutano ulio kati ya jua na dunia ndio unafanya huo mzunguko. Na ili huo mzunguko usiwepo inabidi kimoja wapo kisiwepo nacho ni jua. Dunia kama dunia inaundwa na madini mbali mbali ambayo ndio yanasababishwa kuvutwa na kuvuta kwa hio jua lisipo kuwepo dunia itavutwa na kitu kingine au dunia itakua inavuta vitu vidogo yake .

Ikumbukwe kua jua nalo kuna sehemu linavutwa na lenyewe lina rotation yake na ya namna yake.

Kwa hio ili fanikio la dunia kusimamisha mizunguko yake itahusisha vitu vingi kuanzia kwenye blachole ya jua huko.

Yote ya yote Sifa zote njema zinarejea kwa Mungu alie asisi haya.
Ikumbukwe kua jua nalo kuna sehemu linavutwa na lenyewe lina rotation yake na ya namna yake.

Mkuu naomba ufafanuzi zaidi hapo.
 
Endapo dunia itaacha kujizungusha yenyewe katika muhimili wake hakutoluwa na majira ya mwaka kama kipupwe,kiangazi kifuku na vuli lakini pia kama itakuwa imeganda ikiwa bado no mchana mahala ulipo bhac itakuwa hivyo forever maana matokeo ya jua kujizungusha yenyewe katika mhimili wake (orbit) ni kupata usiku na mchana
 
mkuu hiyo kitu haiwezi tokea kwa sababu yehova mungu aliye umba mfumo huo nimkuu kuliko chochote vitu vyake ni vya milele
 
Ungeuliza hivi! Nini kitatokea kama dunia ikianza kujizungusha?? Hilo ndio lingekuwa swali?? Kwakuwa haijizungushi na tunaona mambo yako poa tu, hivo swali lako halina swali ondoa alama ya ulizo kwenye habari hii
 
Sisi binadamu na vitu vilivyomo Duniani tutarushwa kwa kasi kubwa kutoka Duniani kuelekea kwenye outer space au hata kwenye other planets huko.

Ni sawa na ukawa kwenye gari lenye mwendokasi mkubwa then ghafla lifunge breki ilhali nyinyi hamna sehemu ya kujishikiza wala kushikilia na mmepanda kwenye nyuma ya pickup... Mtajikuta mmerushwa kutoka nyuma mlipokaa hadi nje ya gari mlilopanda.
Hili ni la kwanza.

Do I make sense?
Na hyo magnetic force ya kuzuia vitu vya duniani kwenda kwingine itakuwa haifanyi kazi?? Nadhani kwa asilimia 100 umekiri dunia sio tufe na haijizungushi, kama ambavyo ulidhani mwanzo,

Hii mada huwa tamu sana maana mtu atakwambia dunia tufe kwa neno moja maelezo yake yakija anaelezea dunia ambayo sio tufe.
 
Mada kama hizi nazipenda sana angalao mtu unapunguza mawazo mgando na changamoto za maisha na siasa.

Ninachonelea hapo kama walivyosema wadau uwezekano haupo kwa sasa labda jua lifikie mwisho wake.
Maana ule mvutano ulio kati ya jua na dunia ndio unafanya huo mzunguko. Na ili huo mzunguko usiwepo inabidi kimoja wapo kisiwepo nacho ni jua. Dunia kama dunia inaundwa na madini mbali mbali ambayo ndio yanasababishwa kuvutwa na kuvuta kwa hio jua lisipo kuwepo dunia itavutwa na kitu kingine au dunia itakua inavuta vitu vidogo yake .

Ikumbukwe kua jua nalo kuna sehemu linavutwa na lenyewe lina rotation yake na ya namna yake.

Kwa hio ili fanikio la dunia kusimamisha mizunguko yake itahusisha vitu vingi kuanzia kwenye blachole ya jua huko.

Yote ya yote Sifa zote njema zinarejea kwa Mungu alie asisi haya.
Hoja yako iko vyema sana, hivi ndio tunatakiwa tufikirie juu ya hili tukio
 
Back
Top Bottom