tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,315
Hii maana yake ulaya ikitokea dunia imesimama na walikuwa winter ndio basi tena, watapambana na winter mpaka mwisho.
Kwa Dar tuombe sio lile joto la mwezi wa kumi.
Ikitokea itakuwa ni kiama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii maana yake ulaya ikitokea dunia imesimama na walikuwa winter ndio basi tena, watapambana na winter mpaka mwisho.
Kwa Dar tuombe sio lile joto la mwezi wa kumi.
Ila yaonyesha jinsi ulivyo kama watanzania wengi.Sawa mkuu.
Mimi nabaki na hoja ya kupata uwezekano wa kutokea kwanza halafu ndio nianze kufikiri matokeo yake
Gravity inategemea dunia kujizungusha kwenye mhimili wake au kulizunguka jua?Sisi binadamu na vitu vilivyomo Duniani tutarushwa kwa kasi kubwa kutoka Duniani kuelekea kwenye outer space au hata kwenye other planets huko.
Ni sawa na ukawa kwenye gari lenye mwendokasi mkubwa then ghafla lifunge breki ilhali nyinyi hamna sehemu ya kujishikiza wala kushikilia na mmepanda kwenye nyuma ya pickup... Mtajikuta mmerushwa kutoka nyuma mlipokaa hadi nje ya gari mlilopanda.
Hili ni la kwanza.
Do I make sense?
Huyu jamaa bana.Huku hapamfai, kule chit chart ndio anapamudu.Ila yaonyesha jinsi ulivyo kama watanzania wengi.
Uko reactive badala ya kuwa proactive. Poa.
(1)hadi dunia iache kuzunguka Jua means gravitational pull kati ya dunia na jua haipoo...ko Dunia itavutwaa kuelekea kwenye kitu chengine...kikubwaa kilichopo karibuu...ko sio ajabuu tukaanza izunguka Jupiter ....that's it mzee baba...note:hamna namna ambayo gravitational pull kati ya dunia na jua itaondokaa.. refer Newton's law of universal gravitation...
(2)piaa hadi dunia iache kuzunguka jua means kuna nyota(sio lazima au kitu kikubwa chengine) nyengine imesogea karibu na Dunia ko na yenyewe ina attract dunia towards it in a such way force ya jua kuja kwenye dunia ipo sawa na force ya kutoka kwenye hicho kitu chengine whether it is a star or something else......sasa endapo itakuwa hivyoo...kitachotokea ni kwamba zile effect zote zinazoletwa na revolution of the earth hazitakuwepoo ....
ni kweli zipo nyota kubwa kuliko jua ila zipo mbalii....na kma unavyojua gravitational force ipo inversely proportional na distance btn vitu vinavyovutana..ko mzee faza ndo maana saiv hatujavutwa nazoo ila ikitokea gravitational force ya jua haipo tena(which is impossible) ndo tutavutwa na hizo star zengine(the closest one after the Sun).....nahisi kama u dont get my pointMkuu kwa ulichosema mimi pia nimefikiria kingine, wataalam wanasema kuna Nyota kubwa zaidi ya dunia kwa mara nyingi sasa ikitokea Nyota moja ambayo ni kubwa na kuigonga dunia yetu hii, obviously madhara yatakuwa makubwa kwa viumbe hai wote ktk uso wa dunia na sijui sayari dunia yetu itasukumwa wp
Inawezekana watu wa dini huwa wakielezea kiyama/kiama wana ni situation kama hizi labda zitatokea sema namna ya uwasiliahaji ndo huo tunaopewa
hilo eneo kiranga yuko vizuri asante kwa maelezo rahisi kuelewekaTutarushwa kuelekea kwenye anga hewa huko outer space na kuaicha Dunia... Tunaweza kuelekea kwenye sayari ya aidha Mars au Venus na sio baharini maana tutavurumushwa kwa kuuacha uso wa Dunia.
Aerospace engineer inakiri hili pia kwa mapana kutokana na theory zake za relativity and quantum.
Ikumbukwe kua jua nalo kuna sehemu linavutwa na lenyewe lina rotation yake na ya namna yake.Mada kama hizi nazipenda sana angalao mtu unapunguza mawazo mgando na changamoto za maisha na siasa.
Ninachonelea hapo kama walivyosema wadau uwezekano haupo kwa sasa labda jua lifikie mwisho wake.
Maana ule mvutano ulio kati ya jua na dunia ndio unafanya huo mzunguko. Na ili huo mzunguko usiwepo inabidi kimoja wapo kisiwepo nacho ni jua. Dunia kama dunia inaundwa na madini mbali mbali ambayo ndio yanasababishwa kuvutwa na kuvuta kwa hio jua lisipo kuwepo dunia itavutwa na kitu kingine au dunia itakua inavuta vitu vidogo yake .
Ikumbukwe kua jua nalo kuna sehemu linavutwa na lenyewe lina rotation yake na ya namna yake.
Kwa hio ili fanikio la dunia kusimamisha mizunguko yake itahusisha vitu vingi kuanzia kwenye blachole ya jua huko.
Yote ya yote Sifa zote njema zinarejea kwa Mungu alie asisi haya.
Hayo ni mawazo yangu mkuu kulingana na mtazamo wangu.Ila yaonyesha jinsi ulivyo kama watanzania wengi.
Uko reactive badala ya kuwa proactive. Poa.
Na hyo magnetic force ya kuzuia vitu vya duniani kwenda kwingine itakuwa haifanyi kazi?? Nadhani kwa asilimia 100 umekiri dunia sio tufe na haijizungushi, kama ambavyo ulidhani mwanzo,Sisi binadamu na vitu vilivyomo Duniani tutarushwa kwa kasi kubwa kutoka Duniani kuelekea kwenye outer space au hata kwenye other planets huko.
Ni sawa na ukawa kwenye gari lenye mwendokasi mkubwa then ghafla lifunge breki ilhali nyinyi hamna sehemu ya kujishikiza wala kushikilia na mmepanda kwenye nyuma ya pickup... Mtajikuta mmerushwa kutoka nyuma mlipokaa hadi nje ya gari mlilopanda.
Hili ni la kwanza.
Do I make sense?
Hoja yako iko vyema sana, hivi ndio tunatakiwa tufikirie juu ya hili tukioMada kama hizi nazipenda sana angalao mtu unapunguza mawazo mgando na changamoto za maisha na siasa.