Nini kitatokea endapo Dunia itaacha kujizungusha ktk mhimili wake na pia endapo itaacha kulizunguka jua?

Nami mfano wangu, nzi aliye ndani ya gari inayokimbia 90km/h, je akiruka kutoka siti ya nyuma kwenda ya mbele ndani ya hilo hilo gari akiwa ndani atabamizwa nyuma sababu gari linatembea 'litamuacha' au atafika siti ya mbele?

Huyo nzi itakuwa umemzibia asitoke,hemu panda gari ya wazi kisha nenda hiyo speed unayosema uone kama utamuona huyo nzi.
 
Au umewahi panda au ona mtu kapanda kwenye pickup nyuma iliyo wazi na inatembea kwa kasi tu, akirusha chungwa juu bado ataweza kulidaka mkononi alipolirushia licha ya kwamba gari linatembea chungwa halitadondoka nyuma sababu lineachwa?
Dunia imefungamanisha hewa maalum kwa kiasi mfano oxygen na nyenginezo,kama dunia ingekuwa inazunguka basi kuna sehemu tungepita tukakosa hizo hewa,kumbuka dunia ni sehem pekee binaadam anaweza kuishi.
 
Sisi binadamu na vitu vilivyomo Duniani tutarushwa kwa kasi kubwa kutoka Duniani kuelekea kwenye outer space au hata kwenye other planets huko.

Ni sawa na ukawa kwenye gari lenye mwendokasi mkubwa then ghafla lifunge breki ilhali nyinyi hamna sehemu ya kujishikiza wala kushikilia na mmepanda kwenye nyuma ya pickup... Mtajikuta mmerushwa kutoka nyuma mlipokaa hadi nje ya gari mlilopanda.
Hili ni la kwanza.

Do I make sense?
Newton's first law of motion!!!
 
Huyo nzi itakuwa umemzibia asitoke,hemu panda gari ya wazi kisha nenda hiyo speed unayosema uone kama utamuona huyo nzi.
Ni hivi, kama uko ktk gari inayotembea basi kila kitu kilichopo ktk hiyo gari nacho kinatembea kwa spidi ile ile ya gari hivyo nzi atafika siti ya mbele na wa chungwa atalidaka chungwa pale pale mkononi sababi navyo viko ktk spidi ya gari hilo husika.

Ndivyo ilivyo kwa dunia, inazunguka na kujizungusha hivyo kila kitu kilichopo ktk dunia na atmosphere yake vinazunguka kutokana na spidi ya hiyo dunia ndio maana ukiruma kutoka ktk ndege hautaangukia marekani au china kama haukurukia maeneo ya marekani au china.
 
Huyo nzi itakuwa umemzibia asitoke,hemu panda gari ya wazi kisha nenda hiyo speed unayosema uone kama utamuona huyo nzi.
Ktk hii hapa ya nzi ktk gari ya wazi kama pickup au chungwa, kama vitapeperuka basi ni sababu ya upepo tu.
Ila kama nzi yuko ndani, anatoka siti ya nyuma na kurukia ya mbele wakati gari linaenda, atafika siti ya mbele bila wasiwasi licha ya gari kuwa ktk spidi kali.
 
Sisi binadamu na vitu vilivyomo Duniani tutarushwa kwa kasi kubwa kutoka Duniani kuelekea kwenye outer space au hata kwenye other planets huko.

Ni sawa na ukawa kwenye gari lenye mwendokasi mkubwa then ghafla lifunge breki ilhali nyinyi hamna sehemu ya kujishikiza wala kushikilia na mmepanda kwenye nyuma ya pickup... Mtajikuta mmerushwa kutoka nyuma mlipokaa hadi nje ya gari mlilopanda.
Hili ni la kwanza.

Do I make sense?
Yeah you make sense japo tukirushwa tutaangukia duniani hapahapa sidhani kama tutafika outer space.

Lkn pia majira hayatapatikana wala usiku na nchana
Dah, we jamaa majibu yako yako kishule zaidi. Wewe ni great thinker. Nimeluelewa vizuri sana hapa, ila tutarushiwa upande gani? Uelekeo wa bahari ya hindi au magharibi?
nawa challenge kidogo.

tufanye mzunguko wa dunia speed yake ni kilomita 100 kwa saa, sasa kila baada ya kilomita moja speed ipungue kwa kidogokidogo na baadae kabisa isimame kujizungusha (sio isimame kwa ghafla kama mdau alivyo jibu hapo.)

swali linabaki kitu gani kitatokea?

majibu

bila shaka kuna upande wa dunia uta experience mchana mrefu zaidi kuwah kushuhudiwa tangu dunia kuwapo

upande mwingine jua watalisikia kupitia vyombo vya habari

swala la kiangazi na masika nalo lazima litabadilika

ikiwa jua ndio chanzo kikubwa cha nishati na ndilo linalo wezesha dunia kuzunguka, limekoma kufanya hivyo basi tegemea nguvu ya uvutano (gravity force kama kweli ipo kupungua na hivyo kuathiri namna ya utembeaji wetu na hata kuongeza umbali/urefututakao weza kuufikia pindi tunaporuka

hebu niishie hapa zitto junior umeshapita huku?
 
Uko sahihi, naungana nawe kwenye majibu.
 
Nimecheki google, dunia inajizungusha anticlockwise. Maana yake inazunguka ikitokea kushoto kuelekea kulia. Jamaa yuko sahihi, tutavurumishwa kwenda space zingine maana hapa tunapoongea, dunia inajizungusha ktk mhimili wake na pia inalizunguka jua ingawa hatuhisi huo mzunguko. Hivyo tuko ktk movement. Ikisimama ghafla ile movement itaturusha mbali sana maana spi ya kuzunguka ni kubwa sana.
Mfando mchukue sisimizi kisha muweke ktk mpira unaoelea hewani na unajizungusha. Tufanye mpira huu ndio dunia. Uwe unazunguka kwa spidi sana alafu ghafla unausimamisha. Sisimizi atatupwa huko, kama kuna mpira mwingine atatua huko.
Pia kwa scenario hii nafikiri na maji ya bahari, maziwa na mito zitatupwa mbali na dunia.
NYOOTE MNAONEKANA KU EGEMEA UPANDE MMOJA WA DUNIA KUSIMAMA KWA GHAFLA SASA

nawa challenge kidogo.

tufanye mzunguko wa dunia speed yake ni kilomita 100 kwa saa, sasa kila baada ya kilomita moja speed ipungue kwa kidogokidogo na baadae kabisa isimame kujizungusha (sio isimame kwa ghafla kama mdau alivyo jibu hapo.)

swali linabaki kitu gani kitatokea?

majibu

bila shaka kuna upande wa dunia uta experience mchana mrefu zaidi kuwah kushuhudiwa tangu dunia kuwapo

upande mwingine jua watalisikia kupitia vyombo vya habari

swala la kiangazi na masika nalo lazima litabadilika

ikiwa jua ndio chanzo kikubwa cha nishati na ndilo linalo wezesha dunia kuzunguka, limekoma kufanya hivyo basi tegemea nguvu ya uvutano (gravity force kama kweli ipo kupungua na hivyo kuathiri namna ya utembeaji wetu na hata kuongeza umbali/urefututakao weza kuufikia pindi tunaporuka
 
God is genius
Screenshot_2018-08-16-02-41-01.jpg
 
Kutenda kuna mipaka ila sio kufikiria. Labda wamaanisha kufikiria na kuyaongea uliyofikiria. Kufikiria hakuna mipaka, iwe kirichofikiriwa chawezekana au hakiwezekani ila kukifikiria hakuna mipaka.
Uwe unaelewa kilicho andikwa kabla hujajenga hoja au kutoa maoni.

Nimekupa na mifano juu ya kile nilichokiandika.

Jitahidi kuitumia akili yako vyema mzee.
 
Wasomi wenu walikuwa kina nani? Wanahitaji kunyongwa mpaka kufa kwa kutengeneza kizazi chenye uwoga wa kufikiri bila kujari kifikiriwacho kinawezekana au laa.
Tatizo huelewi mzee. Nikisema kufikiri bila kuchunga mipaka ni kuidhulumu akili na uchache wa maarifa wenye kukupelekea mtu kuwa mjinga zaidi lazima uelewe.

Malengo ya wanazuoni hao ni kyaangalia mambo katika uhalisia na kujiepusha na dhana,kukosea na kadhakika kubahatisha. Tafakari tena na tena maelezo yangu huenda ukaelewa kile ninacho kiandika. Usiwe na pupa tulia.
 
Namba 5,hayo mabomo ya nyukilia nini chanzo chake?
Jua limeundwa na radioactive elements,so hzo elements zna undergo chemical change kwa ku decay sasa hzo chemical change either ni fussion au fission znapotokea hu release energy kubwa sana.ndo hyo energy kwa mfumo wa mwanga na joto ndomna unaona jua linawaka sana na kutoa joto kali,sasa hyo energy iliyopo pale ni sawa na mabomu ya nuclear trilion kadhaa yalipuke kwa wakat m1.
 
Nani alifika na kugundua radioactive element ndio chanzo cha jua,je kuna uwezekano kwa ss binaadam tukaunda hizo radioactive element ili tuunde jua mbadala?
 
Tatizo huelewi mzee. Nikisema kufikiri bila kuchunga mipaka ni kuidhulumu akili na uchache wa maarifa wenye kukupelekea mtu kuwa mjinga zaidi lazima uelewe.

Malengo ya wanazuoni hao ni kyaangalia mambo katika uhalisia na kujiepusha na dhana,kukosea na kadhakika kubahatisha. Tafakari tena na tena maelezo yangu huenda ukaelewa kile ninacho kiandika. Usiwe na pupa tulia.
Nimeelewa, tatizo ni wewe kutaka na mimi nifikirie kama wewe KUWA KUNA MIPAKA YA KUFIKIRI. Hiyo haiwezekani. Ila nimekuelewa.
 
Kuna mdau aliwahi kuuliza hapa kitatokea nini kama mtu akirudi kwenye tumbo la mamaaake... I was truly speechless
ni sawa na mambo ya dunia ya giza. Literally, hayapo ila bado watu wanapoteza muda.
 
Nani alifika na kugundua radioactive element ndio chanzo cha jua,je kuna uwezekano kwa ss binaadam tukaunda hizo radioactive element ili tuunde jua mbadala?
Hata dunia ina radioactive elements za kutosha tu,ndo hzo wanazitumia kutengeneza energy,mabom,umeme n.k

Jua ni component ya solar system.so elements zake zilizotengeneza jua znafanana na bodies zingne za kwwnye solar system..so hakuna cha ajab,wanascience wana proven mbinu za kugundua hilo,watu wanapima cosmic dust znazoanguka kila dunian,zingne znatoka kwwenye jua.

Kiongoz.science imefika mbal sana,..siwez elezea mambo mengne hapa hayata tosha na unaeza usinielew
 
Habari zenu tena.
Kama kichwa cha uzi kisemavyo, nini kitatokea endapo dunia itaacha kujizungusha ktk mhimili wake na kulizunguka jua ghafla na kutulia tuli, nini kitatokea? Wale wajuao in advance, please share nasi!

Hili ni swali la kufikirika tu maana wanasayansi wanasema hiyo kutokea ni possibility ndogo sana, hivyo ni ENDAPO ITATOKEA.
Tutapokea mishahara yetu kila siku
 
Back
Top Bottom