Sticky_fingers
Member
- Jul 30, 2018
- 49
- 42
- Thread starter
- #81
Sijakuona ukirudi ndugu.Ngoja narudi muda si mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuona ukirudi ndugu.Ngoja narudi muda si mrefu
Nipo hapa naangalia majibuSijakuona ukirudi ndugu.
Aaaaah future impossible tenseSorry but this is future impossible tense....
Kama.ambavyo jehanamu na peponi zilivyo ndoto za mchanaSorry but this is future impossible tense....
Ebu tupatie maelezo kidogo, kwa kbukbu zangu za shuleni jua lilo stationary na heavenly bodies zingine ndio zazunguka jua.Ikumbukwe kua jua nalo kuna sehemu linavutwa na lenyewe lina rotation yake na ya namna yake.
Mkuu naomba ufafanuzi zaidi hapo.
Masahihisho,jua nyota na mwezi ndio vinavyo izunguka dunia.Masahihisho:
Majira ya mwaka yanapatikana kwa dunia kuzunguka jua, dunia kujizungusha katika mhimili wake tunapata usiku na mchana tu.
Namba 5,hayo mabomo ya nyukilia nini chanzo chake?Dunia ikisimama gafla maana yake ni
1.mfumo mzima wa ulimwengu utakua umeingiwa na interference
2.jua litakua limeloose its powers,forces na energy..maana jua litakua limezima
3.maana yake litakua halitoi tena mwanga na joto
4.maana yake hata its gravitational pull litakua halina tena
5.maana yake hata zile chemical reaction za fussion na fission ztakua hazifanyik tena,..nkimaanisha pale kwenye jua kila sekunde ni kama mabomu ya nyukilia trilion 1 yanalipuka kila siku hyo energy yake yaan
6.maana yake hakutakua na nguv za uvutano kokote katika ulimwengu..sabab nyota ztakua znakufa,kufa maana yake ni ku luz energy
7.maana yake jua likizima dunia ita freeze in a mata of seconds kila kitu kitakua barafu
8.maana yake vitu vitagongana gongana na kuvunjika
9.maana yake imagine unapogandisha kitu halaf ukakivunja,kitavunjika vipande vipande
Namalizia hzo ndo scenario ztakazo tokea,..na nyingne nying. Sjaziweka hapa. Sio kitu rahis rahis tu.
Na NINAPINGA kwamba tutarushwa nje huki kwenye outerspace..
Jua halizunguki kitu, lenyewe ndio liko katikati linazungukwa.Masahihisho,jua nyota na mwezi ndio vinavyo izunguka dunia.
Kutenda kuna mipaka ila sio kufikiria. Labda wamaanisha kufikiria na kuyaongea uliyofikiria. Kufikiria hakuna mipaka, iwe kirichofikiriwa chawezekana au hakiwezekani ila kukifikiria hakuna mipaka.Unajua watu hawajui kwamba hata kufikiria kuna mipaka yake. Ukifikiri kwa mipaka utajua muelekeo wa fikra zako. Yaani utajuwa huku kunawezekana na huku ni kinyume chake.
Kufikiria bila kuchunga mipaka ndio kumetuletea mabazazi wakana uwepo wa Mola muumba.
Kufikiria bila kuchunga mipanga kuna wafanya watu wafikirie kutokywezekana halafu wenyewe wakikaa pembeni wanasifiana na kupeana moyo ya kwamba amefikiria sanaaa. Kufikiri au kuuliza maswali yasiyo wezekana ni uchache wa elimu,kupoteza muda na kuikosea AKILI.
Inabidi tufundishane jinsi ya kufikiri.
Dunia ndio ipo katikati vitu vyote vinaizunguka dunia.Jua halizunguki kitu, lenyewe ndio liko katikati linazungukwa.
Kwa msaada wa solar system, jua inazungukaje dunia?
There is a thin line between thinking logically and thinking illogically.Kuna mdau aliwahi kuuliza hapa kitatokea nini kama mtu akirudi kwenye tumbo la mamaaake... I was truly speechless
Hapa basi nilitoroka darasani, sikuipata hii point.Dunia ndio ipo katikati vitu vyote vinaizunguka dunia.
Tumsifu Yesu Kristo.hivyo vitu tunafikiria tu lakini haviwezi kutokea kwame,
uhakika huo tunaupata kwenye Zaburi 104: 5 "Ameiimarisha dunia juu ya misingi yake; Haitasogezwa kutoka mahali pake milele na milele."
Itasimama dede....Habari zenu tena.
Kama kichwa cha uzi kisemavyo, nini kitatokea endapo dunia itaacha kujizungusha ktk mhimili wake na kulizunguka jua ghafla na kutulia tuli, nini kitatokea? Wale wajuao in advance, please share nasi!
Hili ni swali la kufikirika tu maana wanasayansi wanasema hiyo kutokea ni possibility ndogo sana, hivyo ni ENDAPO ITATOKEA.
Wasomi wenu walikuwa kina nani? Wanahitaji kunyongwa mpaka kufa kwa kutengeneza kizazi chenye uwoga wa kufikiri bila kujari kifikiriwacho kinawezekana au laa.Sisi kabla tulikuwa tunauliza maswali mfano wa hayo. Wasomi wetu wakawa wanatujibu hivi "Subirini itokee kwanza ndio tutawajibu"
Mfano mdogo tu,panda ndege ruka hewani kisha tua ardhini,kama ingekuwa dunia inazunguka basi ungejikuta umetua marekani au china.Hapa basi nilitoroka darasani, sikuipata hii point.
Uko serious ndugu na hili au unatania?
Nami mfano wangu, nzi aliye ndani ya gari inayokimbia 90km/h, je akiruka kutoka siti ya nyuma kwenda ya mbele ndani ya hilo hilo gari akiwa ndani atabamizwa nyuma sababu gari linatembea 'litamuacha' au atafika siti ya mbele?Mfano mdogo tu,panda ndege ruka hewani kisha tua ardhini,kama ingekuwa dunia inazunguka basi ungejikuta umetua marekani au china.