Sticky_fingers
Member
- Jul 30, 2018
- 49
- 42
Sorry but this is future impossible tense....Habari zenu tena.
Kama kichwa cha uzi kisemavyo, nini kitatokea endapo dunia itaacha kujizungusha ktk mhimili wake na kulizunguka jua ghafla na kutulia tuli, nini kitatokea? Wale wajuao in advance, please share nasi!
More to come!
Dah, we jamaa majibu yako yako kishule zaidi. Wewe ni great thinker. Nimeluelewa vizuri sana hapa, ila tutarushiwa upande gani? Uelekeo wa bahari ya hindi au magharibi?Sisi binadamu na vitu vilivyomo Duniani tutarushwa kwa kasi kubwa kutoka Duniani kuelekea kwenye outer space au hata kwenye other planets huko.
Ni sawa na ukawa kwenye gari lenye mwendokasi mkubwa then ghafla lifunge breki ilhali nyinyi hamna sehemu ya kujishikiza wala kushikilia na mmepanda kwenye nyuma ya pickup... Mtajikuta mmerushwa kutoka nyuma mlipokaa hadi nje ya gari mlilopanda.
Hili ni la kwanza.
Do I make sense?
Shukrani mkuu!Dah, we jamaa majibu yako yako kishule zaidi. Wewe ni great thinker.
Topic hizi nazipenda sana.Habari zenu tena.
Kama kichwa cha uzi kisemavyo, nini kitatokea endapo dunia itaacha kujizungusha ktk mhimili wake na kulizunguka jua ghafla na kutulia tuli, nini kitatokea? Wale wajuao in advance, please share nasi!
More to come!
Habari zenu tena.

Nilichotaka kukuliza kimejibiwa hapa na Mshana JrSorry but this is future impossible tense....
Tutarushwa kuelekea kwenye anga hewa huko outer space na kuaicha Dunia... Tunaweza kuelekea kwenye sayari ya aidha Mars au Venus na sio baharini maana tutavurumushwa kwa kuuacha uso wa Dunia.Dah, we jamaa majibu yako yako kishule zaidi. Wewe ni great thinker. Nimeluelewa vizuri sana hapa, ila tutarushiwa upande gani? Uelekeo wa bahari ya hindi au magharibi?
Sisi binadamu na vitu vilivyomo Duniani tutarushwa kwa kasi kubwa kutoka Duniani kuelekea kwenye outer space au hata kwenye other planets huko.
Ni sawa na ukawa kwenye gari lenye mwendokasi mkubwa then ghafla lifunge breki ilhali nyinyi hamna sehemu ya kujishikiza wala kushikilia na mmepanda kwenye nyuma ya pickup... Mtajikuta mmerushwa kutoka nyuma mlipokaa hadi nje ya gari mlilopanda.
Hili ni la kwanza.
Do I make sense?
Ni vyema tupate uhakika wa hilo jambo kwanza ndio tuanze kufikiria kitakachotokea baada ya hilo tukio.Its impossible ndio but imagine kikitokea matokeo yake yatakuwa ni nini? Ndio msingi wa swali Mkuu.
Hii maana yake ulaya ikitokea dunia imesimama na walikuwa winter ndio basi tena, watapambana na winter mpaka mwisho.Yeah you make sense japo tukirushwa tutaangukia duniani hapahapa sidhani kama tutafika outer space.
Lkn pia majira hayatapatikana wala usiku na nchana
Kutokea hapa ardhini tulipo huko outerspace ndio uelekeo upi mkuu?Yaani kama kuelekea mawinguni huko au?Tutarushwa kuelekea kwenye anga hewa huko outer space na kuaicha Dunia... Tunaweza kuelekea kwenye sayari ya aidha Mars au Venus na sio baharini maana tutavurumushwa kwa kuuacha uso wa Dunia.
Aerospace engineer inakiri hili pia kwa mapana kutokana na theory zake za relativity and quantum.
Mkuu, wanasema think outside the box. Sio mbaya tukifikiri nje ya mipaka yetu, tunazipa akili zetu mazoezi ya kutokulemaa kwa kufikiria ndani ya mipaka. Hii ni hypothetical situation.Ni vyema tupate uhakika wa hilo jambo kwanza ndio tuanze kufikiria kitakachotokea baada ya hilo tukio.
Endapo kama kuna nadharia yoyote ambayo inaelezea kutokea kwa hilo jambo ndio tungeanza kufikiria kinachoweza kutokea.
Sawa mkuu, ila huoni kwamba ukianza kufikiri hapo karibu ndio itakupa mwanga zaidi wa kufikiri nje ya box? Na huenda tunaweza kupata jibu la uhakika kabla hatujaanza kufikiri nje ya box.Mkuu, wanasema think outside the box. Sio mbaya tukifikiri nje ya mipaka yetu, tunazipa akili zetu mazoezi ya kutokulemaa kwa kufikiria ndani ya mipaka. Hii ni hypothetical situation.