Nini kitatokea endapo litachimbwa shimo kubwa kutokea upande wa pili wa dunia?

But akuna kisicho shindikana duniani balikimoja tu kumpa mtu uhai ili ndo gumu but trust me ata miaka 5000 iliyopita watu waliamini akuna kitu kinaeza chunguza anga la mbali lets make it simple i kitu ni physically how can it be impossible?? Unazani ndai joto nikali kuliko litengenezwalo na jua?
Sijaku argue nataka tu tuwaze wote kua it possible.....if we ill be serious
Hivi unajua kwamba sayansi imechunguza sana na kujua anga kuliko inavyojua chini ya bahari? Yani mwanadamau haelewi maeneo mengi ya chini ya bahari kama anavyoelewa anga...
 
Inamaanisha nini ivi? Inamaanisha kua still dunia tuishiyo basi ina vitu vingi mno ambavyo ni very useful mno ila basi tu atujai master
 
Jamaa watakuja watakwambia gravitational force,kwanza watasema hutafika kwenye hiyo core.,au ukipita ukatokea upande wapili watasema utatokea miguu chini.

Hii ishu ya dunia duara siielewi kabisa aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But akuna kisicho shindikana duniani balikimoja tu kumpa mtu uhai ili ndo gumu but trust me ata miaka 5000 iliyopita watu waliamini akuna kitu kinaeza chunguza anga la mbali lets make it simple i kitu ni physically how can it be impossible?? Unazani ndai joto nikali kuliko litengenezwalo na jua?
Sijaku argue nataka tu tuwaze wote kua it possible.....if we ill be serious
Mkuu ni ngumu sana kuliko tunavyofikiria jambo la msingi fikiria tu ni kifaa gani kanachoweza kufika kwenye core bila kuyeyuka maana %100 ya vifaa vyote tunavyovitumia vinatoka chini ila ila kwenye juu juu tu
 
Jamaa watakuja watakwambia gravitational force,kwanza watasema hutafika kwenye hiyo core.,au ukipita ukatokea upande wapili watasema utatokea miguu chini.

Hii ishu ya dunia duara siielewi kabisa aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nishaanza ogopa haha imagini unachimba dsm unatokea greenland miguu ndo inaanza chomoza yani stili bado unadumbukia
 
Mkuu ni ngumu sana kuliko tunavyofikiria jambo la msingi fikiria tu ni kifaa gani kanachoweza kufika kwenye core bila kuyeyuka maana %100 ya vifaa vyote tunavyovitumia vinatoka chini ila ila kwenye juu juu tu
Ila ni kweli mpaka sisi wenyewe tumeumbwa pia kwa udongo

Kwa our believes through differ religious teaching
 
Ikitokea wakaanza kuchimba inabidi watafute eneo lenye miamba ya dhahabu waanze kutoboa hilo shimo, nitahitaji yale mawe nikasage nipate gram zangu
 
Hili swali limenifanya nami nifikirie mara mbili juu ya uduara wa dunia kama kmeli ni duara naanza kupata na mashaka na elimu hii,kuna kitu hakipo sawa kama kweli ni duara kwanini tunauwezo wa kutembea along/above the surface ya dunia even kutoka bara moja mpaka jingine bila ya kuji kujijua kama tuna round kwa maanana hatupati utofauti halisi wa kujua kama tunaroud,napata mashaka hasa nikizingatia kuwa pia wanasayansi wanasema northpole inasogea kidogokidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom