Hivi unajua kwamba sayansi imechunguza sana na kujua anga kuliko inavyojua chini ya bahari? Yani mwanadamau haelewi maeneo mengi ya chini ya bahari kama anavyoelewa anga...But akuna kisicho shindikana duniani balikimoja tu kumpa mtu uhai ili ndo gumu but trust me ata miaka 5000 iliyopita watu waliamini akuna kitu kinaeza chunguza anga la mbali lets make it simple i kitu ni physically how can it be impossible?? Unazani ndai joto nikali kuliko litengenezwalo na jua?
Sijaku argue nataka tu tuwaze wote kua it possible.....if we ill be serious
Yule jamaa ni kiboko wa hayo mambo!Kwa nini umechekhaha?ha
Inamaanisha nini ivi? Inamaanisha kua still dunia tuishiyo basi ina vitu vingi mno ambavyo ni very useful mno ila basi tu atujai masterHivi unajua kwamba sayansi imechunguza sana na kujua anga kuliko inavyojua chini ya bahari? Yani mwanadamau haelewi maeneo mengi ya chini ya bahari kama anavyoelewa anga...
[emoji23][emoji23][emoji23]daahNilishawahi kuuliza hili swali miaka 25 nyuma nikiwa nasoma vidudu mwalimu akasema wenzangu wanizomee sitosahau.
Mkuu ni ngumu sana kuliko tunavyofikiria jambo la msingi fikiria tu ni kifaa gani kanachoweza kufika kwenye core bila kuyeyuka maana %100 ya vifaa vyote tunavyovitumia vinatoka chini ila ila kwenye juu juu tuBut akuna kisicho shindikana duniani balikimoja tu kumpa mtu uhai ili ndo gumu but trust me ata miaka 5000 iliyopita watu waliamini akuna kitu kinaeza chunguza anga la mbali lets make it simple i kitu ni physically how can it be impossible?? Unazani ndai joto nikali kuliko litengenezwalo na jua?
Sijaku argue nataka tu tuwaze wote kua it possible.....if we ill be serious
Hata mimi nishaanza ogopa haha imagini unachimba dsm unatokea greenland miguu ndo inaanza chomoza yani stili bado unadumbukiaJamaa watakuja watakwambia gravitational force,kwanza watasema hutafika kwenye hiyo core.,au ukipita ukatokea upande wapili watasema utatokea miguu chini.
Hii ishu ya dunia duara siielewi kabisa aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ni kweli mpaka sisi wenyewe tumeumbwa pia kwa udongoMkuu ni ngumu sana kuliko tunavyofikiria jambo la msingi fikiria tu ni kifaa gani kanachoweza kufika kwenye core bila kuyeyuka maana %100 ya vifaa vyote tunavyovitumia vinatoka chini ila ila kwenye juu juu tu
Huwezi penya labda tupate vifaa imara zaidi ambavyo kutoka sayari nyingineIla ni kweli mpaka sisi wenyewe tumeumbwa pia kwa udongo
Kwa our believes through differ religious teaching
Bado ngumu sana hizi sayari asilimia kubwa zinafanana kutoboa ngumu tuendelee tu kuchunguza anga na bahariTukivipata tukachimba inamaana tutatoboa tukitanguliza miguu nje?
hahahaIkitokea wakaanza kuchimba inabidi watafute eneo lenye miamba ya dhahabu waanze kutoboa hilo shimo, nitahitaji yale mawe nikasage nipate gram zangu