Haiwezekani kabisa. How?..hivyo basi nimewaza kuhusu uchaguzi wa 2025. Nini kitatokea ikiwa chama kimojawapo cha upinzani kitakuwa na kiwango sawa cha fedha walizonazo CCM? Je, mazingira hayo yatachangia kwa kiwango gani kupata matokeo mazuri zaidi ya tuliyoyazoea?
Haiwezekani kabisa. How?
Ccm hatushindi kwanguvu yapesa .ccm tunashinda kwanguvu ya wanachama wengi na wapenzi wake..sijui kama wachambuzi wa siasa na chaguzi zetu wameangazia vya kutosha suala la FEDHA na RASILIMALI wanazokuwa nazo CCM wakati wa kampeni...
Kwa lipa nambaTuko mbioni kuizidi ccm hela za Kampeni
chanzo cha hizo fedha ni nini? au zimetoka wapi kwa nani? au ni ruzuku?..sijui kama wachambuzi wa siasa na chaguzi zetu wameangazia vya kutosha suala la FEDHA na RASILIMALI wanazokuwa nazo CCM wakati wa kampeni...
chanzo cha hizo fedha ni nini? au zimetoka wapi kwa nani? au ni ruzuku?
au ni mkopo wa kuuza nchi wamechukua kutoka kwa fulani wa huko ng'amb...
Ccm hatushindi kwanguvu yapesa .ccm tunashinda kwanguvu ya wanachama wengi na wapenzi wake
wapinzani hawana chanzo kingine chochote cha pesa ispokua ruzuku kidunchu π..labda tungeangalia vyanzo vya Ccm halafu tuone ni ktk chanzo kipi wapinzani wanaweza ku-match.
..naona kama Ccm inatumia mapesa mengi sana kukandamiza vyama vya upinzani na hilo ni eneo ambalo linapaswa kuangaziwa.
Zaidi ya hapo kinatakiwa kuwa na watu serikalini. Hao ndio wanaoiwezesha CCM kusalia madarakani.
Ndio hapo sasa nasema wapinzani lazima watafute namna ya kupata fedha za kampeni ili ku-match ukwasi walionao Ccm.wapinzani hawana chanzo kingine chochote cha pesa ispokua ruzuku kidunchu π
kwahiyo ni rahisi mno kuwabaini na kuwahoji pesa wamepata wap, coz ruzuku yenyewe ya upinzan haitoshi kufanya mikutano zaidi ya mikoa mi2 tu...
Kitakachotokea ni mavuno ya maokoto makubwa kwa raia.
hatari ya kutokua na vyanzo vya kutosha vya pesa kwa chama cha siasa, kwa mfano mpaka sasa hivi vingekua tayari vimeingiza fedha, mathalani kutoka kwa marafiki au mabwenyenye ya magharibi au America kinyemela, huenda pasingekua na shida π..Ndio hapo sasa nasema wapinzani lazima watafute namna ya kupata fedha za kampeni ili ku-match ukwasi walionao Ccm.
Hilo ni jambo baya kivipi komredi? Some-year si anafungulia nchi?..Kwa dalili ninazoziona Mama Abduli atatajirisha wengi ktk kampeni za 2025.
We jamaa upo ulimwengu gani? CCM inaishi kwa kutegemea katiba hii mbovu, pia kwa kutegemea Tume hii inayoitwa tume huru ya uchaguzi na jeshi la polisi period...sijui kama wachambuzi wa siasa na chaguzi zetu wameangazia vya kutosha suala la FEDHA na RASILIMALI wanazokuwa nazo CCM wakati wa kampeni....