Pre GE2025 Nini kitatokea ikiwa chama kimojawapo cha Upinzani kitakuwa na fedha za kampeni sawa na walizonazo CCM?

Pre GE2025 Nini kitatokea ikiwa chama kimojawapo cha Upinzani kitakuwa na fedha za kampeni sawa na walizonazo CCM?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
hatari ya kutokua na vyanzo vya kutosha vya pesa kwa chama cha siasa, kwa mfano mpaka sasa hivi vingekua tayari vimeingiza fedha, mathalani kutoka kwa marafiki au mabwenyenye ya magharibi au America kinyemela, huenda pasingekua na shida 🐒

..kampeni za wapinzani huwa zinatia simanzi sana kutokana na ukosefu wa fedha.
 
..sijui kama wachambuzi wa siasa na chaguzi zetu wameangazia vya kutosha suala la FEDHA na RASILIMALI wanazokuwa nazo CCM wakati wa kampeni...
Taasisi na watu binafsi wanaogopa kuvichangia fedha vyama vya upinzani kwasabb huwa "wanashughulikiwa" na ccm.
 
..kampeni za wapinzani huwa zinatia simanzi sana kutokana na ukosefu wa fedha.
nadhani ni muhimu wanafahamu kwamba mgombea bora wa urais anaweza kua chanzo cha pesa. Ajulikane mapema 🐒

mbona wa chama tawala hadi anachangiwa na yeye binafsi hajaamua? au hiyo advantage hawaioni? Hiyo michango itamfanya sasa aamue na kukubali kugombea 🐒
 
nadhani ni muhimu wanafahamu kwamba mgombea bora wa urais anaweza kua chanzo cha pesa. Ajulikane mapema 🐒

mbona wa chama tawala hadi anachangiwa na yeye binafsi hajaamua? au hiyo advantage hawaioni?🐒

..kwamba mgombea wa upinzani akipatikana malema atasaidia harakati za kuchangiwa kampeni yake?

..Nadhani hiyo inaweza hata kumsaidia mgombea wao akafahamika na kuzoeleka kwa wapigakura.
 
..kwamba mgombea wa upinzani akipatikana malema atasaidia harakati za kuchangiwa kampeni yake?

..Nadhani hiyo inaweza hata kumsaidia mgombea wao akafahamika na kuzoeleka kwa wapigakura.
Yes,
hicho ndicho,
wako wafanyibiashara, wafadhili na watu binafsi wanaweza kuvutiwa nae na kuamua kuwekeza chochote kitu kwa mgombea huyo na itamsaidia walau kuwafikia wapiga kura wengi zaidi 🐒

kubwa zaidi ni hilo ulolisema kujulikana na kufahamika kwa wapiga kura wengi zaidi kama ndie mgombea urasi upinzan 🐒
 
nadhani ni muhimu wanafahamu kwamba mgombea bora wa urais anaweza kua chanzo cha pesa. Ajulikane mapema 🐒

mbona wa chama tawala hadi anachangiwa na yeye binafsi hajaamua? au hiyo advantage hawaioni? Hiyo michango itamfanya sasa aamue na kukubali kugombea 🐒
You’re quite a character. Naona unaona raha kumwaga porojo kufurahisha jamvi na kusanifu mahasimu.

CCM inahitaji mchango wa mtu kupata pesa za matumizi? Kuna tofauti ya CCM na serikali?
 
Nini kitatokea ikiwa chama kimojawapo cha upinzani kitakuwa na kiwango sawa cha fedha walizonazo CCM? Je, mazingira hayo yatachangia kwa kiwango gani kupata matokeo mazuri zaidi ya tuliyoyazoea?
Watashindana na Ccm kununua wapiga kura
 
..sijui kama wachambuzi wa siasa na chaguzi zetu wameangazia vya kutosha suala la FEDHA na RASILIMALI wanazokuwa nazo CCM wakati wa kampeni...
Fedha wanaweza kupata, je influennce ya vyombo vya dola watatoa wapi? Kumbuka vyombo vya dola huwa vinaaguzwa kabisa na kigenge kijiitacho system kuhakikisha ccm wanatangazwa washindi bila kujali matokea ya box la kura.
 
Mbowe ataziconvert ziwe pesa za familia
 
C C M 2025 daktari rais Samia suluhu Hassan anapita tena.

CCM OYEEEEEE

2025 tutarajie mabadiliko makubwa katika ardhi ya Tz.
 
You’re quite a character. Naona unaona raha kumwaga porojo kufurahisha jamvi na kusanifu mahasimu.

CCM inahitaji mchango wa mtu kupata pesa za matumizi? Kuna tofauti ya CCM na serikali?
kama mchango wa gari anachangiwa, itashndikana kwaajili ya kampeni akijulikana na kuonekana mapema, ana hoja na anafaa?🐒

michango ya watu binafsi na makundi mbalimbali kwenda CCM au kwa mgombea urasi wa CCM sio kwasababu CCM haina pesa, bali ni mvuto na ushawishi wa mgombea mwenyewe kwa wananchi kutokana na utendaji, sera na mipango yake kwa umma 🐒

hayo ya utofauti wa serikali na CCM ni bayana uko wazi, hakuna haja kueleza 🐒
 
Ccm hatushindi kwanguvu yapesa .ccm tunashinda kwanguvu ya wanachama wengi na wapenzi wake
Ingekuwa mnategemea wingi wa wanachama wenu tusingeshuhudia chaguzi za kishenzi vile. Uzuri wananchi wengi wameshastukia huo upuuzi uitwao uchaguzi, hivyo hawana muda tena wa kujitokeza kushiriki huo upuuzi.
 
..Ndio hapo sasa nasema wapinzani lazima watafute namna ya kupata fedha za kampeni ili ku-match ukwasi walionao Ccm.
Mkuu wala asikudanganye mtu, sio pesa wala nini, ili box la kura liheshimiwe machafuko ama mapinduzi ya kijeshi hayaepukiki.
 
Mkuu wala asikudanganye mtu, sio pesa wala nini, ili box la kura liheshimiwe machafuko ama mapinduzi ya kijeshi hayaepukiki.
jeshi la mihemko na ghadabu sio 🐒
 
..sijui kama wachambuzi wa siasa na chaguzi zetu wameangazia vya kutosha suala la FEDHA na RASILIMALI wanazokuwa nazo CCM wakati wa kampeni.

..vyama vya upinzani siku zote vimekuwa vikifanya kampeni kwa kuunga-unga na kuzidiwa kwa kiwango kikubwa na CCM.

..sasa sijui mazingira hayo yanachangia kwa kiwango gani[ asilimia ngapi] kushindwa kwa vyama vya upinzani ktk mapambano yao dhidi ya CCM.

..hivyo basi nimewaza kuhusu uchaguzi wa 2025. Nini kitatokea ikiwa chama kimojawapo cha upinzani kitakuwa na kiwango sawa cha fedha walizonazo CCM? Je, mazingira hayo yatachangia kwa kiwango gani kupata matokeo mazuri zaidi ya tuliyoyazoea?
2015 Chadema walikua na pesa nyingi za mgombea binafsi Lowassa zilikuwa sawa tu na za CCM nini kilitokea!
 
Back
Top Bottom