hatari ya kutokua na vyanzo vya kutosha vya pesa kwa chama cha siasa, kwa mfano mpaka sasa hivi vingekua tayari vimeingiza fedha, mathalani kutoka kwa marafiki au mabwenyenye ya magharibi au America kinyemela, huenda pasingekua na shida 🐒
Taasisi na watu binafsi wanaogopa kuvichangia fedha vyama vya upinzani kwasabb huwa "wanashughulikiwa" na ccm...sijui kama wachambuzi wa siasa na chaguzi zetu wameangazia vya kutosha suala la FEDHA na RASILIMALI wanazokuwa nazo CCM wakati wa kampeni...
nadhani ni muhimu wanafahamu kwamba mgombea bora wa urais anaweza kua chanzo cha pesa. Ajulikane mapema 🐒..kampeni za wapinzani huwa zinatia simanzi sana kutokana na ukosefu wa fedha.
nadhani ni muhimu wanafahamu kwamba mgombea bora wa urais anaweza kua chanzo cha pesa. Ajulikane mapema 🐒
mbona wa chama tawala hadi anachangiwa na yeye binafsi hajaamua? au hiyo advantage hawaioni?🐒
Yes,..kwamba mgombea wa upinzani akipatikana malema atasaidia harakati za kuchangiwa kampeni yake?
..Nadhani hiyo inaweza hata kumsaidia mgombea wao akafahamika na kuzoeleka kwa wapigakura.
You’re quite a character. Naona unaona raha kumwaga porojo kufurahisha jamvi na kusanifu mahasimu.nadhani ni muhimu wanafahamu kwamba mgombea bora wa urais anaweza kua chanzo cha pesa. Ajulikane mapema 🐒
mbona wa chama tawala hadi anachangiwa na yeye binafsi hajaamua? au hiyo advantage hawaioni? Hiyo michango itamfanya sasa aamue na kukubali kugombea 🐒
Watashindana na Ccm kununua wapiga kuraNini kitatokea ikiwa chama kimojawapo cha upinzani kitakuwa na kiwango sawa cha fedha walizonazo CCM? Je, mazingira hayo yatachangia kwa kiwango gani kupata matokeo mazuri zaidi ya tuliyoyazoea?
Fedha wanaweza kupata, je influennce ya vyombo vya dola watatoa wapi? Kumbuka vyombo vya dola huwa vinaaguzwa kabisa na kigenge kijiitacho system kuhakikisha ccm wanatangazwa washindi bila kujali matokea ya box la kura...sijui kama wachambuzi wa siasa na chaguzi zetu wameangazia vya kutosha suala la FEDHA na RASILIMALI wanazokuwa nazo CCM wakati wa kampeni...
kama mchango wa gari anachangiwa, itashndikana kwaajili ya kampeni akijulikana na kuonekana mapema, ana hoja na anafaa?🐒You’re quite a character. Naona unaona raha kumwaga porojo kufurahisha jamvi na kusanifu mahasimu.
CCM inahitaji mchango wa mtu kupata pesa za matumizi? Kuna tofauti ya CCM na serikali?
Ingekuwa mnategemea wingi wa wanachama wenu tusingeshuhudia chaguzi za kishenzi vile. Uzuri wananchi wengi wameshastukia huo upuuzi uitwao uchaguzi, hivyo hawana muda tena wa kujitokeza kushiriki huo upuuzi.Ccm hatushindi kwanguvu yapesa .ccm tunashinda kwanguvu ya wanachama wengi na wapenzi wake
Mkuu wala asikudanganye mtu, sio pesa wala nini, ili box la kura liheshimiwe machafuko ama mapinduzi ya kijeshi hayaepukiki...Ndio hapo sasa nasema wapinzani lazima watafute namna ya kupata fedha za kampeni ili ku-match ukwasi walionao Ccm.
jeshi la mihemko na ghadabu sio 🐒Mkuu wala asikudanganye mtu, sio pesa wala nini, ili box la kura liheshimiwe machafuko ama mapinduzi ya kijeshi hayaepukiki.
Watashindana na Ccm kununua wapiga kura
Acha kuvisha mgolole. Afrika? Weka CCM kabisa.Afrika tunaangalia anayehesabu kura
Definitely
2015 Chadema walikua na pesa nyingi za mgombea binafsi Lowassa zilikuwa sawa tu na za CCM nini kilitokea!..sijui kama wachambuzi wa siasa na chaguzi zetu wameangazia vya kutosha suala la FEDHA na RASILIMALI wanazokuwa nazo CCM wakati wa kampeni.
..vyama vya upinzani siku zote vimekuwa vikifanya kampeni kwa kuunga-unga na kuzidiwa kwa kiwango kikubwa na CCM.
..sasa sijui mazingira hayo yanachangia kwa kiwango gani[ asilimia ngapi] kushindwa kwa vyama vya upinzani ktk mapambano yao dhidi ya CCM.
..hivyo basi nimewaza kuhusu uchaguzi wa 2025. Nini kitatokea ikiwa chama kimojawapo cha upinzani kitakuwa na kiwango sawa cha fedha walizonazo CCM? Je, mazingira hayo yatachangia kwa kiwango gani kupata matokeo mazuri zaidi ya tuliyoyazoea?