hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 3,055
- 1,517
Hahh unajichanganya sana Kaka dosho12 ......... unaposema ulimwengu umetengeneza matter maana yake kuna kipindi ambacho ulimwengu ulikuwepo wenyewe bila ya kuwepo kwa kitu chochote chenye kuchukua nafasi (matter)...... mpaka pale ulimwengu ulipoamua kutengeneza matter.
Sasa hayo madai yako hapo 👆unaweza kuyathibitisha kweli..?
Elimu zetu hizi,.😂
Sasa hayo madai yako hapo 👆unaweza kuyathibitisha kweli..?
Elimu zetu hizi,.😂