Acha wivu kenge wewe. Sio gari zote zinaalama hio niliouliza. May be huna gari or unabahati ulinunua yenye alama hio moja kwa moja. Wabongo acheni kukuza mambo madogo ili muonekane you know how to crush other people. Kwani ungejibu tu au kupita kimya kimya ungepungukiwa na nini? Manual book zenyewe zinaandikwa kijapan I am sure tupo wengi tu hatujui humu. More so mi nakushauri usimdharau mtu ambae humjui. Pengine tukikutana live unaweza kua shamba boy wangu tu.Miaka 20 unaendesha gari mjini na kwenye highways (ambazo bongo hakuna meaning umeenda nchi za watu) halafu hujawahi kutana na hizo alama!!..soo AMAZING!
stupidity is not a crime tho!.
Kama unajua magari niambie ipi Kati ya hizo nimetaja ina gear ya D-3 . Bro kama huna gari na hujawahi endesha hata la kuazima kaa kimya tu. Sio lazima useme kitu. Gari zina tofauti kubwa Sana Kati ya model na model na bahati mbaya manual book ni kijapanKumbe hauna sababu ya msingi ya kuleta hii hapa
Mkuu hizi altezza kuna ambazo ni manual at the same time ni automatic.Hizi za manual ziko hivi P-R-N -D-M-L3-L2 sasa ukitaka kuendeshea Manual unaweka kwenye M then unaongezea kwa kupunguzia kwenye usukani kutoka 4-2 hizi ni nzuri sana wakati wa mvua na hiz barabara zetu ukiweka M then 2 unapita barabara zote. "Wadau nimezoea kuendesha gari zenye alama ya P-R-N-D-L-2 kwenye gear. Sasa majuzi nimenunua kigari cha Allteza baada ya mambo kubana sana. Pale kwenye D wameongeza D-3 naomba kujua hio 3 ni ya nini na matumizi yake ni ipi. Hako kajamaa Kana CC 2000 yaani 6 cylinder.
Nenda NIT watakujibuSawa mkuu nakubaliana na wewe. Haya jibu mada basi if know what I am talking about!
Wewe mtu una akili sana, Uendelee kujaliwa hekimaRambirambi zimetajwa hapa naona maccm masikio yamewasimama wanasikilizia!!!!!
Hiyo D-3 ina maanisha automatically transmission haitapita gear namba 3.
Hata ukanyage pedal ya mafuta mpaka kwenye kibati.
na members wote wana degree na wanaishi Daruzuri wa Jf kila mtu ana kipato kizuri aidha biashara au kwa kuajiriwa , pia kila mtu ni msomi , na kila memba ana maisha mazuri mfano nyumba gari na aseti nyinginezo.....ndo maisha ya mitandaoni !!!
mleta uzi nenda driving school
Wewe umeanzisha mada mpya. Jamani wabongo acheni ujuaji basi. Mbona nimeuliza swali zuri tu? Uswahili huu unatoka wapi? Kama kweli wewe ni msomi let's assume so. Ulifauluje yani unaulizwa swali hili unajibu lile. Mimi nimesoma science I want straight answer. Uswahili peleka kulee kwenye udaku.uzuri wa Jf kila mtu ana kipato kizuri aidha biashara au kwa kuajiriwa , pia kila mtu ni msomi , na kila memba ana maisha mazuri mfano nyumba gari na aseti nyinginezo.....ndo maisha ya mitandaoni !!!
mleta uzi nenda driving school
Mkuu elimu siyo lazima uende shule, Unaweza ukatumia computer na simu yako kujifunza alama na jinsi ya kuendesha gari kupitia mitandao please shuleni ni practical tuNenda NIT watakujibu
unanijibu mimi au mleta mada?Mkuu elimu siyo lazima uende shule, Unaweza ukatumia computer na simu yako kujifunza alama na jinsi ya kuendesha gari kupitia mitandao please shuleni ni practical tu
JF ukiuliza swali kuwa mpole wala usitokwe povu ...Pole mkuu ndio nasogea taratibu kwenye boda boda. Huwezi jua kesho naweza tajwa kwenye vyeti fake ha ha haaaa! Lakini sincerely nimeuliza kutaka kujua ingawa naona kuna watu wanataka kubadili mada.
hyo p ni parking
R n reverse
N ni neutral
D n drive
L n low drive
2 ni drive 2 na hz gar za mfumo wa kisasa unakita kin D-3 maana yake ni over drive
20 yrs of driving halaf unauliza swali kama hili!!!! ''Muhudumu niongeze [emoji477] pls''Ina tatizo gani kwani? Nimeendesha gari za aina nyingi tu kuanzia GX 100 mpaka 110. IST. RAV4. Colora. Starlet nk nk . I have got almost 20 yrs of driving experience ya mjini na Highways kwa vile nazunguka Sana . Nilichokiona zaidi ni wepesi wa gari tu sijui kama kuna kingine. Speed inayo yes but sioni tofauti na GX labda kama kuna la zaidi nielimishe kwa uwazi mdau.
Labda 20yrs anaendesha Manual transmission.20 yrs of driving halaf unauliza swali kama hili!!!! ''Muhudumu niongeze [emoji477] pls''
Mzee komba marehemu anaita kokoro ya kuna vyura humu,mawe,mijusi samaki wazuri na matakataka ya kila aina hadi le mutuz na bashite wapo humuJF ukiuliza swali kuwa mpole wala usitokwe povu ...
Kwa sababu huwa kuna machizi humu kuna wadandiaji wasiolewa, kuna wasio kuwa wastaarabu, kuna wangese humu wa kweli kweli sio wa mdomini ilimradi kuna watu wakila aina na kila mtu atakujibu jinsi atakavyo chikulia swali lako
... Ila mwisho wa siku atatokea muungwana mwenye akili zake timamau na mwenye elimu na taaluma ya jambo katika swali ulilouliza utakupa jibu
Then maisha yanaendelea ...