Nini maana ya alama hizi kwenye gear ya gari.

Nikushauri tu, kabla hata hujafungua au kukalia kiti cha hiyo gari, naomba urudi driving school, kabla hauja luck vicent, na watu wakapotea na rambi rambi ya msiba wako.
100%[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu hizi altezza kuna ambazo ni manual at the same time ni automatic.Hizi za manual ziko hivi P-R-N -D-M-L3-L2 sasa ukitaka kuendeshea Manual unaweka kwenye M then unaongezea kwa kupunguzia kwenye usukani kutoka 4-2 hizi ni nzuri sana wakati wa mvua na hiz barabara zetu ukiweka M then 2 unapita barabara zote. "
Bado sana
Naomba anuani yako just in case utakuja kujiua. Mimi hobby yangu kubwa ni kula misibani na watu tofauti tofauti huku tukipiga story za marehemu.

Mkuu shukrani Sana wewe umeeleewa na kujibu short and clear. Hao wala rambi rambi watasubiri Sana tu!
 
Hili nalo swali unaleta JF?????

Haya sasa tumekujua una gari
Mwenzio mwenye akili ya ngamia kama wewe Jana tu nimemweleza kwa kirefu Sana kuwa ni punguani tu anaweza kuwaza kua kuuliza swali JF ni kujishaua bcoz humu hatujuani who is who or kama mpo wachache mnaojuana that's gud mnaweza kukogana humu. But binafsi simjui mtu hata 1 humu and I am sure no body knows me too. Sasa nitakujaje kujishaua humu jamani hii sio akili ya kingese kweli? Kuna FB kuna What'sapp group's kuna Instagram why nisiende huko kuuliza hili swali kwa lengo la kukoga watu pia. After all hivi Allteza ni gari ya kukoga watu kweli.
Kwa wale JF tulioanza nayo wakati inaanzishwa nadhani wengi wao watakua wametoka. Tumevamiwa na watu wako inclined kutukana au kukashifu tu hata kwa jambo jema
Hili suala la D-3 mbona ni dogo tu ni kujibu na kupita zako kwani lazima utukane au kashfa?
May be wewe huna gari but sio kosa lako muda ukifika utapata tu ila ujue magari yote hayako sawa. Na sio gari zote zina hio D-3 that's why I asked. Na kwa kweli nimepata somo kubwa kabisa bcoz hata matumizi halisi ya L na 2 sikuyajua vizuri kitaalamu though naendesha gari miaka mingi but for me P-R-N-D was enough.
 
I like you
 
na wewe acha mbwembwe utafikiri dereva kweli kuja uendeshe scania gear 16 ,muone kwanza
Pole sana bwana mdogo nadhan unafikir kuwa humu wote tunasubiri kupangiwa shule za kwenda form five eti!? Au unadhan wote tunasubiri NACTE wafungue usajili ee
 
mambo ya form five sijui nacte yamefikaje bibie, mwenzio kaomba msaada msaidie
 
Back
Top Bottom