Nini maana ya alama hizi kwenye gear ya gari.

Nini maana ya alama hizi kwenye gear ya gari.

Mnaomponda mleta mada ina maana mmendesha gari zote duniani au mnafikiri gari zote ziko sawa?! Kuna gari mtaingia mtashindwa kuendesha hazina gear lever au ipo sehemu ambayo wewe huajizoea na hutegemei iwepo.
Daaah waambie mkuu. Yaani ni shida. Nimeliza swali badala ya kujibu wanaongea pumba tupu. Gari hazifanani. Na nimetaja gari nimewahi endesha. Zote hazina hio D-3 but still hawaelewi. Watu wengi hawajitambui
 
Kama unajua magari niambie ipi Kati ya hizo nimetaja ina gear ya D-3 . Bro kama huna gari na hujawahi endesha hata la kuazima kaa kimya tu. Sio lazima useme kitu. Gari zina tofauti kubwa Sana Kati ya model na model na bahati mbaya manual book ni kijapan
Mkuu hao ndio wabongo nakuhakikishia kati ya wanao kujibu majibu ya hovyo wengine hata bajaji hawana kabisa
 
Mkuu hao ndio wabongo nakuhakikishia kati ya wanao kujibu majibu ya hovyo wengine hata bajaji hawana kabisa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2]
 
D-3 ni gear inayotumika kama drive kawaid pia ni gia ya 3 kama utakua umeanza na L ukafata 2! Maana yake kama upo unarace, utaanza L kama low au gia ya kwanza, spid ikichangany utawek 2 nayo ikishakaa vizuri utawek D-3 ila hapa itatumik kama gia ya tatu na kuendelea! Ila pia unawez tumia D-3 kama drive maana yake itakuw automatically inajichange! Hope nimeeleweka
 
Mimi nilifikiri 2 inaruhusu gear zibadilike mwisho mbili, kadhalika D-3 inaruhus gear zibadilike mwisho tatu.
Mkuu.
Nimesoma comment za wana jamamvi. Ki ukweli we ndio uko sawa kwa swali alilouliza.

Kama jinsi ilivyo.
D ni drive
P ni parking
R ni revase
D2 ni kwamba hiyo position inabadilika mwisho mpaka gear namba 2 tu.
D3 nayo ni hivyohivyo mwisho namba 3.
kama tujuavyo. Ikiwa kwenye position ya D hapo ni drive na gear zinachange zenyewe mpaka gear namba 5.
So kwa L hapo ni low gear hasahasa kwenye mautelezi na matope na pia hata gari inapokwama.
ila unashauriwa kama unapnda mlima uwe unatumia D2 sana.
na case ya OD unashauriwa uwe unaweka OD(Overdrive ) ukiwa upo zaidi ya 70km/h speed. Hushauriwi kuendesha gari below that speed ikiwa ktk position ya od.

Ni hayo tu.
mwenye mengine zaidi aongezee.

Uduzungwa
 
JF ukiuliza swali kuwa mpole wala usitokwe povu ...

Kwa sababu huwa kuna machizi humu kuna wadandiaji wasiolewa, kuna wasio kuwa wastaarabu, kuna wangese humu wa kweli kweli sio wa mdomini ilimradi kuna watu wakila aina na kila mtu atakujibu jinsi atakavyo chikulia swali lako

... Ila mwisho wa siku atatokea muungwana mwenye akili zake timamau na mwenye elimu na taaluma ya jambo katika swali ulilouliza utakupa jibu

Then maisha yanaendelea ...
Uko sahihi Mkuu
Watu badala ya kimsaidia mtu kama alivyo uliza swali wanaanza kashfa za kijinga kijinga
 
Wewe umeanzisha mada mpya. Jamani wabongo acheni ujuaji basi. Mbona nimeuliza swali zuri tu? Uswahili huu unatoka wapi? Kama kweli wewe ni msomi let's assume so. Ulifauluje yani unaulizwa swali hili unajibu lile. Mimi nimesoma science I want straight answer. Uswahili peleka kulee kwenye udaku.
ngoja nikupuuze
 
Mimi nilifikiri 2 inaruhusu gear zibadilike mwisho mbili, kadhalika D-3 inaruhus gear zibadilike mwisho tatu.
apana aise hyo 2 inaitwa drive two kaz yake inatumika sehem zenye vkwazo vgumu kama gar ikiwa inaekekea kuchoka na kukosa nguvu kama milimiman hv n.k lakn pia kwa hyo D 3 ni over drive kwa zile gar za old model ukikuwa unaminya kibatan flan lakn sahv hcho kibatan akipo ndo unatumia hyo over drive
 
Hiyo D-3 unapoiweka maana yake hutopita kwenye hiyo gear katika uendeshaji wako angalizo pedal ya accelarator usiikanyage mpaka mwisho sababu utakua unaendeshea katika gear kubwa na gari itakua nzito kidogo, kitendo cha kukandamiza pedal sana kinaweza kuleta madhara kwenye engine
 
apana aise hyo 2 inaitwa drive two kaz yake inatumika sehem zenye vkwazo vgumu kama gar ikiwa inaekekea kuchoka na kukosa nguvu kama milimiman hv n.k lakn pia kwa hyo D 3 ni over drive kwa zile gar za old model ukikuwa unaminya kibatan flan lakn sahv hcho kibatan akipo ndo unatumia hyo over drive
Kijana nimeendesha gari nyingi sana. Kuanzia manual to most sophisticated auto and semi autos. Simple sequence ipo hivi p n r d 1 2 3 pambeni inaweza kuwa na +/- for semi autos. Hio 1 inaweza kuwa L.
Sasa ukiweka 2 gear zinabadilika mwisho mbili tu,same ukiweka 3.
Kazi yake nini?
1.Ukiwa unamfundisha mtu kuweka D ni hstari kwasababu anaweza kushindwa kubalance mguu akakanyaga gear zikapanda na speed ikapanda sana. Ukimuwekea 2/3 hata akanyage vipi ana limit.
2.ukiwa unavuta gari au trailer hushauriwi kuanza na D. Unaanza na 1/L then ikigain speed unashift to 2/3 then D smoothly.
3.ukishuka mlima ni vizuri kutumia 3/2/1 ili kuokoa brakes maanake ukishuka na D utakuwa na kazi ya kukanyaga brake ambapo zinaweza ku overheat.

Hizo +/- ni manual shift kwrnye auto car hence name semi-automatic either unaigonga gear lever up/down au una press button on steering wheel or push flaps under ur steering wheel.
 
Miaka 20 unaendesha gari mjini na kwenye highways (ambazo bongo hakuna meaning umeenda nchi za watu) halafu hujawahi kutana na hizo alama!!..soo AMAZING!
stupidity is not a crime tho!.
Duuh ..kupitia thread hii tutajifunza mengi!!! Jamaa nawewe unazidi kupoteza watu. Eti bongo hakuna highway? Hivi wewe jamaa unajua maana ya highway au ulikurupuka tu kumkosoa jamaa. Atleast you should have consulted Google before posting such criticism.
 
Mkuu.
Nimesoma comment za wana jamamvi. Ki ukweli we ndio uko sawa kwa swali alilouliza.

Kama jinsi ilivyo.
D ni drive
P ni parking
R ni revase
D2 ni kwamba hiyo position inabadilika mwisho mpaka gear namba 2 tu.
D3 nayo ni hivyohivyo mwisho namba 3.
kama tujuavyo. Ikiwa kwenye position ya D hapo ni drive na gear zinachange zenyewe mpaka gear namba 5.
So kwa L hapo ni low gear hasahasa kwenye mautelezi na matope na pia hata gari inapokwama.
ila unashauriwa kama unapnda mlima uwe unatumia D2 sana.
na case ya OD unashauriwa uwe unaweka OD(Overdrive ) ukiwa upo zaidi ya 70km/h speed. Hushauriwi kuendesha gari below that speed ikiwa ktk position ya od.

Ni hayo tu.
mwenye mengine zaidi aongezee.

Uduzungwa
Mkuu samahani sijakuelewa yaani hiyo OD si inajiingage automatically kulingana na mwendo ( speed? )
 
Duuh ..kupitia thread hii tutajifunza mengi!!! Jamaa nawewe unazidi kupoteza watu. Eti bongo hakuna highway? Hivi wewe jamaa unajua maana ya highway au ulikurupuka tu kumkosoa jamaa. At least you should have consulted Google before posting such criticism. Hivi yule mtu anae dhani anajua huku hajitambui kama hajui anaitwaje? Na kuna yule asiyejua alafu anajitambua hajui anaitwaje? Ukijijibu maswali haya basi tambua huyu uliyemkosoa ndio huyo wa pili na wewe ndio huyo wa kwanza.
sawa😀😀😀😀
 
Nikushauri tu, kabla hata hujafungua au kukalia kiti cha hiyo gari, naomba urudi driving school, kabla hauja luck vicent, na watu wakapotea na rambi rambi ya msiba wako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duuh ..kupitia thread hii tutajifunza mengi!!! Jamaa nawewe unazidi kupoteza watu. Eti bongo hakuna highway? Hivi wewe jamaa unajua maana ya highway au ulikurupuka tu kumkosoa jamaa. At least you should have consulted Google before posting such criticism. Hivi yule mtu anae dhani anajua huku hajitambui kama hajui anaitwaje? Na kuna yule asiyejua alafu anajitambua hajui anaitwaje? Ukijijibu maswali haya basi tambua huyu uliyemkosoa ndio huyo wa pili na wewe ndio huyo wa kwanza.
Huyu jamaa atakua hajui maana halisi ya highway. Yeye anadhani zipo nje tu na lazima ziwe na more than two lanes. But highway kifupi ni barabara yeyote kubwa inayo connect two major cities, (especially) with more than two lanes. Sasa kibongo bongo hata hizi zetu kwenye Conner na milima si zipo lanes tatu jamani kwa nini tusijidai. Anyway kimsingi ilikua ajibu swali tu na sio kashfa wala kupotosha hoja. For sure watanzania wengi wanajua highway ni hizi barabara zetu za Kati ya mji na mji. Na kwa vile lengo ilikua D-3 tu really I wasn't prepared for that stupid turn around of events!
 
Back
Top Bottom