Nini maana ya alama hizi kwenye gear ya gari.

Utakuwa mtu wa ajabu sanaa umeendesha gari zote hizoo na unasema nidereva mzoefu kinachokushangaza nini kwenye alteza? Au shida yako tujue ushaendesha Magar aina ngap
 
Wewe inawezekana hata gari huna na unajishaua tu hapa hivi kweli uwe umeendesha magar kwa kipind hicho ulicho taja halafu uwe hujui mtumizi ya hivyo uliza?????? Asee uongo unahitaji kumbukumbu
Kazoea vtz old model Leo kaazimwa alteza anajikutaa kuulizaa hayoo mengine Cjui ye dereva mzoefu aliyeendesha gari nyingi mbwembwee tuuu
 
Pole mkuu ndio nasogea taratibu kwenye boda boda. Huwezi jua kesho naweza tajwa kwenye vyeti fake ha ha haaaa! Lakini sincerely nimeuliza kutaka kujua ingawa naona kuna watu wanataka kubadili mada.
Unaletaa mashudu dot com ndo maanaa watu wanakupotezeaa
 
No offence, watu huwa tunakosea na mimi pia I went too far on my comment, as you can see my comment is already edited. Pamoja mdau. Don't take it personal.
Usihofu mkuu, kuna wengine sisi ukija unataka msaada usije na majigambo oohh nimefanya hiki mara nna hiki tutaona hutaki msaada unataka kutuenjoy yani hata ukipewa majibu ya hovyo we kubali tu sababu ulikuja tafuta msaada!..
 
Somo lako nimelipenda mkuu, seems tunafanya mistakes kibao wakati wa kuendesha.

Hapo kwenye slopes kweli sikujua, siku moja nikashuka mlima mkali huku kitu kiko D na kweli breki zilitoa harufu, nilipofika town nikaenda kubadilisha pads ndio fundi akaniambia same thing unachosema, daaah kumbe ningekufwaa.
 
Ni option ya manual kwenye auto na hasa sports car.
 
Mimi nilifikiri 2 inaruhusu gear zibadilike mwisho mbili, kadhalika D-3 inaruhus gear zibadilike mwisho tatu.
Sawa kabisa lakini si unajua kila mtu mjuzi.
 
duh! Kumbe "luck vicent" ni verb sikuhizi!
 
uzuri wa Jf kila mtu ana kipato kizuri aidha biashara au kwa kuajiriwa , pia kila mtu ni msomi , na kila memba ana maisha mazuri mfano nyumba gari na aseti nyinginezo.....ndo maisha ya mitandaoni !!!

mleta uzi nenda driving school
hehe
 
Khaa! Yan umenunua Tezza baada ya mambo kubana sana? Wengine tumenunua boda boda mkuu. Hongera sana. Angalau wewe bado unapumua kiuchumi, wengine tuko ICU!
Mbona na wewe uko vizuri kiuchumi Mkuu.

Wengine ata basikeli kununua tumeshindwa bajeti haitoshi tukisema kununua familia italala njaa
 
Usihofu mkuu, kuna wengine sisi ukija unataka msaada usije na majigambo oohh nimefanya hiki mara nna hiki tutaona hutaki msaada unataka kutuenjoy yani hata ukipewa majibu ya hovyo we kubali tu sababu ulikuja tafuta msaada!..
Yaani toka asubuhi najaribu Sana kukuvumilia but bado unaongea pumba tu. Please use your little common sense, Ingekua Mimi Nina Nina ya kujishaua nisingekuja JF ambako sijui mtu hata mmoja, ningeenda FB or WhatsApp groups or Instagram ambako tunajuana hata kwa Sura nikajishauwe huko. Kwa nini lakini huna akili kiasi hiki? Kama wewe unajuana na wenzio humu JF basi ni nyie huko. Na hata ukichunguza Mimi sio mtoa hoja wa mchangiaji Sana wa mada humu. Naweza potea hata mwaka. Narudia tena kukueleza kua wewe hunijui na Mimi sikujui tusichafuane kwa kitu kidogo kama hiki. Acha watu wajibu wanaojua. Kama umepigika mpaka unaona Allteza ni gari ya kujishaua usinichukie Mimi . I have nothing to do with your fckn life !
 
Nikushauri tu, kabla hata hujafungua au kukalia kiti cha hiyo gari, naomba urudi driving school, kabla hauja luck vicent, na watu wakapotea na rambi rambi ya msiba wako.
Hahaahaha mbavu zangu.da jf mnachekesha sana
 
sawa tuvumiliane tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Na mbaya zaidi magari yote ni auto. Hivi akipewa staff ataweza kweli
Wewe inawezekana hata gari huna na unajishaua tu hapa hivi kweli uwe umeendesha magar kwa kipind hicho ulicho taja halafu uwe hujui mtumizi ya hivyo uliza?????? Asee uongo unahitaji kumbukumbu
 
P ni park
R ni reverse
N ni neutral
D ni drive (gear zote zinaingia hapa isipokuwa reverse)
L ni low gari inatembea kwa gear 1 tu.
2 ni gari inatembea kwa gear no 2 tu
 
Hili nalo swali unaleta JF?????

Haya sasa tumekujua una gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…