kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,150
Nusu albino nusu albino nusu albino nime kuita mara tatuHawajali lolote vyovyote,mtu asiejali lolote muogope sana. Hawatabiriki ma hawaaminiki. Jichanganye ujute kama Intellikengemaji
Heshima kwenu wakuu!
Naomba kujua kwanini, Kuna neno,,
NI VIUMBE DHAIFU? na KUISHI NAO KWA AKILI?
na je usipozingatia Haya Kwa mwanaume ni matokeo gani utayapata? Nawasilisha hoja kwenu wakuu!
Heshima kwenu wakuu!
Naomba kujua kwanini, Kuna neno,,
NI VIUMBE DHAIFU? na KUISHI NAO KWA AKILI?
na je usipozingatia Haya Kwa mwanaume ni matokeo gani utayapata? Nawasilisha hoja kwenu wakuu!
Waweza nisahihisha ujuavyo mkuuUmetoa wapi hiyo quote? Iko kwenye Biblia kama ulivyoandika?
Umetoa wapi hiyo quote? Iko kwenye Biblia kama ulivyoandika?
Fungukà mkuuWanawake wako makini sanaa usiwachukulie poaa
Vipi km Mimi nikicheza na mind yake?They are best creatures to play MIND GAME.
WAO always huwa Wana play mind game , yaani wao wanacheza na akili yao, Kama vile kucheza karata. Kuna muda ana deshi Kama anasukuma kete Fulani ili akuone your reaction.
They can trick or act emotions. Yaani kwa kiufupi ukijua emotions wanawake Wana akili kuliko sie
Kifupi tuwaite dismainda au VP?Hawajali lolote vyovyote,mtu asiejali lolote muogope sana. Hawatabiriki ma hawaaminiki. Jichanganye ujute kama Intellikengemaji
Anakuuwaje fafanua?We mtu anakuua bila kukupiga ni mwenzio huyo
Queen Cleopatra, Margareth Thatcher, Angela Merkel hawa walikuwa wakuu wa dola kubwa sana.Heshima kwenu wakuu!
Naomba kujua kwanini, Kuna neno,,
NI VIUMBE DHAIFU? na KUISHI NAO KWA AKILI?
na je usipozingatia Haya Kwa mwanaume ni matokeo gani utayapata? Nawasilisha hoja kwenu wakuu!
Waulize waliooa mkuu,ni mdomo tu mpaka unakufa kwa pressureAnakuuwaje fafanua?
Hao ni hatari hata sijui tuwaitaje, usiwaaminiKifupi tuwaite dismainda au VP?
Ita hata mara 100Nusu albino nusu albino nusu albino nime kuita mara tatu
Usi shangae uka uona uzi wa haji manara jf🤣🤣Ita hata mara 100
Wapi nimeandika namdharau mwanamke? Na Mimi mbona sio mmbwa mkuu?Queen Cleopatra, Margareth Thatcher, Angela Merkel hawa walikuwa wakuu wa dola kubwa sana.
Soma historia acha kukariri mistari ya Bublia. Unachomzidi mwanamke ni mapumbu tu. Ukidharau wanawake umemdharau na Mama yako mzazi aliyekubeba tumboni kwa miezi 9, na kisha akakuzaa bila kukubana kichwa mbwa wewe.
Kuna wanawake dhaifu nankuna wanaume dhaifu pia. Usi generalise