Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Uje tu kwani nan haji m?Usi shangae uka uona uzi wa haji manara jf🤣🤣
Uje tu kwani nan haji m?Usi shangae uka uona uzi wa haji manara jf🤣🤣
Huwezi wao wako gifted kusoma your body vibration na your words.Vipi km Mimi nikicheza na mind yake?
Mnamchokoza sio?😂😂Usi shangae uka uona uzi wa haji manara jf🤣🤣
usi lie sasa, subiri nyundo ya utosini.Uje tu kwani nan haji m?
Huyo ndiye haji manara, namjua 🤣Mnamchokoza sio?😂😂
Shukrani kwa madini mkuu!Huwezi wao wako gifted kusoma your body vibration na your words.
Yaani unayoongea anayasikia Ila anakusoma your body reaction/correlation with your words.
Ndio mana unaweza mwambia nakupenda akakujibu kuwa mbona unachoongea hakiendani na ukweli.
Wewe unatumia akili yako kuchuja maneno ya mtu, hata Kama aki act/fake.
Wako gifted kusoma human instincts kwa kutumia intuition, they don't have time to think or analyze using logic brain.
Fafanua zaidi mkuu!1 Petro 3:7
Kadhalika ninyi waume kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima kama chombo kisicho na nguvu(dhaifu).
SIO: Mwanamke ni kiumbe dhaifu ishi nae kwa akili
Mkuu nimequote fungu lilivyo, kuhusu ufafanuzi ngoja waje kukupa mwongozo.Fafanua zaidi mkuu!
Tungojee wajuzi waje!Mkuu nimequote fungu lilivyo, kuhusu ufafanuzi ngoja waje kukupa mwongozo.
Ngoja vije vitoto vya 2000Kifupi ni kuwa mwanamke unapaswa kumfikisha kilele kila jambo akifurahi hakikisha anafikia ile last peek na akihuzunika hakikisha anafika kilele cha hasira akichoka hakikisha kafika mwisho wa uchovu
Wanaishi kwa hisia sana kuliko uhalisia
Sasa uitumieje akili
Hakikisha unamfikisha kileleni harafu uwe na uwezo wa kumbadirisha hisia yake mfano anajifeel vibaya mchenji ajifeel vzr akajifeel vzr mchenj ajifeel vibaya
Huo ndiyo ubaya kwa ubaya
Mwanaume usieleweke kbs
Ashindwe kukudefine
Sijui vitoto vya alf 2 vinasemaje
Vitakuchalua usije sahau njia ya kutokeaNgoja vije vitoto vya 2000
Wao wako gifted kusoma mwili wako Ila wewe uko gifted kutumia akili sana kuliko wao.Shukrani kwa madini mkuu!
Sijaviita Mimi mkuu!Vitakuchalua usije sahau njia ya kutokea
Mke wa kaka alimuacha kisa tu jamaa Yuko more perfection, hakuna kashi kashi, smt inatakiwa akukute uko na mwanamke mwingine, mara sms, mara uwe umetulia ndani adi afurahi.Kifupi ni kuwa mwanamke unapaswa kumfikisha kilele kila jambo akifurahi hakikisha anafikia ile last peek na akihuzunika hakikisha anafika kilele cha hasira akichoka hakikisha kafika mwisho wa uchovu
Wanaishi kwa hisia sana kuliko uhalisia
Sasa uitumieje akili
Hakikisha unamfikisha kileleni harafu uwe na uwezo wa kumbadirisha hisia yake mfano anajifeel vibaya mchenji ajifeel vzr akajifeel vzr mchenj ajifeel vibaya
Huo ndiyo ubaya kwa ubaya
Mwanaume usieleweke kbs
Ashindwe kukudefine
Sijui vitoto vya alf 2 vinasemaje
Stress plus msongo !heart attack plus. Kisukari!!Anakuuwaje fafanua?
Mwanamke siyo wa kuzingatia ukimzingatia utakufa kwa presha yeye anadundaMke wa kaka alimuacha kisa tu jamaa Yuko more perfection, hakuna kashi kashi, smt inatakiwa akukute uko na mwanamke mwingine, mara sms, mara uwe umetulia ndani adi afurahi.
Umeongea points inatakiwa mara moja unampeleka kwenye negative emotions peak and smt kwa positive emotions peak pia
😂😂😂Stress plus msongo !heart attack plus. Kisukari!!