kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,150
- Thread starter
- #41
Upi saa ndo nataka kuujua chiefHuo udhaifu wao ndio sababu yakuambiwa uishi nao kwa akiri.
Upi saa ndo nataka kuujua chiefHuo udhaifu wao ndio sababu yakuambiwa uishi nao kwa akiri.
Hawajui wanataka nini kwenye maisha yao so ishi nao kitaalamu, usiwaamini saana.Upi saa ndo nataka kuujua chief
--NI VIUMBE DHAIFU? na KUISHI NAO KWA AKILI?
Jamaa kakushambulia vikali sana kama vile amelewa.Wapi nimeandika namdharau mwanamke? Na Mimi mbona sio mmbwa mkuu?
--na je usipozingatia Haya Kwa mwanaume ni matokeo gani utayapata?
Unavyowapaisha Ke utadhani ni malaika kumbe ni mabomu tunayoishi nayo Me na muda wowote hulipuka...😆Wanawake wako makini sanaa usiwachukulie poaa
Mana wao don't process logic. They excell poorly at mathematics and science but at history and biology are Best.Mwanamke siyo wa kuzingatia ukimzingatia utakufa kwa presha yeye anadunda
Masihara yawe mengi kuliko hali halisi
Usidanganyike kuwa wako poor in mathematics and science a big wrong statementMana wao don't process logic. They excell poorly at mathematics and science but at history and biology are Best.
Mana hizo masomo ni ukweli kabisa Sasa wao ukweli hawaelewi Ila story story wako poa mno
Don't use emotions to rationalize the logic ama naona ni Kama ego inataka iku drive.Usidanganyike kuwa wako poor in mathematics and science a big wrong statement
Sema wao wakiwa wanaprocess inf bilaterally most insue raises to prohibit the process lkn kama ikatokea a conducive environment wako very good than that you think
Tulipokuwa tunasoma nao mkimuona tu anakomaa na njemba kule juu mnaanza mizengwe ya kutongiza na kuchezea sana
Akiingia pepa mshamwacha
Mmoja tu alizingua mno enzi zile chezasha sana ila akija pepa mtasikia tu
Maana kuishi nao kwa akili ni kuwa;Heshima kwenu wakuu!
Naomba kujua kwanini, Kuna neno,,
NI VIUMBE DHAIFU? na KUISHI NAO KWA AKILI?
na je usipozingatia Haya Kwa mwanaume ni matokeo gani utayapata? Nawasilisha hoja kwenu wakuu!
hawana akili ila wanatumia udhaifu wetu kwao tuThey are best creatures to play MIND GAME.
WAO always huwa Wana play mind game , yaani wao wanacheza na akili yao, Kama vile kucheza karata. Kuna muda ana deshi Kama anasukuma kete Fulani ili akuone your reaction.
They can trick or act emotions. Yaani kwa kiufupi ukijua emotions wanawake Wana akili kuliko sie
Mwl. Long time upo?--
"Wanawake wengi leo wana nguvu, maarifa, uamuzi, na uwezo wa kushika nafasi zote – kiuchumi, kielimu, na hata kijeshi"- Nukuu #1
So kifupi wanaweza nà TUISHI NAO Kwa AKILI Kwa kuwa wametuzidi Kwa kiasi Fulani?Mwanamke ana ushawishi...
Kibiblia soma Delila na Samson vile Delila alikuwa anamshawishi Samson kujua nguvu zake zilipo.
Soma Esta alivyoomba akamshawishi mfalme afute waraka wa kuuliwa Wayahudi...
Maisha ya sasa ona vile mwanamke akipewa nafasi ya Uongozi au biashara anavyotumia ushawishi ili kufikia mafanikio makubwa...
Hawa alivyomshawishi Adamu kula tunda...
NB: Mwanamke akiwa na Mungu anaweza kuwa na ushawishi kwa mumewe na jamii ikafanikiwa ila akiwa wa Shetani anafanya ya kishetani kweli
Mafumbo sana mkuu fungukà kidogo?Maana kuishi nao kwa akili ni kuwa;
Mwanamke akikwambia kauli ifikirie mara mbili kabla hujaamua maana hawapo strait kama sisi. tabia yao by nature ni wategaji.
Utayari wao wa akili upo juu kuliko sisi(mfano mtoto mwenye akili huwa anarithi kwa mama mara nyingi) ila hawana uwezo kimamlaka kuliko mwanaume. Prove ni kuwa angalia mara zote ni watu wanaotega sana na mtu anayetega mara zote anamzidi akili mtegwaji.
Mfano kwenye ndoa ni tabia kwa mwanamke kuingiza gia afu anasikilizia endapo ikifeli anarudi neutral kusikilizia maamuzi ya dereva ila ikikubali anatembea nayo hiyo hiyo wewe unakuja kushtuka gari limeshakushinda.
Tajiri samehe 7*70Jamaa kashambilia vikali sana kama vile amelewa.
Nikashangaa 'kwahiyo hajasoma kilichoandikwa!'
Na naona kwenye hii maada,wanapita tu kusoma comment hakuna anayefunguka!Hawajui wanataka nini kwenye maisha yao so ishi nao kitaalamu, usiwaamini saana.
Hapa km Kuna kwaukweli😂😂😂😂Kuna mdau alisema ni watiifu sana ukiwapa hela japokuwa sikubaliani nae.