Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
- Thread starter
- #21
usiku?Ulikula ugali na pili pili nyingiii ukashiba sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiku?Ulikula ugali na pili pili nyingiii ukashiba sana.
Nimeota nipo sehemu nisioijua ni kama mji hivi, umechangamka kiasi nikajikuta na mtu nisiemjua, tukaenda kwenye mwembe uliokua umemwaga maembe mengi lakini hayana muokotaji.
Basi tukaanza kuyaokota lakini mengi yalikua mabichi nikasema niokote mabichi ndio makubwa na la kuiva lilikua dogo nililiokota hivohivo, kwa pembeni kulikua na nyasi nikahisi uwepo wa nyoka mweusi mdogo, nikarusha jiwe sikujua kama lilimpata au la, nikajikuta kwenye mfuko nina embe moja tu lililoiva dogo.
Nikawa najiuliza inawezekanaje wakati nimeokota mengi sana na yule mtu alinipotea tu sikumuona, nikajikuta nipo mjini kwenye huo mji, kilichonifanya nijue hapa ni mjini ni wingi wa magari ajabu kila gari ninayotaka kuipanda imejaa na haisimami, mwisho ikaja gar haikua na watu wengi nikaingia lakini lile gari likakwama kuondoka.
Nikashtuka, inaweza kuwa kuna kitu gani kinaendelea? naomba kutafsiriwa kwa anejua.
Kuwa makini na yule unayeshirikiana naye kwenye biashara yako kuna uwezekano anafanya njama hasa za kutumia ndumba kukuibia. Fanya uchaguzi au uamuzi mzuri katika mambo yako.Nimeota nipo sehemu nisioijua ni kama mji hivi, umechangamka kiasi nikajikuta na mtu nisiemjua, tukaenda kwenye mwembe uliokua umemwaga maembe mengi lakini hayana muokotaji.
Basi tukaanza kuyaokota lakini mengi yalikua mabichi nikasema niokote mabichi ndio makubwa na la kuiva lilikua dogo nililiokota hivohivo, kwa pembeni kulikua na nyasi nikahisi uwepo wa nyoka mweusi mdogo, nikarusha jiwe sikujua kama lilimpata au la, nikajikuta kwenye mfuko nina embe moja tu lililoiva dogo.
Nikawa najiuliza inawezekanaje wakati nimeokota mengi sana na yule mtu alinipotea tu sikumuona, nikajikuta nipo mjini kwenye huo mji, kilichonifanya nijue hapa ni mjini ni wingi wa magari ajabu kila gari ninayotaka kuipanda imejaa na haisimami, mwisho ikaja gar haikua na watu wengi nikaingia lakini lile gari likakwama kuondoka.
Nikashtuka, inaweza kuwa kuna kitu gani kinaendelea? naomba kutafsiriwa kwa anejua.
the boss, wewe sasa ndio angalau umenionyesha mwanga, yes nina mpango wa kuanza biashara mpya lakini nina vikwazo tele na sioni pa kutokea hali ni ngumu mno kurudi kama awaliKuna mtu utakutana nae atakushauri au kukushawishi mkafanye biashara au kazi mpya ambayo Kwa macho inaonekana ina faida Tele...
Ukifika huko utagundua kuna ubaya umejificha (nyoka)..utaanza pambana na huo ubaya ..by the time unataka kuondoka utakuja kugundua faida sio kubwa kama uliyovuna ...na namna ya kurudi ulipotoka imekuwa ngumu kupita maelezo....(mfano kama uliacha kazi kwenda huko Kwenye kazi mpya au biashara mpya)..
aiseeKuwa makini na yule unayeshirikiana naye kwenye biashara yako kuna uwezekano anafanya njama hasa za kutumia ndumba kukuibia. Fanya uchaguzi au uamuzi mzuri katika mambo yako.
The best way forward ni kupambana na huyo nyoka...kupitia spiritual means ..maombi..ili uvune Sana..the boss, wewe sasa ndio angalau umenionyesha mwanga, yes nina mpango wa kuanza biashara mpya lakini nina vikwazo tele na sioni pa kutokea hali ni ngumu mno kurudi kama awali
Kuelewa somo hlo inabidi kwanza ujue aina za ndoto ukhty ,ni somo pana, zipo ndoto za kweli na ndoto ambazo znatengenezwa na ubongo wako kulingana na prika za mchana kutwa, soo muda ukilala ubongo hupumzika na kutengeneza film ya matukio ndo inakuwa ndoto.What I mean kna ndoto zna maana na kuna ndoto hazna maana wala tafsiri yyte ile, kna ndoto ukiota asbuhi ushasahau uliota nini, na kna ambazo unazikumbuka. Ila kwa kiasi kikubwa kwenye mafundisho ya dini ya kiislam ilimu ya ndoto ni wachache wenye ufaham nayo, usikubali kudanganywa. Generally kwa mujibu wa ndoto yko ni dhahiri kuna jambo/mpango inabidi uufanikishee jpo kwa xx mambo bado, weka mkazo kwenye utaftaji muamini AllahAllah! Allah! naona unanichanganya kabisa, so there is me behind this keyboard and there is another one kwenye ndoto who is she?? unamaanisha nn? so huyo wa kwenye ndoto anaishi maisha gan? come slowly nielewe
😂 😂 😂 huu utabiri ni nomaNdoto yako inakutaka ule matunda kwa wingi chelea chelea utakufa kwa utapiamlo! Yaonyesha wewe sio mlaji wa matunda ndio maana yameamua yakufate ndotoni.. ifike mahali uone aibu unakula matunda ukiumwa tu huo ni mwili na sio pagala la manyimio!..
Tena upunguze kunywa pombe unakunywa mpk unaanguka kwenye mashimo ya nyoka ipo siku yatakulalua na mwisho ununue gari unauwezo wa kununua gari uache kuomba lift Hadi ndotoni..
Hiyo ndo tafsiri
asante sana of course hilo jambo lipo lakini sjui kinanikwamisha niniKuelewa somo hlo inabidi kwanza ujue aina za ndoto ukhty ,ni somo pana, zipo ndoto za kweli na ndoto ambazo znatengenezwa na ubongo wako kulingana na prika za mchana kutwa, soo muda ukilala ubongo hupumzika na kutengeneza film ya matukio ndo inakuwa ndoto.What I mean kna ndoto zna maana na kuna ndoto hazna maana wala tafsiri yyte ile, kna ndoto ukiota asbuhi ushasahau uliota nini, na kna ambazo unazikumbuka. Ila kwa kiasi kikubwa kwenye mafundisho ya dini ya kiislam ilimu ya ndoto ni wachache wenye ufaham nayo, usikubali kudanganywa. Generally kwa mujibu wa ndoto yko ni dhahiri kuna jambo/mpango inabidi uufanikishee jpo kwa xx mambo bado, weka mkazo kwenye utaftaji muamini Allah
dahHiyo ndoto yako inauadui riziki yako inaweza kupotea au kuanguka huko mbeleni na hautokubalika Kwa kila kitu na kila utachoanza kukifanya hautopata saport na hata ukifanikiwa kufanya hautosogea mbele lazima kikwame njiani, kwahiyo kemea Kwa imani yako
Kwa maana unaweza kufanikiwa kuanzisha kitu lakin kisiende kokote iwe baishara au chochote
shukranMwembe ni mtu mwenye neema lakini asiye na akili na maarifa.Nyoka mdogo ni adui au mtu mbaya asie na nguvu sana.Huyo mwembe ni mjinga kiasi cha kuruhusu neema yake kuharibiwa maana maembe mabichi ni nadra kuanguka kama mti hauna tatizo.Unafahamiana na mwembe huo ila huufuatulii.Mtu usiemjua ni mtu Mnaefahamiana sana.Kaona udhaifu wa mwembe anataka kukutumia kuuchuma.Nyoka ndie mchora ramani za uovu, aliye chini ya mtu huyo.(MWEMBE.)
Kinacho kukwamish ni hayo uliosema maemb mengi mabichi (hayaliki ni machachu) yan watu wasio na faida au ambao hawakusaidii ni wengi, una ukoo wako lkn mambo mengi upo mwenyewe, Muombe Allah upate watu wenye faida ili ufanikishe jambo lko peke ako hutaweza tafuta timu nzuriiiasante sana of course hilo jambo lipo lakini sjui kinanikwamisha nini