Nini maana ya ndoto hii?

Hiyo ndoto tu,
Niliota namkaza mama mwenye nyumba kiroho mbaya nikajua kanielewa weeeh siku nikamtokea nilipigwa na vikapu ,mito,viti kila kilichopo jirani.
Nikatoka baru.
Ajabu badae kaja mwenyewe na maua yake kunipa mbususuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Wanawake bana.
 
Watakuja kukutafsiria lkn itakua tu kama kuchambua kazi ya fasihi simulizi & andishi na wakati ndoto ni kitu kipo kiroho zaidi, binafsi naamini ndoto ni sio njia sahihi sana ya kusema unapokea ujumbe ila ni hisia zetu tu zinatutuma hvo japo sijajua ww ushapokea ujumbe au alert mara ngp kupitia ndoto.

Ila mm kiukwel nkilala njaa hua naanza kuota tupo kwenye mazingira flan ya kupata msos hasa kwenye Sherehe au tafrija flan hv afu wanakua wazito kuanza kugawa misos, wanakua kama wanachelewesha bila sababu🀣
 

Kuna mtu utakutana nae atakushauri au kukushawishi mkafanye biashara au kazi mpya ambayo Kwa macho inaonekana ina faida Tele...
Ukifika huko utagundua kuna ubaya umejificha (nyoka)..utaanza pambana na huo ubaya ..by the time unataka kuondoka utakuja kugundua faida sio kubwa kama uliyovuna ...na namna ya kurudi ulipotoka imekuwa ngumu kupita maelezo....(mfano kama uliacha kazi kwenda huko Kwenye kazi mpya au biashara mpya)..
 
Kuwa makini na yule unayeshirikiana naye kwenye biashara yako kuna uwezekano anafanya njama hasa za kutumia ndumba kukuibia. Fanya uchaguzi au uamuzi mzuri katika mambo yako.
 
the boss, wewe sasa ndio angalau umenionyesha mwanga, yes nina mpango wa kuanza biashara mpya lakini nina vikwazo tele na sioni pa kutokea hali ni ngumu mno kurudi kama awali
 
Kuwa makini na yule unayeshirikiana naye kwenye biashara yako kuna uwezekano anafanya njama hasa za kutumia ndumba kukuibia. Fanya uchaguzi au uamuzi mzuri katika mambo yako.
aisee
 
the boss, wewe sasa ndio angalau umenionyesha mwanga, yes nina mpango wa kuanza biashara mpya lakini nina vikwazo tele na sioni pa kutokea hali ni ngumu mno kurudi kama awali
The best way forward ni kupambana na huyo nyoka...kupitia spiritual means ..maombi..ili uvune Sana..
 
Allah! Allah! naona unanichanganya kabisa, so there is me behind this keyboard and there is another one kwenye ndoto who is she?? unamaanisha nn? so huyo wa kwenye ndoto anaishi maisha gan? come slowly nielewe
Kuelewa somo hlo inabidi kwanza ujue aina za ndoto ukhty ,ni somo pana, zipo ndoto za kweli na ndoto ambazo znatengenezwa na ubongo wako kulingana na prika za mchana kutwa, soo muda ukilala ubongo hupumzika na kutengeneza film ya matukio ndo inakuwa ndoto.What I mean kna ndoto zna maana na kuna ndoto hazna maana wala tafsiri yyte ile, kna ndoto ukiota asbuhi ushasahau uliota nini, na kna ambazo unazikumbuka. Ila kwa kiasi kikubwa kwenye mafundisho ya dini ya kiislam ilimu ya ndoto ni wachache wenye ufaham nayo, usikubali kudanganywa. Generally kwa mujibu wa ndoto yko ni dhahiri kuna jambo/mpango inabidi uufanikishee jpo kwa xx mambo bado, weka mkazo kwenye utaftaji muamini Allah
 
Inaonekana kuna obstacles unapitia kwenye process yako ya kuusaka utajiri
Na chanzo cha hizo obstacles ni huyo nyoka ulomuona kwenye nyoka
Hiyo ni spirit ambayo ndo chanzo cha changamoto zako kiuchumi!
 
Mwembe ni mtu mwenye neema lakini asiye na akili na maarifa.Nyoka mdogo ni adui au mtu mbaya asie na nguvu sana.Huyo mwembe ni mjinga kiasi cha kuruhusu neema yake kuharibiwa maana maembe mabichi ni nadra kuanguka kama mti hauna tatizo.Unafahamiana na mwembe huo ila huufuatulii.Mtu usiemjua ni mtu Mnaefahamiana sana.Kaona udhaifu wa mwembe anataka kukutumia kuuchuma.Nyoka ndie mchora ramani za uovu, aliye chini ya mtu huyo.(MWEMBE.)
 
Hiyo ndoto yako inauadui riziki yako inaweza kupotea au kuanguka huko mbeleni na hautokubalika Kwa kila kitu na kila utachoanza kukifanya hautopata saport na hata ukifanikiwa kufanya hautosogea mbele lazima kikwame njiani, kwahiyo kemea Kwa imani yako
Kwa maana unaweza kufanikiwa kuanzisha kitu lakin kisiende kokote iwe baishara au chochote
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ huu utabiri ni noma
 
asante sana of course hilo jambo lipo lakini sjui kinanikwamisha nini
 
dah
 
shukran
 
asante sana of course hilo jambo lipo lakini sjui kinanikwamisha nini
Kinacho kukwamish ni hayo uliosema maemb mengi mabichi (hayaliki ni machachu) yan watu wasio na faida au ambao hawakusaidii ni wengi, una ukoo wako lkn mambo mengi upo mwenyewe, Muombe Allah upate watu wenye faida ili ufanikishe jambo lko peke ako hutaweza tafuta timu nzuriii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…