Nini maana ya TV yenye 4K UHD

Google translation 😅😅
 
Shule ni muhimu, simu unayo MB kibao za kuchati na JF ila unashindwa kuingia Google kwa sababu kiingereza unakiogopa, ungepata jibu Google bila kumuuliza mtu.
 
Vyema.
 
Shule ni muhimu, simu unayo MB kibao za kuchati na JF ila unashindwa kuingia Google kwa sababu kiingereza unakiogopa, ungepata jibu Google bila kumuuliza mtu.
Umekasilishwa na nini mkuu?
Huoni km ktokana na swali lake tumenufaika wengi kutokana na elimu waliyotoa wataalamu wenye utaalamu kukuzidi wewe na Google yako?

Lkn pia elewa kwamba tonatofautiana,mimi na baadhi ya wataalamu hapa huwa ninanufaika zaidi pale ninapo mpatia mtu maarifa juu ya jambo nililo na ujuzi nalo,kwao Chief Makwawa na wengineo hapa ni miongoni mwa watu wa aina hiyo.
 
Kunagaida gani kuwa na simu ya 5G halafu huwezi kupata unachokitaka bila kumtegemea mtu mwingine, simu yako ya bei kali inakupa kila ukitakacho.
 
"utaalamu kukuzidi wewe na Google yako?" Sijaelewa maana hili swali lako linaunga mkono mimi na Google. Hata hivyo Google inakuunganisha wewe na mtengenezaji wa bidhaa husika, sasa sijui kwa vipi mtengenezaji asiijue bidhaa aliyoitengeneza, Google ni tofauti na JF ambamo tunajadiliana kwa hisia binafsi.
 
Shukran sana,somo limeeleweka
 
Google translator ina kiswahili kibovu boss. Usirudie tena
 
Kama unamudu ni vyema uchukue Samsung au LG. U'll never be dissapointed
 
Hisense Kuna fake Na original Mimi natumia Hisense picha IPO clear
 
Sababu tv Za Tanzania nyingi ni sd, ukitoa Azam sport HD na tv chache nyengine za HD kina ITV, TBC, Chanell 10 na wengineo zina resolution ndogo, hivyo vyema kupima kwa 480P badala ya 1080P unless unatumia Dstv ama king'amuzi chenye Chanell za HD.
Sawa sawa mkuu nimekupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…