Nini maana ya TV yenye 4K UHD

Hivi dts nayo ni Nini?
Sijajua dts ipi mkuu, ila kuna dts ambayo ni kampuni (Digital theater system) hii kazi yao ni kutengeneza Multi chanell audio, ambazo hutumika kwenye speaker za vifaa mbalimbali kama Home theater, sabufa, etc
 
Mkuu nunua (MI) au (LG) ni tv nzuri sana.
 
Kunagaida gani kuwa na simu ya 5G halafu huwezi kupata unachokitaka bila kumtegemea mtu mwingine, simu yako ya bei kali inakupa kila ukitakacho.
Wewe acha kuwa na roho mbaya mkuu siyo kweli kuwa na simu ya 5G au ya gharama kubwa inaweza kukupa kila kitu ebu acha watu waelimishe wenzao ww mwenyewe usingeenda darasani usingeijua ata hiyo google.
 
Ubarikiwe sana mkubwa..!! Hii ndiyo namna GT anaelezea jambo analolijua.
 
Mmeshanichanya.
Natumia DSTV
Nataka kubadilisha tv.
Ninunue yenye quality gani na make gani.
Nataka inch 53/55 or there about.

Thanks in advance.
 
Inawezekana simu yako ikawa na stereo speaker, yaani speaker mbili ya juu na chini, ili uwe na multi chanell audio unahitaji angalau speaker mbili.

Mkuu nimepita eBay nimekutana na hiki kitu naomba Kwa uzoefu wako unishauri niichukue au niiache?
 
Kudownload movie weka option ya HD mara nyingi ni 2gb or 2.5gb haizidi hapo ukifanya hivyo utaweza angalia in quality movies,huko tunakoenda local channels nyingi either zitakufa or zitaachwa nyuma na technology kwakua streaming inaenda chukua hatamu majumbani sema Ttcl hawajachangamka wangeweza weka pamoja na umeme wakawa wanakula hela sambamba.
Awamu ya mama ni yakupongezana tu hakuna kufanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…