Nini maana ya TV yenye 4K UHD

Nini maana ya TV yenye 4K UHD

Hivi dts nayo ni Nini?
Sijajua dts ipi mkuu, ila kuna dts ambayo ni kampuni (Digital theater system) hii kazi yao ni kutengeneza Multi chanell audio, ambazo hutumika kwenye speaker za vifaa mbalimbali kama Home theater, sabufa, etc
 
Nilitaka nichukue Hisense 50 nch lakini naona wadau wengi wanaprefer TCL, majuzi nimeenda bar fulani kuna TV kama 6, moja ikawa inaonesha quality mbovu na ni Hisense, ya TCL ikawa ipo clear japo ni 65 nch. Yamkini hii brand kuna baadhi ya TV zake zinazingua.
Mkuu nunua (MI) au (LG) ni tv nzuri sana.
 
Sijajua dts ipi mkuu, ila kuna dts ambayo ni kampuni (Digital theater system) hii kazi yao ni kutengeneza Multi chanell audio, ambazo hutumika kwenye speaker za vifaa mbalimbali kama Home theater, sabufa, etc
Yeah ndo hiyo
Screenshot_20240312-193739.jpg
 
Kunagaida gani kuwa na simu ya 5G halafu huwezi kupata unachokitaka bila kumtegemea mtu mwingine, simu yako ya bei kali inakupa kila ukitakacho.
Wewe acha kuwa na roho mbaya mkuu siyo kweli kuwa na simu ya 5G au ya gharama kubwa inaweza kukupa kila kitu ebu acha watu waelimishe wenzao ww mwenyewe usingeenda darasani usingeijua ata hiyo google.
 
Idadi ya pixel, kioo chochote kiwa cha simu ama tv kinatengenezwa na vidoti vidogo vidogo vinaitwa pixel, jinsi pixel zinavyokua nyingi ndio jinsi Quality ya picha inavyoongezeka.
4k inamaanisha kuna pixel 3840 upana na pixel 2160 kiurefu.

Pia 4k inaenda sambamba na technology kama Hdr10 na Dolby vision kuongeza huo mng'ao wa picha.

Mwisho wa siku angalia matumizi yako, kama unaangalia tu TV za kina Azam, Dstv na Startimes sio lazima tv iwe 4k, tafuta tv ambayo ina upscale hizo content vizuri.
Ubarikiwe sana mkubwa..!! Hii ndiyo namna GT anaelezea jambo analolijua.
 
Mmeshanichanya.
Natumia DSTV
Nataka kubadilisha tv.
Ninunue yenye quality gani na make gani.
Nataka inch 53/55 or there about.

Thanks in advance.
 
Inawezekana simu yako ikawa na stereo speaker, yaani speaker mbili ya juu na chini, ili uwe na multi chanell audio unahitaji angalau speaker mbili.

Mkuu nimepita eBay nimekutana na hiki kitu naomba Kwa uzoefu wako unishauri niichukue au niiache?
Screenshot_2024-03-17-11-50-09-870_com.amazon.mShop.android.shopping.jpg
Screenshot_2024-03-17-11-51-50-474_com.amazon.mShop.android.shopping.jpg
 
Content za 4K tatizo ni chache sana, ukidownload movi ya 4K (2160) inaweza kugonga 20GB au zaidi au utumie baadhi ya blueray disk, dtsv naamini walionyesha World Cup kwenye 4K ila sijui kama wana content nyingine za 4K, netflix kama unalipia premium pia kuna baadhi ya movie ni 4k ila data itakugharimu.
Kudownload movie weka option ya HD mara nyingi ni 2gb or 2.5gb haizidi hapo ukifanya hivyo utaweza angalia in quality movies,huko tunakoenda local channels nyingi either zitakufa or zitaachwa nyuma na technology kwakua streaming inaenda chukua hatamu majumbani sema Ttcl hawajachangamka wangeweza weka pamoja na umeme wakawa wanakula hela sambamba.
Awamu ya mama ni yakupongezana tu hakuna kufanya kazi
 
Back
Top Bottom