fbytel0000
Senior Member
- Nov 25, 2013
- 106
- 74
Habari za asubuhi wana JF..
Nimekuwa nikikutana na hili neno " LMFAO" mara kwa mara kwenye mitandao, nipeni darasa jamani. Nini maana yake!!?
LMFAO is "Laughing My F***ing Ass Off"
Unajua bwanaaaa. Acha kunzingua.
teh teh....hivi hii ni maana au ni kirefu cha hizo herufi!!??
ukimaliza muelezee na ROLFMAO sijui!!!!
Rolling On The Floor Laughing My ----ing Ass Off. ROTFLMFAO
Pia LMAO.
Umeelewa mkuu?wabongo tunachanganya sana kati ya kirefu na maana,wasaidie basi kuwatfsiria maana yake nini hicho kidhungu walichokiweka hapo na sisi wandegereko tupate kuelewa.
LMAO is Laughing My Ass Off.
Utoto tena na mivuzi yote hii. Na mume juuUtoto unakusumbua Karucee!
Nilikuwa ninamaanisha kuwa, huyu mleta uzi anapashwa kujua pia neno LMAO; neno linalotumika sana ktk internet slang.