Nini maana yake "LMFAO"

Nini maana yake "LMFAO"

fbytel0000

Senior Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
106
Reaction score
74
Habari za asubuhi wana JF..

Nimekuwa nikikutana na hili neno " LMFAO" mara kwa mara kwenye mitandao, nipeni darasa jamani. Nini maana yake!!?
 
laugh my fu...ass off//kitz "umenikosha"//kwa kutafisiri na kwa mtazamo wa kitz inakuwa kama tusi vile
 
teh teh....hivi hii ni maana au ni kirefu cha hizo herufi!!??
 
teh teh....hivi hii ni maana au ni kirefu cha hizo herufi!!??

wabongo tunachanganya sana kati ya kirefu na maana,wasaidie basi kuwatfsiria maana yake nini hicho kidhungu walichokiweka hapo na sisi wandegereko tupate kuelewa.
 
wabongo tunachanganya sana kati ya kirefu na maana,wasaidie basi kuwatfsiria maana yake nini hicho kidhungu walichokiweka hapo na sisi wandegereko tupate kuelewa.
Umeelewa mkuu?
 
Lmao= means laugh my ass off. Ni lugha ya maandishi ya kimtandao ikimaanisha "nimecheka saaaaana hadi nimejampa"

Lol!!
 
Back
Top Bottom