Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati nzuri mwanaume ni source ya nguvu za utajiri kwa kaya zilizonyingi! Mwanaune ushawishi wa historia ya umasikini au utajiri wa kwenu inaisha ukifika 30 wewe ndo unakuwa historiaHata kuolewa na mwanaume fukara anaetokea familia fukara ni tatizo kwa afya ya maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama kahabaBinti fukara sasa
View attachment 3026978
Pumbafu na nusu au anataka mishangazi? Ufukara utakusaidia nini kwenye mapenzi yenu owa toto lawatu be happ🐸👈😂😂.Hapa mtaani kuna dada mmoja anafanyakazi mjini (nadhani kariakoo) amejenga nyumba yake. Sasa huyu dada ana msichana wa kazi mzuri anaridhisha sura, umbo, na chura. Umri wake kama miaka 17 kuelekea 18 na anaanza kujitambua. Sasa kuna jamaa (kijana in his late 20s and early 30s) anajiweza yuko vizuri kiasi na kavutiwa na huyo binti kuchukua jiko. Baada ya kuongea na huyo msichana kutaka kujua ABC kagundua mama yake aliachana na baba yake na hakuwahi kumuona hila anasikia bado yupo. Baba yake ni mvuvi huko kanda ya ziwa. Huyo bosi wake anayemfanyiakazi anadai ni ndugu wa karibu alimchukua kumsaidia kulea mwanae! Kilichomshitua jamaa ni kuona baba yake analialia kwa mwanae amtumie chochote anachokipata huko mjini kuonyesha kwa jinsi gani choka mbaya. Sasa akaja kuniomba ushauri kuhusu kuoa binti aliyetoka familia duni kama hiyo hata kama ni mzuri si atakuwa na yeye kajidumbukiza kwenye ufukara?
Mbona unajitekenya na kucheka? "Ufukara utakusaidia nini"? Kwani ufukara una msaada?Pumbafu na nusu au anataka mishangazi? Ufukara utakusaidia nini kwenye mapenzi yenu owa toto lawatu be happ🐸👈😂😂.
Wewe na huyo aliekuuliza baba na mama zenu wote wametoka familia za kitajiri?Hapa mtaani kuna dada mmoja anafanyakazi mjini (nadhani kariakoo) amejenga nyumba yake. Sasa huyu dada ana msichana wa kazi mzuri anaridhisha sura, umbo, na chura. Umri wake kama miaka 17 kuelekea 18 na anaanza kujitambua. Sasa kuna jamaa (kijana in his late 20s and early 30s) anajiweza yuko vizuri kiasi na kavutiwa na huyo binti kuchukua jiko. Baada ya kuongea na huyo msichana kutaka kujua ABC kagundua mama yake aliachana na baba yake na hakuwahi kumuona hila anasikia bado yupo. Baba yake ni mvuvi huko kanda ya ziwa. Huyo bosi wake anayemfanyiakazi anadai ni ndugu wa karibu alimchukua kumsaidia kulea mwanae! Kilichomshitua jamaa ni kuona baba yake analialia kwa mwanae amtumie chochote anachokipata huko mjini kuonyesha kwa jinsi gani choka mbaya. Sasa akaja kuniomba ushauri kuhusu kuoa binti aliyetoka familia duni kama hiyo hata kama ni mzuri si atakuwa na yeye kajidumbukiza kwenye ufukara?
Mbona unajitekenya na kucheka? "Ufukara utakusaidia nini"? Kwani ufukara una msaada?
Huko sahihi! Oa mke angalau kwao wawe wanajitambua hata katika kiwango cha kujibidiisha kumsomesha binti sekondari! Sasa binti kwao choka mbaya darasa la saba failure anafanyakazi za house girl ndo utegemee kutoboa! Hakuna mwujiza wa namna hiyo! Wako wanawake wengi zungukazunguka utampata wa level yako! Thanks broh!Kuna msela wangu aliwahi kuniambia kisa chake na mzee mmoja don mkubwa mjini.
In short, kijana wa yule mzee alitaka kuvuta jiko lakini mzee akamkataa binti kwakua kwao sio mambo poa kama kwao na kijana.
Baadae akaletewa dodo kutoka familia tajiri mwamba akaoa.
Sasa mshkaji wangu kwakua n marafiki na huyo mshua ikabd amuulize swali kama lako na jibu lake lilikua hivi..
"Kijana wangu, huyo msichana na mwanangu ni watu tofauti kabisa kifedha. mwanangu akimuoa huyo binti, atatumia muda mrefu kumtoa huyo binti hyo level ya chini hadi kufikia hapa tulipo. Na hapo itabd amtoe binti pamoja na nduguze wote. Wakishafika hii level then ndo waanze kupambana kwenda mbele. Kwa mantiki hyo lazma watachelewa na hakutakua na progression kwenye hii familia."
Kwangu mimi shida sio umaskini, shida n kwamba, mtazamo kuhusu maisha unatengenezwa tangu mtu akiwa mtoto mdogo anapokua chini ya familia. Thats why wanasema ufukara unaambukizwa, kwa sababu ni ngumu fukara kupambanua mambo kwa mtazamo sawa na mtu aliekulia kwenye kipato.
Lakn kwakua mapenz hayashauriwi, miki nasema more power to everybody
ila wao tuwavumilieMafukara tunabaguliwa jamani 😀😀
Hapo sasa....Binti fukara sasa
View attachment 3026978
Dada mwanaume hakosei! Shauri yako 😂😂ila wao tuwavumilie
Oooh asante kwa kunisanua nilisahau 😂😂🙌🏾🏃🏾♀️🙏🏾Dada mwanaume hakosei! Shauri yako 😂😂
Hilo hawataki kukwambia ila kwa WANAWAKE inaonekana sawaHata kuolewa na mwanaume fukara anaetokea familia fukara ni tatizo kwa afya ya maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app