Nini madhara ya kuoa binti kutoka familia fukara?

Nini madhara ya kuoa binti kutoka familia fukara?

Umaskini ndio haukubaliki ndio upambane wewe na mkeo kuukwepa huo umaskini ndio tunachokueleza hapa
Unapooa huwezi zoazoa tu! Wafanyakazi uoa Wafanyakazi wenzao! Wafanyabiashara uoa wale wanaoendana katika biashara! Huyo jamaa ninayemwongelea ni msomi mwajiriwa ila kavutiwa na huyo binti tajwa kaomba ushauri kama nilivyouleta! Maji ufuata mkondo wake! Huyo jamaa kama kujitafuta na kujipata aoe binti katika level ya maisha yake mbona wapo wengi! Yanini kujidumbukisha kwenyeshimo na kuingia gharama zisizokuwa za lazima? Akili itumike Bwana! Eboooh!
 
Sikia my favorite qoute off all time inasema " There’s no nobility in poverty" alisema Jordan Belfort katika kitabu Cha maisha yake na movie The Wolf of wall street,.

Unaweza kumuoa unaetaka kumuoa,ila sio vizuri kumdiss mtu kutokana na hali yake,wote hatukuzaliwa na fursa sawa,..

Equality is the result of human organization .we are not Born equal
"There’s no nobility in poverty"
 
Binafsi simshauri, Akitaka kuja kusaidiwa ajiingize hapo.

Ogopa mzazi masikini na asie na akili.
 
Hawa dada zetu waliotoka kwenye familia za kimasikini au zenye ufukara na wamebarikiwa kuwa na sura nzuri pamoja na Nyash mara nyingi huwa wanafeli sana kwenye ndoa! Wanatazama umbo na sura zao kama ndo silaha muhimu za kumtega mwanaume.
OVER!
 
Unapooa huwezi zoazoa tu! Wafanyakazi uoa Wafanyakazi wenzao! Wafanyabiashara uoa wale wanaoendana katika biashara! Huyo jamaa ninayemwongelea ni msomi mwajiriwa ila kavutiwa na huyo binti tajwa kaomba ushauri kama nilivyouleta! Maji ufuata mkondo wake! Huyo jamaa kama kujitafuta na kujipata aoe binti katika level ya maisha yake mbona wapo wengi! Yanini kujidumbukisha kwenyeshimo na kuingia gharama zisizokuwa za lazima? Akili itumike Bwana! Eboooh!
Wewe umeleta mada ushauriwe ila hufundishiki,watu tunaongea kwa uzoefu sio kwa maneno ya vijiweni au kwa maneno ya shuleni tulivyokuwa tunadanganyana.
Sasa kama unasema watu hupatana wanaofanana na kufanya kazi sehemu moja huyo rafiki yako alishindwa nini kuoa mfanyakazi mwenzake wa ofisini hadi anase kwa huyo mdada hadi unakuja kuomba ushauri?
 
Ufukara sio tatizo as long as akili ya maisha na utambuzi upo miongoni mwa wanafamilia ikiwa ni pamoja na tamaduni himilika za jamii husika.

Changamoto inakuwepo pale ufukara unapochanganyika na akili za kushikiwa, utambuzi sifuri na tamaduni zisizohimilika.
 
Bongo nyoso.
Mtu anavyoita watu mafukara unaweza ukadhani labda angalau anamiliki kiwanda na kaajiri watu.
Kumbe kisa babaake anamiliki Raum moja na yeye labda kamaliza chuo kaunganishiwa kikazi mahali akanunua vitz au passo tayari anajiona tajiri mwenyewe.
Wakati wakina Bakhresa na Mo dewji hatujawahi kuwasikia wakiwaita watu maskini au mafukara😄😄😄😄😄
😂😂😂😂yaan Kaz kwelikweli
 
Haha trust me Mzee baba,wahindi hawajawahi kua wabaguzi kuzidi mtu mweusi,..always huwa tuna play "race card" ikiwa mtu mweusi against Races nyingine..

Mtu huna hata ka laki unaita watu masikini
Mzee baba, Son, nigga, home boy..... and what not 😂😂😂

Iko jikoni tangawizi yako!
 
Hilo hawataki kukwambia ila kwa WANAWAKE inaonekana sawa

Huwezi kufanikiwa Bila kuwa na mtu SAHIHI awe TAJIRI au FUKARA

wangapi waliachiwa UTAJIRI na WAZAZI wao na wakaupukutisha wote Tena Kuna wale walioachiwa mari zisizoamishika MAJUMBA/MASHAMBA na wakauza yote now MAFUKARA wa kutupwa

Na Kuna waliozariwa katika familia zenye UFUKARA mkubwa now wapo katika MAISHA manzuri kabisa

Kuomba kusaidiwa na MWANAO SI shida je wewe unajua huyo Baba mtu aliangaika kiasi gani kumkuza mwanae mpk Leo ukali9na Hilo TAKO na BABY FACE

Mwanamke ANATENGENEZWA na MWANAUME KISHA ANAKUWA MWANAMKE KAMILI
Inatia SHAKA UANAUME wako ikiwa unaogopa jambo kama Hilo

UMASIKINI SI KILEMA YULE UNAYEMDHALAU WEWE NOW HUJUI KESHO ATAKUAJE
jiulize wewe MIAKA 5 nyuma ulikuwaje now upo wapi angalia SHILOLE miaka 10 nyuma tulikuwa tumamshikashika MATAKO komakoma pale kwenye KIPUB chake Leo yuko wapi
SHILOLE pamoja na mapungufu yake ila MAFANIKIO yake hayakutokana na UMALAYA ni kujituma bila kujari watu wamjaji vipi
MAISHA ni PROCESS bro hakuna aliyependa kuzariwa FUKARA inatokea tu HVYO juhudi zakondo zitakufikisha UNAPOPATAKA

MASIKINI ni WEWE(najua fika ni wewe ila umenifanya Kuna mtu)
MASIKINI NI WEWE ULOKOSA AKILI UKAPATA HIVYO VIJIMALI
HAKIKA BORA UKOSE MALI UPATE AKILI

Mimi NINGEKUWA wewe ningechukua JIKO ningeweka Ndani mara 1

Rickross anasema yeye aombwi ela na NDUGU zake na WAZAZI wake 7bu wote now ni milionea
7bu alivyofanikiwa aliwawezesha kuwafungulia BIASHARA na alitumia JINA lake kuhakikisha BIASHARA zao zinakuwa na kufikia MALENGO
Mi ni mwanamke,, pia ni masikini sanaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umeleta mada ushauriwe ila hufundishiki,watu tunaongea kwa uzoefu sio kwa maneno ya vijiweni au kwa maneno ya shuleni tulivyokuwa tunadanganyana.
Sasa kama unasema watu hupatana wanaofanana na kufanya kazi sehemu moja huyo rafiki yako alishindwa nini kuoa mfanyakazi mwenzake wa ofisini hadi anase kwa huyo mdada hadi unakuja kuomba ushauri?
Ndo maana namshangaa huyo jamaa kudata kwa huyo binti ili hali hawafanani hata kwa 1%
 
Back
Top Bottom