Nini madhara ya kuoa binti kutoka familia fukara?

Umaskini ndio haukubaliki ndio upambane wewe na mkeo kuukwepa huo umaskini ndio tunachokueleza hapa
Unapooa huwezi zoazoa tu! Wafanyakazi uoa Wafanyakazi wenzao! Wafanyabiashara uoa wale wanaoendana katika biashara! Huyo jamaa ninayemwongelea ni msomi mwajiriwa ila kavutiwa na huyo binti tajwa kaomba ushauri kama nilivyouleta! Maji ufuata mkondo wake! Huyo jamaa kama kujitafuta na kujipata aoe binti katika level ya maisha yake mbona wapo wengi! Yanini kujidumbukisha kwenyeshimo na kuingia gharama zisizokuwa za lazima? Akili itumike Bwana! Eboooh!
 
"There’s no nobility in poverty"
 
Binafsi simshauri, Akitaka kuja kusaidiwa ajiingize hapo.

Ogopa mzazi masikini na asie na akili.
 
Hawa dada zetu waliotoka kwenye familia za kimasikini au zenye ufukara na wamebarikiwa kuwa na sura nzuri pamoja na Nyash mara nyingi huwa wanafeli sana kwenye ndoa! Wanatazama umbo na sura zao kama ndo silaha muhimu za kumtega mwanaume.
OVER!
 
Wewe umeleta mada ushauriwe ila hufundishiki,watu tunaongea kwa uzoefu sio kwa maneno ya vijiweni au kwa maneno ya shuleni tulivyokuwa tunadanganyana.
Sasa kama unasema watu hupatana wanaofanana na kufanya kazi sehemu moja huyo rafiki yako alishindwa nini kuoa mfanyakazi mwenzake wa ofisini hadi anase kwa huyo mdada hadi unakuja kuomba ushauri?
 
Ufukara sio tatizo as long as akili ya maisha na utambuzi upo miongoni mwa wanafamilia ikiwa ni pamoja na tamaduni himilika za jamii husika.

Changamoto inakuwepo pale ufukara unapochanganyika na akili za kushikiwa, utambuzi sifuri na tamaduni zisizohimilika.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yaan Kaz kwelikweli
 
Haha trust me Mzee baba,wahindi hawajawahi kua wabaguzi kuzidi mtu mweusi,..always huwa tuna play "race card" ikiwa mtu mweusi against Races nyingine..

Mtu huna hata ka laki unaita watu masikini
Mzee baba, Son, nigga, home boy..... and what not πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Iko jikoni tangawizi yako!
 
Mi ni mwanamke,, pia ni masikini sanaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana namshangaa huyo jamaa kudata kwa huyo binti ili hali hawafanani hata kwa 1%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…