Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kumekuwa na katabia fulani hivi kutoka kwa wadada daraja fulani hivi wanaoona eti hamna mwanaume anayeweza kuwapa mimba kwa njia asilia kwa sababu wao ni wazuri sana na wana hela sana.
Wadada hao hupandikizwa mbegu kutoka benki ya mbegu za kiume.
Je, ni nini usalama wa mbegu hizo kwa kizazi kijacho?
Je, ni zipi athari ya mbegu hizo kwa mama wa mtoto atakayezaliwa na kwa jamii kwa ujumla?