KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Baadhi mmekasirika utadhani watoto wote waliopo wanatunzwa na baba zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heeeeeeee🙄🙄🙄Ndugu unataka kufanya ivyo au
Unakuwa nusu yatimaNi vzr tu ILA shida inaweza kuja pale ambapo mtoto anamtaka baba yake yaani awe na baba hasa upate mtoto kama mimi hapa [emoji23][emoji23]hakika utanieleza vzr kuhusu mashangazi , bibi na babu ZANGU upande wa baba
Kumbe jeUnakuwa nusu yatima
We itakua haujamuelewa mtoa mada,wanaofanya IVF wanakua na matatizo ya kuzaa yani amehangaika mpaka basii na ndio mana wengi hua wapo tayari kuingia garama kubwa na hii pia sio lazima anunue sperm,anaweza kuamua kutumia sperm za mwenza wake.Sidhani kama zinapatikana kirahisi na kiholela namna hiyo. Kuna ethics zake na mchakato wake. Waliopitia na kupata watoto kupitia njia ya IVF wanajua kimbebe chake and it's very costly. Nje ya nchi hapo bondeni tu bei yake ni sawa na kununua Toyota crown. Na hakuna grantee kuwa kuifanya mara moja unafanikiwa wengi hurudi a hata mara 3.
Tutazaa mashetani kwa ukaidi wetudah hatari sana, Mwenyezi Mungu ana njia zake alizotuwekea wanadamu kwenye suala zima la kupata watoto na kujamiina, Tatizo la wanadamu ujuaji ni mwingi na matokeo yake ni giza huko mbele.
We itakua haujamuelewa mtoa mada,wanaofanya IVF wanakua na matatizo ya kuzaa yani amehangaika mpaka basii na ndio mana wengi hua wapo tayari kuingia garama kubwa na hii pia sio lazima anunue sperm,anaweza kuamua kutumia sperm za mwenza wake.
Mtoa mada anaongelea hawa wadada hawana changamoto yeyote ya kuzaa ila ananunua sperm huko kwenye fertility clinics ,na hii hua IVF haifanyiki wanawekewa tu sperm kwa bomba kipindi cha ovulation na hatimae mimba hutunga.
Punguza makasiriko.Unapandikiziwa mashahawa ya mtu humjui, hujui asili yake, hujui tabia zake. Unazaa litoto livivu, lichawi, lishoga, lina magonjwa, linakusumbua kila siku hospitalini, lichonganishi, yaaani kerooooooo