Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nani wa kukufanyia yote hayo?Naona safi tu hamna tatizo kikubwa ziwe na label za mtu fulani asili yake .
Kumekuwa na katabia fulani hivi kutoka kwa wadada daraja fulani hivi wanaoona eti hamna mwanaume anayeweza kuwapa mimba kwa njia asilia kwa sababu wao ni wazuri sana na wana hela sana...
Si Kuna madaktari dunia imeendelea wapo chuga na DarNani wa kukufanyia yote hayo?
Kila mchuma janga hula na kwao.
UshanipataNakutafuta
Ushanipata
Ndugu unataka kufanya ivyo auKumekuwa na katabia fulani hivi kutoka kwa wadada daraja fulani hivi wanaoona eti hamna mwanaume anayeweza kuwapa mimba kwa njia asilia kwa sababu wao ni wazuri sana na wana hela sana...
Sidhani kama zinapatikana kirahisi na kiholela namna hiyo. Kuna ethics zake na mchakato wake. Waliopitia na kupata watoto kupitia njia ya IVF wanajua kimbebe chake and it's very costly. Nje ya nchi hapo bondeni tu bei yake ni sawa na kununua Toyota crown. Na hakuna grantee kuwa kuifanya mara moja unafanikiwa wengi hurudi a hata mara 3.Dawa watoto wa dizaini hii watengwe na wasipatiwe huduma mashuleni na kwingineko hii itafanya hao mama wenye vichaa wanaojidunga sperms ambazo ni modified kuwa na akili.
Huu ni upuuzi kabisa. Yaan unazaa mtoto bila baba