fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Tuache uongo mme wa samia ana wake 2 yaani samia na huyo mwingine ambae yupo zenjYupo na wake zake wengine wawili, zamu ilipo.
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuache uongo mme wa samia ana wake 2 yaani samia na huyo mwingine ambae yupo zenjYupo na wake zake wengine wawili, zamu ilipo.
Naamini hili, hata kwa mwonekano siyo mtu wa matangazo. Na ndo uanaume huo sasa.Sio mtu wa kuuza sura, yupo bize na shughuli zake
Kwakuwa mme waje haonekani kwenye tv?Tanzania tulikua bado hatujawa tayari kuwa na Raisi mwanamke sema imetoka kwa bahati mbaya[emoji41]
Nikupe senerio halafu wewe jiweke uwe mume wa Rais.
Kuongozana na mke wakeTuambie majukumu yake kikatiba kwanza.
Kidogo hii inaweza kuwa hoja sabili.Ma first lady wengi huwaga ni walimu,tena wa shule za msingi ndo maana waume zao wanapokuwa Ma raisi,inawabidi waachane nazo hizo kazi.
Sasa huyu Mzee wa SSH inawezekana ana shughuli zake za maana huko mda wa kuwa na raisi kila mara atautoa wapi,maana wabongo hawana dogo,kama Mzee angekuwa na mama kila mahali wangemuandama kuwa huyu Mzee alikuwa hana shughuli za kufanya.
Fungua code plsHivi ALI CHOKI yuko wapi? mtafuteni mjue mengi