Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Tumalizeni kesi kwanza haya mengine hayatuhusu ni ya ndani...
 
Kwakuwa mme waje haonekani kwenye tv?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Nikupe senerio halafu wewe jiweke uwe mume wa Rais.

Rais amekwenda kuhudhuria mkutano wa viongozi wa SADC ila wanatakiwa waende na wenza wao, je katika hilo kundi kutakua na wenza wangapi wenye jinsia ya kiume?
 
Ma first lady wengi huwaga ni walimu,tena wa shule za msingi ndo maana waume zao wanapokuwa Ma raisi,inawabidi waachane nazo hizo kazi.

Sasa huyu Mzee wa SSH inawezekana ana shughuli zake za maana huko mda wa kuwa na raisi kila mara atautoa wapi,maana wabongo hawana dogo,kama Mzee angekuwa na mama kila mahali wangemuandama kuwa huyu Mzee alikuwa hana shughuli za kufanya.
 
Kidogo hii inaweza kuwa hoja sabili.

Lakini pale Ikulu kuna ofisi ya Mwenza wa Rais.

Isije ikatokea watu wabaya wakapitia kwake na kuleta changamoto kwenye Taasisi ya Rais.

Wataalam wa sheria wanalionaje hili!
 
Back
Top Bottom